Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

[h=2]Jamanii msichokoze nyuki mkajalia baadaye!!!
Kenya's government had been warned, including by Israel, of the high risk of an attack before the deadly assault on a Nairobi mall by Islamist gunmen, security sources said Saturday.
[/h]Nairobi - Kenya's government had been warned, including by Israel, of the high risk of an attack before the deadly assault on a Nairobi mall by Islamist gunmen, security sources said Saturday.

Cabinet ministers and Kenya's army chief had received information warning of a plan to carry out a major attack, officials told AFP, confirming an intelligence report leaked in Kenyan newspapers.

"Israel had warned of attacks on their business interests but apart from just being tossed from one office to another, nothing was taken out of the intelligence reports," said one official speaking on condition of anonymity.

On September 21, gunmen with automatic weapons and grenades burst into the upscale Westgate mall in Nairobi in an attack that lasted four days and left at least 67 dead.

It was claimed by Somalia's Al-Qaeda-linked Shebab group as retaliation for Kenya's military presence in Somalia.

The Nation newspaper said the treasury, interior, foreign affairs and defence ministers, as well as the army chief, had been told of an elevated risk.

"Briefs were made to them of increasing threat of terrorism and of plans to launch simultaneous attacks in Nairobi and Mombasa around September 13 and 20, 2013," according to the report quoted in the paper.

The report said Israel, which has close security ties with Kenya, had warned of plans to attack Israeli property in September, a month which included several Jewish holidays.

The Westgate mall, popular with expatriates and wealthy Kenyans, is part owned by Israelis and had long been considered a prime potential target.

"The Israeli embassy in Nairobi has raised concern with the foreign affairs ministry that Iran and Hezbollah from Lebanon have been collecting operational intelligence and open interests in Israeli and Jewish targets around the world including Kenya," the report said.

According to security sources, Israeli services are playing a lead role in the ongoing investigation into the attack, which saw gunmen storm the mall and spray bullets on shoppers before hunkering down to fight off special forces for three days.

President Uhuru Kenyatta announced on Tuesday that the siege was over.
The head of Kenya's National Intelligence Service, Michael Gichangi, is scheduled to be grilled by lawmakers on Monday amid growing public concern that the state was inadequately prepared.

Security officials said Kenya's security agencies were casual in their response.
"There is no way one can say there was no intelligence on this attack because those reports started trickling in from late last year. And they were specific with targets including Westgate," one of them told AFP.

"Whenever these reports come, they are shared all across the government with relevant authorities at high levels, but they still take them casually.

"They must learn a lesson from this (attack) and start to take matters seriously, " said the official, who said he could not give his name for fear of losing his job.



Hizi Media zinasababisha na kuleta taswira ya hovyo sana,na mara nyingi hii hufanywa makusudi kabisa,

Why watumie term ''Islamist Gunmen?Islamist militia?,Muslim Rebels??'',Islamist Radicals?'',,

Wanatumia hizo term kwa mantik gani,?hii ni kutengeneza taswira negative kwa makusudi kabisa na kuonesha uislam ni tatizo,mtu asiefaham uislam na asie na wazo nalo akiona ivo tuh anahukumu moja kwa moja huo uislam ni tatizo,wala hatakua na haja ya kujiuliza mara mbili mbili na kusumbuka kutaka kujua tatizo ni nin,hiyo kitu inapigiwa kelele kila siku lakin media zimeweka pamba maskion.

Mfano mzuri ni huu tunaoutoa kuhusu maovu anayoyafanya Joseph Kony wa uganda na LRA,ule si ukristo,sio kweli kwamba ukriso una aamrisha vile,na sio kweli kwamba wakristo wanasapoti mambo yale,

Media kwanin hazitumii kwa watu kama wale term kama ''Christian Gunmen?Christian Radicals?,,Christian Militia?'' hivi huwa wana maana gan hasa?

