Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

Watu wetu wengi wasio na hatia wanapoteza maisha na viungo vyao kutokana na ugaidi, hii inauma, lakini inauma zaidi kuona dunia iko kimya kujadili chanzo halisi cha ugaidi duniani, badala yake tunalia na matokeo ya ugaidi tu. Hii ni ngoma ya 'do me do you', kama Marekani yenye nguvu ilishindwa vibaya huko Somalia enzi zile, je, Kenya? al-shababu na 'magaidi' watasambaratisha maisha yetu na chumi zetu tusipokuwa waangalifu na ugaidi. Tunacheza ngoma tusizozijua vema. kenya ondoka Kenya, vinginevyo uchumi wako utasambaratika kabisa kama Uchumi wa marekani unavyoyumba sasa kwa kuwasaka magaidi duniani.

Kwanini chanzo cha ugaidi hakisemwi huko the Huge?

Mkuu asante kwa kutufahamisha kuwa marekani ilishindwa vibaya huko somalia ilihali iliweza kuwang'oa saddam hussein na muammar gaddafi.
 
Marekani hawana hujuma na uislam. Ingekuwa wana hujuma na uislam wangeanza kuhujumu nchi ya Saudi Arabia ambapo ndio kitovu cha uislam, badala yake marekani ni marafiki wakubwa wa Saud Arabia, na hizo nchi mbili huwa zinasaidiana sana.

Marekani wana hujuma na nchi zenye kutoa mafuta kwa sababu wanayataka hayo mafuta. Kwa bahati mbaya au nzuri nchi hizo zinakaliwa na waislam, matokeo yake hata nchi kama afghanistan and the like wanaingilia kati wakidhani kuwa mmarekani anavita na uislam, wakati ukweli sio huo.

Na ukiangalia utaona kwenye zile nchi za kiislam ambazo hakuna mafuta(mengi) hata wakichapana waislam wao kwa wao marekani haingilii, lakini waislam wa nchi zinazotoa mafuta mengi wakichapana kidogo tu marekani anakimbilia kupeleka majeshi.
Si unaona hata Syria wameanza siku nyingi mno kuuana lakini marekani alikuwa hana mpango wa kwenda, mpaka baada ya malalamiko mengi ndio mmarekani akaanza kujiuliza aende au asiende.

Venezuela majority ni waKristo marekani walipeleka chokochoko kujaribu kushawishi watu walete machafuko ikashindikana kwa sababu watu wa venezuela sio mburula mburula, vinginevyo moto pia ungewaka.

