Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

Kinachowafanya watu wawaze utawala wa kiislamu ni kusoma sana quran na kuacha elimu ya dunia aU ya kisasa. Unajua kuwa gaidi lazima akili ikuruke unakuwa unawaza kufanya vitu vya zamani ambavyo kwa sasa ni vya kizamani. Mtu wa kisasa anatakiwa awaze kuvumbua vitu ili binadamu waishi vizuri lakini ligaidi la kiislamu linawaza kuishi kama zamani wakati si muda wake sasa kisa ukifanya hivyo utaenda peponi.
Swali langu ni kweli hao watu wanafanya ugaidi kwa nia ya kutaka utawala wa kiislamu au tunaaminishwa hivyo?
 
Hawa magaidi kwa kweli akili zao haziko sawa wanakuwa na delusion Fulani wako peponi. In short lengo Lao ni utawala wa kiislamu
 
Gaidi duniani ni mmoja tu America
Mkuu na wapili ni israeli. Hawa ndo wazalishaji wa magaidi. Ni aibu kwa marekani kwa wasanihi wake kuzarau wimbo wa taifa. Mfano chris brown anakubaliana BLACK LIVES MATTER na kukaidi wimbo wa taifa lake. Kwa kweli halina pingamizi marekani ndo kiwanda cha ugaidi nji maana,hivi karibuni raisi wa philipinne alitaka kuondoa jeshi la marekani nchini mwake ili kuiweka nchi salama .
 
Somalia al shabab hawa nimagaidi waharibifu wanaolazamisha mambo ya kizamani wakati wa sasa. Utawala wa Al sheria ni mbaya sana fikiria kosa la kuiba, adhabu yake ni kukatwa mikono ambayo sio haki za binadamu. Kwa hiyo mkuu al shabab ni magaidi wabaya na ugaidi wao upingwe.

Zile ni tawala za kijinga....utamlazimishaje mtu apende dini yako ikiwa dini zenyewe tumeletewa tu na hazina faida kwetu?
 
Tahadhari naomba,tutoe udini kwenye mjadara. Moja ya chanzo kikubwa cha ugaidi duniani ni mdogo kudharaulika na mkubwa.Mfano ugomvi kati ya,israel na Palestine kusababisha waislamu kutumia JIHAD kama siraha yao kupata wafuasi na kuanzishwa kundi la Hamas .muisraeli ni msomi sana na anategemewa na mmarekani kugundua vitu na njimaana hivi karibuni marekani amempa msaada wa bilioni 35 dollars kama msaada wa kijeshi kwa israel. Sasa kutokana na hivyo muisrael anakuwa na nguvu sana kuliko mpalestine na hivyo kuamua anachotaka,mfano kinachotokea OCCUPIED WEST BANK. muisrael anatubuthu kuua mpalestine hata kama akipigwa kibao na kuonesha onyo ukimdhuru muisraeli adhabu ni kifo tena hapohapo mnamalizana.Hi inatia hasira kwa wapalestine na kuamua bora kuwa gaidi maana hakuna thamani ya maisha. NASIKITIKA SANA KUONA MNYONGE RAISI OBAMA KUSAHAU WANYONGE WENZAKE WAPALESTINE WAKATI NA YEYE, AMETOKEA HUKO NA ALIKUWA MNYONGE .KUNA ULE MSEMO ALIYESHIBA HAMKUMBUKI MWENYE NJAA NA HII IMEONEKA KWA OBAMA. Na kwakweli damu ya mtu haipotei duniani na malipo ni hapahapa duniani na mungu kumlaani Obama kwa kuanza kundi la kigaidi ISIS ambalo linamsumbua mmarekani ,urusi na dunia kwa ujumla. Dunia lazima itambue chanzo cha ugaidi inaanzia Palestine na Israel. Na anayesababisha ugaidi ni mmarekani kuendeleza kumpa moyo Israel.
 
Chanzo cha ugaidi ni uchochezi ukizidi!!!!
 
Dhuruma na uonevu ndo husababisha ugaidi,we chukulia mtu anafungwa miaka 15 jela bila kosa akitoka ni rahsi kuingia msituni.
 
Gaidi duniani ni mmoja tu America
kuna hidden truth nyingi sana kuhusu mwenendo wa hii dunia chini ya mmarekani.. maana hata wataalam wanakuambia ISIS imetengenezwa na mmarekani
 
Back
Top Bottom