Ponera
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 556
- 87
hata kuandika hujui mkudu we, mkitoka hapo mnasema mmesomasiyo rahisi kutofautisha ugaidi na dini furani
hata kuandika hujui mkudu we, mkitoka hapo mnasema mmesomasiyo rahisi kutofautisha ugaidi na dini furani
hata kuandika hujui mkudu we, mkitoka hapo mnasema mmesoma
mimi ni mmoja wa wale wa imani isiyotaka shule na kupenda ubwabwa kama wengi mnavyoamini humu jukwaani1. Anayekosea spelling analeta shaka juu ya elimu yake. lakini shaka hiyo inaondoka tunapobaini amekosea spelling na si zaidi ya hapo.
2. Anayemtukana aliyekosea spelling anathibitisha ukosefu wake wa elimu, na vile vile maadili ya dini yake (possibly ni ile ya "amani" inayoenezwa kwa kujisaidia haja kubwa madhabahuni kwa watu)!
hata kuandika hujui mkudu we, mkitoka hapo mnasema mmesoma
Wandugu,Waungwana heshimakwenu; " Walishakatazwaa na BUSH ADMINISTRATION " amri ilikuwa moja tuu!! Hakuna mtu kuQuestion juu ya Ugaidi !! Na wote Marais, Wafalme, MaGenerals na kila kiongozi Fweeeeee wameufyata mkia..!!Watu wetu wengi wasio na hatia wanapoteza maisha na viungo vyao kutokana na ugaidi, hii inauma, lakini inauma zaidi kuona dunia iko kimya kujadili chanzo halisi cha ugaidi duniani, badala yake tunalia na matokeo ya ugaidi tu. Hii ni ngoma ya 'do me do you', kama Marekani yenye nguvu ilishindwa vibaya huko Somalia enzi zile, je, Kenya? al-shababu na 'magaidi' watasambaratisha maisha yetu na chumi zetu tusipokuwa waangalifu na ugaidi. Tunacheza ngoma tusizozijua vema. kenya ondoka Kenya, vinginevyo uchumi wako utasambaratika kabisa kama Uchumi wa marekani unavyoyumba sasa kwa kuwasaka magaidi duniani.
Kwanini chanzo cha ugaidi hakisemwi huko the Huge?
With Respect,MkuuAwali niwape pole wananchi wa Kenya kwa tukio hili baya na la kusikitisha.
Ugaidi ni kitendo kibaya na kiovu sana kisicho na sababu yoyote ya maana inayohalalisha uwepo wake.
Ugaidi usikie tu na omba usikupitie maana utauchukia kuliko anayeuchukua kabla ya kumkuta.
Watu wengi sana jamvini wamekomalia tukio la Kenya na kutoa hukumu zao bila kujua ukweli. Na wengi hawana hata ufahamu wa matukio yaliyopita ili kuleta uwiano mzuri wa kauli zao bali kuongozwa na hisia
Kenya haikuwa na askari Somalia licha ya kuwa imepokea wasomali wengi kama wakimbizi na baadhi ya maeneo yake kuwa ya mapambano ya wasomali.
Alshabaab wanahusishwa na jaribio la kutungua ndege Mombasa na wengi wao wapo huko kama wakazi na wahamiaji haramu.
Hivi karibuni Alshabaab walianzisha mashambulio dhidi ya watalii na kuwateka ili kutaka madai yao ya pesa yatimizwe. Ni kitendo kile kile kama cha uharamia wa kuteka meli ambacho kimeumiza nchi nyingi hata sisi tukiwemo.
Sekta ya utalii Kenya iliianza kudorora kutokana na mashambulizi ya Alshabaab.
Kenya haikuwa na jinsi bali kupeleka jeshi kukabiliana na wapuuzi hao.
Tukio kama hilo liliwahi kutokea Tanzania ambapo wasomali majangili walimuua OCD. Serikali ilipeleka kikosi na kuwaangamiza majangali hao.
Kwahiyo mleta mada lazima uelewe chanzo cha Kenya kwenda Somalia na kama unadhani ni makosa basi nasi tulifanya makosa kuwaangamiza majangili waliokuwa tishio kwa sekta ya utalii. Tulipaswa kuwapisha na kuwaachia mbuga za wanyama
Ipo hoja kuwa nchi ya Marekani inaingilia mambo ya Somalia.
Marekani ilishaondoka siku nyingi , wasomali wameshindwa kuelewana miaka 20 sasa.
Endapo tutakubali matishio ya Alshabaab na wenzao kama kuwataka wakenya waondoke Somalia ili Alshabaab watawale hadi nchi yao, basi haitashia hapo ipo siku watataka Arusha na itabidi tuwapishe.
Kukubali matakwa ya magaidi ni kuwapa ushindi kwasababu dhana yao nzima ni ‘kutisha'. Sijui dunia itatishika hadi lini na kwanini wapuuzi wachache waachiwe kutesa wanadamu.
Hakuna kitu kibaya kama kufungamanisha ugaidi na imani.
Sababu za magaidi kutumia dini ni kutaka kupata sympathy kama ya mleta mada na wengine wenye mawazo kama hayo. Kwabahati mbaya siku wanapoamua kufanyizia kila mmoja ni muathirika.
Hivi Wasomali wanaoteka meli tunahitaji dunia ijadiliane nao kuhusu nini?
Hili linahitaji akili kweli. Hivi wasomali wanaovizia watu katika vijiji na kuwaua dunia inahitaji kujadiliana nao nini.
Wanajamvi mkumbuke humu ndani wapo watu wa aina mbali mbali ambao wanapenda kutumia tukio la Kenya kuhalalisha matakwa yao. Wanataka kutisha nchi nyingine na wanashabikia ili kujenga hofu'fear''.