Hii ishu mnavyoitazama kwa nje haifanani kabisa na undani wake, inabidi tuwe makini na tusiwe wavivu wa kushughulisha ubongo wetu.
Sasa hapo umeshugulisha kichwa? Watu wanaongelea ugaidi, wewe upo tu na Marekani na mafuta. Syria ilitumia gas kuua watu wake. Matumizi ya gas ni kinyume na makubaliano ya kimataifa. Ebu niulize, hivi wewe ni mtu gani? Yani hujali watu walopoteza maisha kwenye matumizi ya gas. Huwazungumzii kabisaa ila unakumbuka mafuta. Wewe ni mtu wa aina gani? Hivyo ungependa Marekani wanyamaze tu?
Kwa faida ya wote, naomba niongelee topic ya ugaidi na chanzo chake.Inavyoonekana, magaidi hasa walofanya shambulizi la westgate mall ni watu wajinga. Mara nyingi wanahusishwa watu wajinga sana isipokuwa shambulizi la september 11 nchini Marekani. Hapa walitumika wasomi kwa sababu shughuli nzima ilihitaji akiri. Pia yupo bwana mdogo mmoja wa Nigeria. Huyu alikamatwa na vilipuzi kwenye chupi ambapo alitaka kujilipua hili ndege iue watu na idondoke iue wa chini. Huyu dogo inasemekana alikuwa msomi.
Sasa tuangalie sababu wanazosingizia hawa jamaa. Kwamba wanafanya hivyo kwa sababu walinyimwa elimu na kunyanganywa kila kitu. Tujiulize, hivi kwa kufanya shambulizi la jana, wataweza kupata vitu walivyonyanganywa? Au wataweza kupata elimu?
Swala jingine, wanasema kwamba wakifa, wanaenda mbinguni kupewa mabikira saba. Sasa tujiulize, kati ya watekaji wa westgate, tunaambiwa kuwa walikuwemo wanawake. Sasa hao wakifika mbinguni wanapewa nini? Hivi hapa duniani kulala na wanawake saba ni dhambi, itakuwaje huko mbinguni?
Swala la kunyimwa elimu ni visingizio vya kutafuta huruma kwa watu. Wanataka watu wabariki maovu yao, basi. Nahisi wana upungufu wa akiri kiasi kwamba ukifikilia nso unaweza kuweuka. Mfano mtu anayeua mapadri na kuwamwagia tindikali Zanzibar. Ebu tuingie kwenye ubongo wake huyu mtu. Pengine anawaza kwamba akiua mapadri, siku moja wakatoriki wataisha na kubaki dhehebu moja tu zanzibar. Hivi dhehebu moja ndo amani? Mbona Somalia wapo asilimia 99.9, kuna amani? Sudan? Egypt?, Tunisia na nchi nyingi tu zenye dhehebu karibu moja, mbona hakuna amani?
Kibaya zaidi, sijasikia kiongozi wao hata mmoja akilaani vitendo wanavyofanya hawa watu. Ubongo wa kigaidi ndo huohuo uliopo zanzibar. Wao huwa wanajidanganya...mara oh, zanzibar ijitenge, mara oh, Mtwara ni sehemu yetu hivyo gesi haitokim. Nawahakikisheni, hawa watu mkiwapa Zanzibar leo, kesho wataanza kudai bara.
Marekani na nchi za Ulaya zilijitolea kuchukua baadhi ya wakimbizi kutoka Somalia na kuwasomesha wakidhani kuwa haww watu wakishasoma, watarudi kwao na kuleta mabadiriko chanya. Cha ajabu, nchi zote za kiarabu, akiwemo Bin laden, uawakuwahi kuwasaidia maskini hawa. Wakiwa kwenye elimu, baadhi yao, wakarudi kwenda kuvaa vilipuzi. Kwenye shambulio la jana tunaambiwa kuwa walikuwemo mabinti walokwishakupata uraia wa Marekani na Uingereza ambao walisoma kwenye hizo nchi. Hawa hawa ndo baadae wanalalamika kwamba walinyanganywa elimu. Hivi wapewe nini hawa watu? Kwa mifano hii michache, ni wazi kwamba ushetani na vurugu wanazofanya, kuteka meli, watalii na kuwanyanganya mali zao, vipo damuni na wanavisoma kwenye vitabu vya dini yao. Mpaka leo, hakuna kiongozi wa dini aliyewakemea.
Taifa letu lingetumia nafasi hii kuingiza tena watalii waliokuwa wanaishia Kenya maana huko mambo si mazuri. Ila hata hapa nchini, mabomu ya Arusha huwa hayarushwi na alshabaab. Ni polisi, walinzi wa amani yetu. Hivyo tayari tunao kina al shaabab nchini kwetu wakijiita walinzi wa taifa letu.
Rejea barua ya Dr. Harison Mwakyembe slowaandikia polisi kuhusu maisha yake kuwa hatarini. Alisema kuwa, kikosi cha al shaabab ndo kimeletwa kufanya dhambi. Sasa taifa letu mnalionaje? Wakati tukiwanyooshea vidole Somalia, sisi wenyewe tujinyooshee pia kwa kuua albino na utalii kwa kumwagia watu tindikali, kuwalipua na kuwapiga risasi.
 
sasa naona wewe umeandika utumbo wa mwaka. sioni hicho ulichoandika kinahusiana vipi na maelezo yangu kujibu maelezo niliyoya quote, hapa sijadili ugaidi nimejibu yale maelezo niliyom-quote huyo niliyem quote. Jifunze kusoma na kuelewa mtiririko wa thread, sio kusoma kikasuku.
 
Somalia ya kusema kwamba wako 99.9% muslims washindwe kuungana unaweza ukawa una hoja kubwa katika hilo jambo mimi naomba nilizungumze kwa muktadha wa kipekee kidogo,
Ukiona watu wa iman moja na asili moja,wanashindwa kuelewana na kuungana lazima ujiulize swali la uhalisia sana,ya kwamba kuna nini kinawapelekea kuwa ivo??Nin chanzo cha migogoro yao??iman yao au nin haswa??