Hizi ni propaganda na watu tulio wengi hatulion hili,lau kama tunaliona basi tunapuuzia na kulifurahia,media have to be fair in reporting.
 
Hizi Media zinasababisha na kuleta taswira ya hovyo sana,na mara nyingi hii hufanywa makusudi kabisa,

Why watumie term ''Islamist Gunmen?Islamist militia?,Muslim Rebels??'',Islamist Radicals?'',,

Wanatumia hizo term kwa mantik gani,?hii ni kutengeneza taswira negative kwa makusudi kabisa na kuonesha uislam ni tatizo,mtu asiefaham uislam na asie na wazo nalo akiona ivo tuh anahukumu moja kwa moja huo uislam ni tatizo,wala hatakua na haja ya kujiuliza mara mbili mbili na kusumbuka kutaka kujua tatizo ni nin,hiyo kitu inapigiwa kelele kila siku lakin media zimeweka pamba maskion.

Mfano mzuri ni huu tunaoutoa kuhusu maovu anayoyafanya Joseph Kony wa uganda na LRA,ule si ukristo,sio kweli kwamba ukriso una aamrisha vile,na sio kweli kwamba wakristo wanasapoti mambo yale,

Media kwanin hazitumii kwa watu kama wale term kama ''Christian Gunmen?Christian Radicals?,,Christian Militia?'' hivi huwa wana maana gan hasa?

Hizi ni propaganda na watu tulio wengi hatulion hili,lau kama tunaliona basi tunapuuzia na kulifurahia,media have to be fair in reporting.
Mpendwa heshima kwako, naamini kuwa watu wengi hawappo matured enough kuelewa au kufahamu MEDIA it will take time ona hii hapa Q :- Re: Hivi ni kweli magaidi wanajitoa mhanga kweli?
quote_icon.png
By Galamtogela Napata wakati mgumu kuamini kweli hawa wanaoitwa terrorist wanajitoa mhanga kwa kuvaa vilipuzi yaani mabomu na kuua mamia ya watu wasio na hatia .kama ilivyotokea Westgate (kenya) .binafsi na nakubali ile mbinu ya kuliterekeza bomu kwenye gari kisha likalipuka na kuuwa mamia ya watu. Nasema hivi nikiamini hakuna binadamu ambaye haogopi kufa.
Mkuu suali lako zuri; Kutokana na mfululizo wa matokeo ya milipuko mbalimbali haswa wakati huu, Wengi wetu hupigwa na mshangao kutazama scenario la jangaa au angalizi la kusisimua hadi kufikia sintoelewa kinachoendelea iwe Ukatili au ujambazi au uvamizi wa kigaidi na kwa bahati mbaya zaidi watu wasiyo na hatia ndiyo wanaoathirika (( innocent people )) !! Ukweli huwa hatuna wakati wa kufikiri ni nini sababu zake au kutafakari kilchopelekza hayo mapambano kufikia hadi hiyo ya kinyama.. Hayo yanatokana na uzembe wakuto elewa uhasama sababisho wa pande zote mbili !! Kwa kuwa sisi niwatazamaji tuu hatuwezi kuuliza NO QUESTION of WHY !! Hapo Media humwaga news kivyao huwa wanalisha watazamaji mloo na mapishi waliyoyapika !! na kwa lugha witakayo !!
Mkuu, nafikiri wakati wa nyumba kabla nchi nyingi kupata uhuru walikuwepo wapiganaji mashuhuri na mashujaa katika makundi ya wanaMapinduzi na walikuwepo vilevile VIYAMBO (fontliners) waliojitolea au waliotanguliwa kufa mstari wa mbele, Sasa katika mapambano hao wambele huteketezwa na hatimaye husahauliwa na baada ya Ushindii Wale Wajanja na wakubwa wachochezi wa WanaSiasa huchukwa Madaraka na Kuwa VIGOGO wa utawala.!! au siyo?
Sasa nikupashe kwa wale wahanga wakujilipua, hao huwaga ni vijana wasio na malengo katika maisha zaidi ni desperate youngmen....hawana kazi za kudumu, Hapo hutumika kwa kudanganywa / kuhadaiwa na kufanyiwa Brain-wash ilimradi watumikie 100% na wahusika wenye malengo yao katika kundi aidha la wanasiasa au waasii/Makundi ya dini au majeshi ya ukombozi, Vyama vya upinzani hata viyama tawala wanao vijana huko mafichoni. (( huo mchezo mchafu ndiyo njia rahisi wa kufikisha ujumbe)) Mtu huogopa kufa kama utafikiri mara mbili lakini mtu asiye fikiri mara moja basi kufa kwake ni fahari kukatiza maisha yake (suicidal)!!
Kwa vivyote ni masikitiko kwangu nami sii justify au kuhalalisha...yote yatokeayo duniani yanatugusa wote, very sad mchezo huu umefika mbali na pabaya.
Ubarikiwe na tusingilie ya watu !!
 