Hawa nao ni magaidi na lazima tuwe macho.
cc JokaKuu, Jasusi, Mchambuzi , Bongolander, THE BIG SHOW,@ Ghibuu , @AB Titcha, AshaDii,
@gfonwin Fundi Mchundo , MkamaP Mzee Mwanakijiji
mimi ni mmoja wa wale wa imani isiyotaka shule na kupenda ubwabwa kama wengi mnavyoamini humu jukwaani
Usiongozwe na hamaki, soma nilichoandika vizuri.With Respect,Mkuu
hiyo ni riwaya ya kimagharibi wanapamba hoja na kuiwekea theluji tamu ilitusadiki AGENDA zao. Alafu unatutishia eti waje TZ tuwapishe.....hayo yote ndiyo mzizi huo huo wa kutishana na tishio ..." file hiyo ya matisho" linatembezwa kwa kila nchi hapa Afrika Mashariki.... Kama vile nchi zetu hazina viongozi makini? au Think Tankers? Wasomi , au hata DecsionMakers !! viongozi wetu hutishiwa Nyau " wanakubali haraka kwa sababu Fulani Fulani !!! mie sukubaliani nalo. Naheshimu rai za wengine, Usalama na Amani kwa wote.
Mpendwa PSS, ivo kweli?!! Basi waliyowafundisha wapo Vatican na waalimu wao ni C I A na intenlenjsia wao ni nchi za magharibi......! itafika wakati watasitisha na kuachilia mbali kuwa mafighters. Time will tell. Kila la heri , Unanisikitisha kutosoma....Chanzo kikuu cha ugaidi ni dini ya Uislam kudai inaonewa na kuhujumiwa duniani kote.........period
Asilimia zaidi ya 90 ya vitendo vya kigaidi duniani vinafanywa na waislam
that is not the real reasonChanzo ni kutoheshimu imani za wengine. Haswa hawa jamaa zetu wa . . . . . . .
siyo rahisi kutofautisha ugaidi na dini furani
Chanzo kikuu cha ugaidi ni dini ya Uislam kudai inaonewa na kuhujumiwa duniani kote.........period
Asilimia zaidi ya 90 ya vitendo vya kigaidi duniani vinafanywa na waislam
1. Anayekosea spelling
analeta shaka juu ya elimu yake. lakini shaka hiyo inaondoka tunapobaini
amekosea spelling na si zaidi ya hapo.
2. Anayemtukana aliyekosea spelling anathibitisha ukosefu wake wa elimu,
na vile vile maadili ya dini yake (possibly ni ile ya "amani"
inayoenezwa
kwa kujisaidia haja kubwa madhabahuni kwa watu)!
.......Chanzo cha
Ugaidi hapa duniani ni:-
- Imani potofu zenye kueneza chuki na wivu juu ya Imani fulani
- Tabaka moja la dini kutothamini umuhimu wa elimu tokea zamani na
matokeo yake kuhisi wananyanyasika sasa hivi.- Mafundisho ya kiimani yasiyosisitiza upendo na Amani kwa wafuasi wa
dini nyingine- Mapokeo ya kiimani ya dini fulani ambapo kiasili dini hiyo
ilisambazwa kwa njia ya mauaji ya Upanga, hivyo basi ikiwa Baba alikuwa
jambazi si kitu cha kushangaza mtoto akiwa mwizi.- Uelewa mdogo wa baadhi ya waumini wa dini fulani kiasi kwamba ni
rahisi kudanganywa kwamba ukiwauwa watu wa imani fulani utaenda peponi.
Huu ni zaidi ya ujinga!!- Waumini kupenda zinaa kwa kudanganywa ukiwauwa Makafir baadae ukifa
unazawadiwa wanawake saba mabikra bila ya kuhoji ikiwa Mwanamke nae
akiwauwa hao makafir atapewa kitu gani akifa?.- Akili ndogo (mfano Ponda) kutawala akili kubwa (mfano Ally Kombo)
Mkuu mie niCool, ndomaana nimekuja kwa wema, Ukifuatilia ujangili wa mipakani kaskazini wakenya ndiyo wavamizi na waporaji na wengi wamo katika milima ya usambaani na maeneo yake:- soma/ rejea magazeti yetu wenyewe. Pili Shabab ni militia tu, Hawana Uharamia wa bahari wale ni wengine kabisa..(old warriors/ex soldiers) Shabab (vijana) ni mkusanyiko wa mataifa na umri wao kisiasa ni zero% na watoto kwa rika. hawana uongozi ila ndani ya miji tu.Lakini leo wameanza kuexport baada ya kuwaUMIZA na kuwatoa katika maeneo yaliyokuwa chini yao. La zaidi hatulijui nalo ni "hulka ya wasomali waina hiyo ni kulipa visasi hata kwa jambo lisiloPAYau lenye kufikiri twice!! wao ni tofauti na watu wengine "huoni ukatili wanaowafanyia binamu zao? makabila yao? Sasa hawaelezeki ni bora kuwa mbali nao kuliko ! Good luck ntaendelea kuheshimu rai yako na wengine.Usiongozwe na hamaki, soma nilichoandika vizuri.
Sijakutisha bali ilitokea. Nimeweka mfano wa majangili waliokuwa wanauaa Arusha watu na wanyama pori.
Sekta ya utalii nchini iliingia doa kama ilivyokuwa ya Kenya.
Hatuongei kwa nadharia, tuna mifano na huo ni mmoja wapo.
Ukishakubali kuwa alshabaab wana haki ya kuteka meli, wana haki ya kuteka watalii utakataa vipi siku watakapodai haki yao ya kumiliki tembo Arusha? Umeelewa dhana nzima?