Uislam kama uislam ni mfumo wa maisha unaohubiri amani na upendo,Uislam ni mfumo unaojipambanua katika nyanja mbali mbali ikiwemo za kifamilia mfano ndoa,mirathi,n,k Kibiashara,kibenk,kiulinzi,na kadhalika,kwa ufupi ni mfumo ulioweka namna ya kuendea kila kitu kinachomgusa mwana damu na maisha yake,na yule ambae anausoma na kuufuata kikamilifu huwez kumskia anaangukia kwenye hali ya mtafaruku na vurugu kwa namna moja ama nyingine,

Uislam pia haujampa muislam unyonge wa kutokujitetea pale anapoona anadhulumiwa na kuhatarishiwa maisha yake bila makosa ya aina yoyote,umemruhusu mwanadam kujilinda na kujitetea uhai wake pale anapohis unachukuliwa bila kudhuru nafsi za watu wasio husika na wasio na makosa,

Pia uislam unaruhusu kisas kuwa ni haki lakini kwa kuangalia mipaka yake,na inaruhusu pia kusamehe ni bora zaid kwani mungu ndie mwenye hekima zaid(SAMAHANI KWA KUKUHUBIRIA DINI KIDUCHU)

Kwaiyo sasa,hoja ya kusema kwanin wasomali 99.9% ni waislam wanashindwa kutumia iman yao kuwaunganisha,mimi nakujibu kwamba kipo kitu kinawapelekea kuwa ivo,either kutofuata mafundisho na kuusoma uislam unataka nini,ama kugawanywa na kutawaliwa na watu wa nje wenye interest na ardhi yao kama kulivofanywa miaka 20 iliyopita,

Kimfano kama wasomali wanapigana vita vya koo kwa koo,ni kusema kwamba uislm ndio umewaamrisha ivo au ubinadam wao??waislam si wasomali peke yao dunian,na haukuanza huko somalia,kwaiyo waangaliwe kwa muktadha huo.
Concerning non violence,its a crime kuwaambia watu wasichukue tahadhari kwa pale wanapoona wanakuwa victims of constant brutal attacks kutoka kwa jamii ya watu wengine,,

Kwan zanzibar kumekuwa na makanisa na ukristo kwa miaka mingi sana,na waislam na wakristo wamekuwa wanaish kwa aman kwa miaka mingi sana,haya mbona tunakuja kuyaskia leo?yametoka wapi??
Ni uislam umebadilika kimafunzo au kuna jambo lipo nyuma ya camera??

Uislam ni ule ule,haujabadilika tokea zama hizo,hauna versions,haya yametokea wapi??
Needless to say,sio tuh wakristo wamekutwa na dhahama hiyo,hata masheikh wameshawahi mwagiwa tindikali,lakin hakuna alieamua kunyooshea kidole iman ya mtu mwingine kwa kuwa tunajua fika iman zetu hazifundishi ivo,sasa kwanin mchawi asitafutwe tuishie kunyoosheana vidole??

Ndio kwa maana siku zote mimi nasema kwamba tusome iman zetu,tuyafanyie kazi mafundisho yetu,na tujifunze kuvumiliana katika jamii yetu,
The big, Tatizo la Somalia linakuwa unique kutokana na ukweli kuwa sababu zenye kuleta mifarakano hazipo na hilo lingewasaidia kupambana na majaribu mengine .
Kilichomuondoa Siade Barre si Marekani, ni watu wa koo yake mwenyewe kutokana na mgawanyo wa madaraka.
Endapo zipo sababu za nje, hizo ni ndogo kulinganisha na zile za ndani za kina Farah Aideed n.k.

Kinachoendelea Somalia ni makundi ya Wasomali kutumia vita kupata mafao. Matajiri wakubwa wa Somalia walioko USA, UK, Canada, Norway na Sweden ndio wafadhili wakubwa wa vita.
Kutotawalika kwa Somalia ni mafao kwa baadhi ya watu.

Kudhani kuwa Somalia inanyemelewa ardhi yake na Marekani si kweli.
Kugawanyika kwa Wasomali hakutokani na kushambuliwa kwasababu ya imani yao au kabila zao.

Ukweli ni kuwa katika darsa uliyotoa kuhusu Uislam, Wasomali hawana la kujivunia isipokuwa mambo mawili.Moja ni hilo la kutumia fursa ya kutoonewa kuhalalisha uhalifu na pili, kutumia Kisasi kuhalalisha uhalifu.

Ile maana nzima uliyonena ya 'mfumo mzima wa maisha' haiwagusi wasomali.
Makundi kama Alshabaab ni matokeo ya kuuchukua Uislam na kuutengeneza katika njia zao ili zikidhi matakwao yao kinyume na Uislam wenyewe.

Hivi unazuiaje mtu asitumie Mbolea ukiwa na kipaza sauti kimeandikwa made in UK, tena juu ya Toyota na AK47 kutoka Russia. Hapo kuna uislam wa aina yoyote kama si upotoshaji.
Wapi na lini Uislam umezuia matumizi ya Mbolea.

Endapo dhana ya kujitetea pale unapoonewa ingekuwa inatekelezwa, uonevu na mauji yangeshasita Somalia.
Kwanini wananchi wasijitetee dhidi ya wahuni wachache wanaovuruga Somalia.