tujadili kwa busara bila kudhalilisha dini zetu, maana bila kujua lakini ukweli ni kwamba anayeitwa Mungu ni mmoja tu ndie kila mtu anamuabudu kwahiyo tuwe makinina hili bila kumtukana Muumba wetu
 
Tahadhari naomba,tutoe udini kwenye mjadara. Moja ya chanzo kikubwa cha ugaidi duniani ni mdogo kudharaulika na mkubwa.Mfano ugomvi kati ya,israel na Palestine kusababisha waislamu kutumia JIHAD kama siraha yao kupata wafuasi na kuanzishwa kundi la Hamas .muisraeli ni msomi sana na anategemewa na mmarekani kugundua vitu na njimaana hivi karibuni marekani amempa msaada wa bilioni 35 dollars kama msaada wa kijeshi kwa israel. Sasa kutokana na hivyo muisrael anakuwa na nguvu sana kuliko mpalestine na hivyo kuamua anachotaka,mfano kinachotokea OCCUPIED WEST BANK. muisrael anatubuthu kuua mpalestine hata kama akipigwa kibao na kuonesha onyo ukimdhuru muisraeli adhabu ni kifo tena hapohapo mnamalizana.Hi inatia hasira kwa wapalestine na kuamua bora kuwa gaidi maana hakuna thamani ya maisha. NASIKITIKA SANA KUONA MNYONGE RAISI OBAMA KUSAHAU WANYONGE WENZAKE WAPALESTINE WAKATI NA YEYE, AMETOKEA HUKO NA ALIKUWA MNYONGE .KUNA ULE MSEMO ALIYESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAA NA HII IMEONEKA KWA OBAMA. Na kwakweli damu ya mtu haipotei duniani na malipo ni hapahapa duniani na mungu kumlaani Obama kwa kuanza kundi la kigaidi ISIS ambalo linamsumbua mmarekani ,urusi na dunia kwa ujumla. Dunia lazima itambue chanzo cha ugaidi inaanzia Palestine na Israel. Na anayesababisha ugaidi ni mmarekani kuendeleza kumpa moyo Israel.
 
Ingia Wikipedia tafuta nadhani itakuwa kama ni kozi ukimaliza kuusoma hayo matini yote kule
 
Chanzo cha ugaidi ni marekan
Yaani marekani ndo kiwanda. Yeye anachojali ni maslahi yake. Mfano fikiria Libya ilikuwa na kiongozi mzuri sana alikuwa anajali maslahi ya wapalestine na mungu kumbaliki kuongoza nchi vizuri lakini ingawaje kidicteta. Lakini mmarekani na eu walipoona hawana maslahi wakamtoa kwa lazima. Ona sasa Libya ilipofikia baada ya kumtoa yaani nchi imesambaratika.mfano mwingine Iraq. Iraq,wakati wa sadam ilikuwa na uchumi mzuri sana lakini kwa kuwa aliwapinga marekani na waisrael aliondolewa kisa alikuwa tishio kwa marekani. Lakinu baadae baada ya kuondolewa Saddam dunia inaona mchango wake ambako Iraq imesambaratishwa na ISIS.
 