Kwanini kujitetea kuje kwa kubomoa mall za nchi nyingine. Kujitetea gani huku kusikojali maisha ya akina mama na watoto wa Mogadishu

Hata kisasi unachosema kimeruhusiwa, hivi kuua vijana waliofuzu mafunzo ya udaktari, au kunyang'anya watu mali zao kama mifugo ni kisasi cha nani dhidi ya nani. Kwamba Alshabaa wamepewa haki hiyo kuliko wasomali wengine?

Hili la kutumia hoja za kisasi na kujitetea ndilo linaitafuna znz pia.
Hakuna mabadiliko ya Uislam bali yapo mabadiliko ya mafunzo ya Uislam znz.
Huko ndiko kunapelekea chuki zinazoonekana za kipuuzi.
Tindikali kwa sheikh ilisemwa ni kupambana na dhalimu! sijui nani amepewa vigezo vya usafi na udhalimu.

Baada ya kupambana na udhalimu na kuachiwa, wakaingia 'wanazuoni' na kuhubiri kisasi.
Wakapandikiza chuki dhidi ya watu halafu wakatoa hukumu kuwa ni muafaka '' ukionewa na askari' bila kujali chanzo cha tatizo wewe tafuta' .... mkate kichwa kwa siri''.

Sasa hivi wantekeleza mafunzo waliyopata kwa kumwaga tindikali watu walioambiwa ndio wawe target.
Bado tunatafuta sababu za ujinga kama huo tukijua ni wajinga waliofanya. Hivi kuna cha kujali kuhusu ugaidi znz?

Mafunzo ya ajabu namna hiyo hayawezi kuleta muafaka katika jamii. Tatizo la znz si Uislam ni kundi la wahuni lililoteka ajenda ya Uislam na kujifanya ni waislam zaidi kwasababu za kisiasa na kijamii.
Kwabahati mbaya sana kama ilivyokawaida ya waislam, kwao ni muhimu kutetea jina hata kama liafanya uovu.

Ukiangalia misimamo ya Alshabaab na Uamsho hakuna tofauti. Wote wamefanikiwa kutanguliza ngao ya Uislam huku nyuma wakifanya uasi na maovu makubwa. Uislam hausemi kuhusu mwanadamu kumdhuru mwanadamu mwingine. Wewe umesema ni amani na upendo, sasa kuna amani gani na upendo gani kwa Uamsho na Alshabaab.

Ni kwa msingi huo waislam wanakuwa 'victims of circumstance' kwasababu, kwanza hawasimami katika Uislam wenyewe na message yake. Wanasimama katika majina na kusomewa mambo na baadhi ya watu.

Pili, wanashindwa kusimama na kusema this is right, this is wrong kwasababu wameshafungwa kiakili kuwa ukisema hili ni kosa unakuwa msaliti.

Tatu, wengi wanakuwa washabiki badala ya kuwa waumini. Kuvuliwa hijabu Amina asiyelazimika kuivaa kwasababu si mwislam hakuwezi kuzua hisia kuliko Padre aliyepigwa risasa na kufa, na wengine kujeruhiwa au sheikh alkiyemwagiwa tindikali.

Hakuna rationale ya kuangalia kipi kinasimama katika dini na kipi ni 'fanaticism'.
Message wanayopata watu wengine ni kuwa mambo hayo maovu yanaungwa mkono na waislam.

Kwavile yamekuwa yanajirudia sana sasa inaonekana kama sehemu ya Imani.
Kosa si la anayeoona bali ni la wale wanaofanya ionekane.

Unajua Nguruvi3,
We una akili na busara nyingi sana,
Namimi siku zote huwa napenda sana kufanya mijdala ya kuwekana sawa na watu sampuli yako,kwa kuwa naamin huwa najifunza mengi sana,

Tufanye CASE STUDY KENYA KWA TUKIO LA WASTEGATE MALL,
WAKENYA kama wakenya,kwa UTAIFA wao wamejua tatizo ni nin..

Wamejua tatizo si uislam wala si waislam,

Wamejua kwanin Alshabaab kavamia nchi yao,na wamejua wao kama TAIFA Kwa pamoja wachukue jukumu gani kuliendea hilo,

NDIO KWA MAANA UKAONA PALE MASHIEKH,MAASKOFU NA MAPADRI WALISIMAMA KWA PAMOJA KWENYE PRESS na kulaani bila kuwekeana duku duku ndan ya mioyo yao na nafsi zao ya kwamba lile lililofanyika ni tukio la kulaaniwa na dini zote kwa ujumla zinakemea mambo yale,

Hata Sheikh wa kenya na viongoz wengine wamelisema pale,tena wakasema kabisa kutoka kwenye mafundisho linazungumzwaje lile,

Sikuona hata mkenya mmoja kuanza kuwaanyooshea vidole watu wa iman zingine kwa namna yyte ile,na ule ndio UTAIFA NA ULE NDIO UELEWA WA MAMBO.

Uislam umesimama katika nguzo zake kuu,na miongon mwa kitu kikubwa ambacho kimepewa msisitizo katika uislam ni elimu,

Japo najua kuna watu wengi wako Brainwashed ya kwamba waislam ni watu wenye kuikimbilia elimu na kuconcentrate katika mambo yahusuyo dunia ya baadae baada ya kufa,hilo si kweli nawewe nguruvi3 najua si miongon mwao.

Kuna Jamaa mmoja anaitwa 'ALKHAWARIZM'

GOOGLE na utafute habari zake,huyo ni miongon mwa Great Mathematicians kuwahi kutokea na ndie mgunduzi wa hesabu za ''LOGARITHM'' HIZI tunazozitumia kwa manufaa mbali mbali hadi leo,

Bila hesabu za LOGARITHM hizi LAPTOP tunazotumia leo ingekuwa historia katika matumiz yake,the MAN WAS A MUSLIM,
ANAEJITAMBUA NA NI MFANO WA WENGI KATIKA ULIMWENGU HUU WALIOPITA.,huyo nimekupa kama mfano tuh,

Sasa naona kuna watu wanazungumza kuhusu waislam na uislam kupuuza elimu au kutia huruma kwa namna moja ama nyingine jambo ambalo si la kweli.

Aya ya kwanza kabisa kushushiwa mtume Mohammad{may peace be upon him} aliambiwa asome,asome kwa jina la mola wake aliemuumba,aliemuumba mwanadam kwa tone ya manii,asome kwani mola wake ni mkarim.ni mola yule aliemjuza mwanadam kwa msaada wa kalam,aliemjuza mwanadam mambo ambayo alikuwa hayafaham,

Na katika muktadha huo hakuambiwa achague elimu za kusoma,ameamrishwa muislam kusoma elimu zote zenye manufaa ya kumfanya aish vema hapa dunian na kumfanya amjue mola wake vema,

So,tunapokuja kuzungumzia mambo ambayo yanaleta mushkil kwenye jamii na kuyatazama katika picha ya dini ni lazima tuangalie hasa je vifungu vya dini vinasemaje?ni watu wanavitumia vibaya,au kuna propaganda mbovu katika hilo?hapo tutapata picha,

Mfano,hii ishu ya Alshabaab,

Wao wamesema wazi,kwamba wameenda kufanya vurugu kenya kwa kuwa kenya kapeleka majesh yake somalia,

Nguruvi3 nakuuliza,Alshabaab kaenda kenya kwa hoja ya kwenda kuupigania Uislam?
Nilikua nasikiliza na kutazama Aljazeera wakati wana muhoji kiongoz wa Alshabaab,alisema waz waz kwamba wako vitan na kenya kwa kuwa kenya kapeleka majesh yake katika ardhi ya somali,na ili suluhu ije basi kenya sharti iyatoe majesh yake somalia,

Je,walisema wana kwenda kenya kupigania uislam ili wakifa wapate MAKIBIRA SABA??NAONA KUNA WATU WANAKUJA NA KEJELI KEJELI KAMA HIZO,SASA KWANIN WAIVUSHE HOJA KUIPELEKA HUKO?

UMEKUJA TENA NA HOJA YA ZANZIBAR NA TINDIKALI,NIMEKUULIZA HUJAONA HATA MASHEIKH WALIODHURIWA NA HALI HIYO HAPA TZ?UMESKIA WAISLAM WAKINYOOSHE WATU WA IMAN ZINGINE?

Au ndio vile waislam wamevuka mipaka mpaka sasa wanajifanyia wenyewe kwa wenyewe?

Nashukuru hapo uliposema ya kwamba kuna watu wanaotoa mafundisho ya chuki na kuegemea katika uislam,hilo nakubali kabisa,

Lakin sasa swali ni kwamba kwanin haya yanatokea leo?
Zaman kwa nin hayakuwapo?tumeshajaribu kuchunguza chanzo ni nin?

Na tunakichukulia hatua zipi??