Ugaidi ni ujinga mtupu. Ugombane na jirani kisha ujitoe roho, umekuwa mhehe?
 
Yani ua galagaza, Ugaidi ni mtoto wa Udini! Hutaki unaacha!!
Mkuu sio kweli kwamba udini ndo chanzo cha ugaidi. Tambua kwamba gaidi hajali sehemu yeyote anajilipua na hajali hata ndugu yake akiuliwa. Gaidi lengo lake nikupinga uonevu wanaoupata either dhidi ya nchi au taasisi.mfano utasikia boko haram wamelipua misikiti lengo Lao kupinga nchi.
 
Ugaidi ni ujinga mtupu. Ugombane na jirani kisha ujitoe roho, umekuwa mhehe?
Ni bora ufe tuuh kwa kukosa haki yako ya msingi. Fikiria hapo ulipo unakiwanja na nyumba halafu unaambiwa toka bilasababu ya msingi na hati unayo umerithi toka kwa babu na babu kama unaakili timamu lazima upinge na ikibidi hata kufa. Hili ndo wanalofanyiwa wapalestine na waisrael. Tusiende mbali wakati wa vita ya idd Amin Tanzania ilipokonywa kagera na Uganda na ikabidi Tanzania ipigane kufa kupona kuokoa kagera kwa kutumia ugaidi kupinga uonevu.Fikiria mfano Tanzania ingetekwa na Uganda na kutawaliwa halafu Kenya itetehe Uganda,piga ua lazima magaidi wangepatikana wengi sana.
 
Ni bora ufe tuuh kwa kukosa haki yako ya msingi. Fikiria hapo ulipo unakiwanja na nyumba halafu unaambiwa toka bilasababu ya msingi na hati unayo umerithi toka kwa babu na babu kama unaakili timamu lazima upinge na ikibidi hata kufa. Hili ndo wanalofanyiwa wapalestine na waisrael. Tusiende mbali wakati wa vita ya idd Amin Tanzania ilipokonywa kagera na Uganda na ikabidi Tanzania ipigane kufa kupona kuokoa kagera kwa kutumia ugaidi kupinga uonevu.Fikiria mfano Tanzania ingetekwa na Uganda na kutawaliwa halafu Kenya itetehe Uganda,pigan ua lazima magaidi wangepatikana wengi sana.


Hii ya wapelestina inaeeleweka....je hawa nduguzo wa Somalia je?
 
Hii ya wapelestina inaeeleweka....je hawa nduguzo wa Somalia je?
Somalia al shabab hawa nimagaidi waharibifu wanaolazamisha mambo ya kizamani wakati wa sasa. Utawala wa Al sheria ni mbaya sana fikiria kosa la kuiba, adhabu yake ni kukatwa mikono ambayo sio haki za binadamu. Kwa hiyo mkuu al shabab ni magaidi wabaya na ugaidi wao upingwe.
 
Hivi ni kipi kinachotufanya tuamini kuwa kuna watu kweli wanataka utawala wa kiislamu na ndiyo maana wanafanya ugaidi?
 
Hivi ni kipi kinachotufanya tuamini kuwa kuna watu kweli wanataka utawala wa kiislamu na ndiyo maana wanafanya ugaidi?
Kinachowafanya watu wawaze utawala wa kiislamu ni kusoma sana quran na kuacha elimu ya dunia aU ya kisasa. Unajua kuwa gaidi lazima akili ikuruke unakuwa unawaza kufanya vitu vya zamani ambavyo kwa sasa ni vya kizamani. Mtu wa kisasa anatakiwa awaze kuvumbua vitu ili binadamu waishi vizuri lakini ligaidi la kiislamu linawaza kuishi kama zamani wakati si muda wake sasa kisa ukifanya hivyo utaenda peponi.
 
Back
Top Bottom