Uislam umekuwapo tokea zaman sana,
Kipindi cha Mtume kulikuwa na watu ambao si waislam,na hadi anakufa alikuwa anaish na watu ambao si waislam katika jamii yake kwa aman na upendo na hakuwalazimisha kuingia kwenye uislam,kwamba wakikataa wanauliwa,hilo si kweli kama wengine wanavoshadadia,

Mtume aliish na kulelewa na ndug yake,Baba yake Mlezi,hakuwa muislam,na hadi mtume anakufa yule mlez wake hakuwahi kuwa muislam hadi wote wanaondoka ulimwengun,ila waliish kwa aman na upendo,na huo ndio msingi katika uislam

ipo aya katika uislam inasema ''HAKUNA KULAZIMISHANA KATIKA DINI''.HAKUNA KULAZIMISHA MTU AAMIN IMAN FLAN,KILA MTU AWE HURU KUIFUATA IMAN YAKE ANAYOIPENDA''

Kinachofanyika katika uislam ni kuwahubiria dini watu wengine wasio waamin katika uislam kwa hekima na busara,wakikubali ni jambo la heri,wasipoafiki kila mmoja ana maisha yake,na ni marufuku kumlazimisha mtu katika hilo,

Nimeongea mengi sana,ila kikubwa ni kuwekana sawa Nguruvi3.
 
Mkuu,mimi sio mnafiki na huwa sina tabia ya kumsifia mtu anapoharibu eti ili asikwazike!I always tell the facts!

Kuhusu ni verse zipi;Wewe ni muislamu hivyo unazijua!Kama huzijui nenda google search Koran Satanic verses utazipata!

Kuhusu Uislamu hauitaji utetezi wowote kwani hauna kosa;Hoja yako ilikuwa kuwa Uislamu usihusishwe na matukio ya kigaidi yanayotokea lkn nikakuhakikishia kuwa Koran ina mafundisho yanayochochea ugaidi sasa utasemaje uislamu usihusishwe?

Hayo unayosema hayatuzuii sisi kuwa waislamu;Mkuu mimi sijasema msiwe waislamu,nilichosema ni kuwa aminini dini zenu lkn muheshimu dini za wengine!haiwezekani kamwe wakristo wakalazimishwa kuwa waislamu tena chini ya mtutu wa bunduki!huku mkiua watoto wao na kubaka wake zao mbele Yao!HAIWEZEKANI!
Nyie njooni mtu-convince tubadilike bila kutishana,kushikiana mapanga wala kulipuana mabomu!UZENI SERA!Maana ukristo wa sasa si ule wa 'akupigaye shavu la kulia mpe la kushoto' ni Ukimuua MAMA yangu namuua BABA yako!

Wewe unaumia na sisi kuwa waislamu;Mkuu,dini zote zinazohubiri UPENDO ndio ambazo ningependa kuwa muumini.Lkn samahani kwa kusema hata WAHINDU wanaoabudu ktk ng'ombe wana upendo kuliko nyie mnaoabudu kwa huyo mungu wenu.

Kuuelezea uhalisia;Ni uhalisia upi hapo uliouelezea,unataka kusema kuwa UISLAMU usihusishwe na UGAIDI wakati kila siku watu wanauawa huku mungu wako akisifiwa?Unataka kusema wale walioteka watu WESTGATE MALL si waislamu na hawakuua watoto na wanawake na kuwabaka?Unataka kusema hizo verse za kuhamasisha mauaji haziko kwenye KORAN?Unataka kusema wakristo 109 waliowawa kanisani pale Pakistani huku waislamu wakisema 'allahu akbar' ni usanii wa Aljazeera?

Sina haja ya kukwambia uache imani yako lakini nakuhakikishia utakutana na MUNGU wako Jehanamu.

Sikiliza Ndug yangu,ukiachilia mbali kuwa mimi ni muislam na wewe ni muumin wa iman nyingine,naamin wewe ni Mtanzania so ni we ndugu yangu,
Naomba niache kujadiliana na wewe for the sake of Utanzani wetu kwani naona hatupo kwenye mjadala,nahis kama tupo kwenye malumbano,mimi sipend malumbano,

Unaniambia ni GOOGLE Qur'an hali ya kuwa mimi nalala nayo na kuamka nayo hapa?
Sasa unakuja na hoja ya SATANIC VERSES tena?

No,Thank you,
Basi uwe na amani tuh,kama unasema you are sorry,mimi nitakwenda kukutana na mungu wangu Jehannam sawa tuh,
Na mim nasema i'm sorry pia,wewe utaenda kukutana na mungu wako huko PEPONI...

Samahan sana,kama nitakua nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine,
Shukran.
 
The big, Tatizo la Somalia linakuwa unique kutokana na ukweli kuwa sababu zenye kuleta mifarakano hazipo na hilo lingewasaidia kupambana na majaribu mengine .
Kilichomuondoa Siade Barre si Marekani, ni watu wa koo yake mwenyewe kutokana na mgawanyo wa madaraka.
Endapo zipo sababu za nje, hizo ni ndogo kulinganisha na zile za ndani za kina Farah Aideed n.k.

Kinachoendelea Somalia ni makundi ya Wasomali kutumia vita kupata mafao. Matajiri wakubwa wa Somalia walioko USA, UK, Canada, Norway na Sweden ndio wafadhili wakubwa wa vita.
Kutotawalika kwa Somalia ni mafao kwa baadhi ya watu.

Kudhani kuwa Somalia inanyemelewa ardhi yake na Marekani si kweli.
Kugawanyika kwa Wasomali hakutokani na kushambuliwa kwasababu ya imani yao au kabila zao.

Ukweli ni kuwa katika darsa uliyotoa kuhusu Uislam, Wasomali hawana la kujivunia isipokuwa mambo mawili.Moja ni hilo la kutumia fursa ya kutoonewa kuhalalisha uhalifu na pili, kutumia Kisasi kuhalalisha uhalifu.

Ile maana nzima uliyonena ya 'mfumo mzima wa maisha' haiwagusi wasomali.
Makundi kama Alshabaab ni matokeo ya kuuchukua Uislam na kuutengeneza katika njia zao ili zikidhi matakwao yao kinyume na Uislam wenyewe.

Hivi unazuiaje mtu asitumie Mbolea ukiwa na kipaza sauti kimeandikwa made in UK, tena juu ya Toyota na AK47 kutoka Russia. Hapo kuna uislam wa aina yoyote kama si upotoshaji.
Wapi na lini Uislam umezuia matumizi ya Mbolea.

Endapo dhana ya kujitetea pale unapoonewa ingekuwa inatekelezwa, uonevu na mauji yangeshasita Somalia.
Kwanini wananchi wasijitetee dhidi ya wahuni wachache wanaovuruga Somalia.

Kwanini kujitetea kuje kwa kubomoa mall za nchi nyingine. Kujitetea gani huku kusikojali maisha ya akina mama na watoto wa Mogadishu

Hata kisasi unachosema kimeruhusiwa, hivi kuua vijana waliofuzu mafunzo ya udaktari, au kunyang'anya watu mali zao kama mifugo ni kisasi cha nani dhidi ya nani. Kwamba Alshabaa wamepewa haki hiyo kuliko wasomali wengine?

Hili la kutumia hoja za kisasi na kujitetea ndilo linaitafuna znz pia.
Hakuna mabadiliko ya Uislam bali yapo mabadiliko ya mafunzo ya Uislam znz.
Huko ndiko kunapelekea chuki zinazoonekana za kipuuzi.
Tindikali kwa sheikh ilisemwa ni kupambana na dhalimu! sijui nani amepewa vigezo vya usafi na udhalimu.

Baada ya kupambana na udhalimu na kuachiwa, wakaingia 'wanazuoni' na kuhubiri kisasi.
Wakapandikiza chuki dhidi ya watu halafu wakatoa hukumu kuwa ni muafaka '' ukionewa na askari' bila kujali chanzo cha tatizo wewe tafuta' .... mkate kichwa kwa siri''.

Sasa hivi wantekeleza mafunzo waliyopata kwa kumwaga tindikali watu walioambiwa ndio wawe target.
Bado tunatafuta sababu za ujinga kama huo tukijua ni wajinga waliofanya. Hivi kuna cha kujali kuhusu ugaidi znz?

Mafunzo ya ajabu namna hiyo hayawezi kuleta muafaka katika jamii. Tatizo la znz si Uislam ni kundi la wahuni lililoteka ajenda ya Uislam na kujifanya ni waislam zaidi kwasababu za kisiasa na kijamii.
Kwabahati mbaya sana kama ilivyokawaida ya waislam, kwao ni muhimu kutetea jina hata kama liafanya uovu.

Ukiangalia misimamo ya Alshabaab na Uamsho hakuna tofauti. Wote wamefanikiwa kutanguliza ngao ya Uislam huku nyuma wakifanya uasi na maovu makubwa. Uislam hausemi kuhusu mwanadamu kumdhuru mwanadamu mwingine. Wewe umesema ni amani na upendo, sasa kuna amani gani na upendo gani kwa Uamsho na Alshabaab.

Ni kwa msingi huo waislam wanakuwa 'victims of circumstance' kwasababu, kwanza hawasimami katika Uislam wenyewe na message yake. Wanasimama katika majina na kusomewa mambo na baadhi ya watu.

Pili, wanashindwa kusimama na kusema this is right, this is wrong kwasababu wameshafungwa kiakili kuwa ukisema hili ni kosa unakuwa msaliti.

Tatu, wengi wanakuwa washabiki badala ya kuwa waumini. Kuvuliwa hijabu Amina asiyelazimika kuivaa kwasababu si mwislam hakuwezi kuzua hisia kuliko Padre aliyepigwa risasa na kufa, na wengine kujeruhiwa au sheikh alkiyemwagiwa tindikali.

Hakuna rationale ya kuangalia kipi kinasimama katika dini na kipi ni 'fanaticism'.
Message wanayopata watu wengine ni kuwa mambo hayo maovu yanaungwa mkono na waislam.

Kwavile yamekuwa yanajirudia sana sasa inaonekana kama sehemu ya Imani.
Kosa si la anayeoona bali ni la wale wanaofanya ionekane.

"mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe" Shetani mtaji wake mkubwa ni kupoteza wanadamu na
ugaidi ni aina mpya ya kazi ya shetani.
-Shetani hana haja ya kuwashughulikia mabudha na wahindu kwa vile tayari wameshapote na

wanaabudu masanamu, ngombe nyoka nk.
-Shetani hana haja ya kushughulika na wazungu kwa vile tayari wameshapotea na wanaruhusu ngono
popote na kwa jinsia yoyote
-Shetani sasa ameingia kwenye imani za dini na kusababisha mauaji ya kinyama huku watu wakifikiri
kuwa hiyo ndiyo sehemu ya dini kumbe siyo mafundisho na wala kwenye maandiko hakuna.
-Shetani sasa ameingia kwenye imani za dini, watu sasa wanatajirika kupitia dini wakati wakati
hakuna hata Nabii mmoja wa Mungu kati wa manabii wa kale aliyeweza kufanya hivyo na wala
kwenye maandiko hakuna. Hii ndiyo kazi ya shetani kila siku atakuja na mtindo mpya ili mradi apate
wafuasi wa kuingia naye jehanamu.

Chanzo kikuu cha ugaidi ni dini ya Uislam kudai inaonewa na kuhujumiwa duniani kote.........period
Asilimia zaidi ya 90 ya vitendo vya kigaidi duniani vinafanywa na waislam

Wakuu issue ya ugaidi ni kubwa, sidhani kama usialmu peke yake ndio chanzo cha ugaidi. Kutokana na kuwa magaidi wengi ni waislamu au watu waliokuwa indoctrinated na imani za kiislamu, si sahihi kusema uislamu=ugaidi.

Ukianza kuangalia historia unaweza kuona kuwa mtu anakuwa gaidi pale anapopambana na wewe, mfano mzuri ni Al Qaeda, wanakati wanauwa warusi nchini Afghanistani kwenye miaka ya 80, waliitwa wapiganaji na walingwa mkono na Wamarekani, lakini baada ya kushambulia balozi za marekani na septemba 11, wakapewa jina la magaidi.

Ukiangalia suala la Syria unaweza kuona hilo hilo, wale wanaitwa Free Syrian Army ni magaidi no doubt lakini kwa kuwa wana-carter interest za west, hawaitwi magaidi wanasema tu kuna elements za ugaidi ndani yake, sawa na walivyokuwa wanaitwa Al Qaeda kabla ya kushambulia balozi za Marekani. Hata walipotumia silaha za sumu nchi za magharibi zilipata kugugumizi cha kuchukua hatua.

Kilichotokea Kenya no doubt ni ugaidi wenye connection na uislamu, lakini bado hatuwezi kusema uislamu ndio uliowafanya wawe magaidi. Inawezekana kuwa wangekuwa waumini wa dini ya Buddha, sikkhi au wangekuwa makafir huenda wasingefanya hivyo.

Lakini katika siku za karibuni tumeona kuwa blacks, whites, arabs and people of other colors have all been involved with terror activities, but if you look into details you will see that islam is a common denominator in most if not all.

Labda funzo tunaloweza kupata hapa Tanzania ni kuwa tusitumiwe na watu kuendesha ajenda zao. Tuwe makini na usalama wa nchi yetu, na tuwe watanzania kwanza, mengine baadaye.
 
ugaidi ni mapigano na fitna za kutafuta mali safi kutoka sehemu moja kwenda ulaya na marekani kwa kisingizio cha uisilamu na waislamu

ni kuhalalisha matukio maovu yanayofanya na serekali kwa kisingizio eti wale ni magaidi jiulize kwa nini nchi zilizokuwa hazijihusishi na siasa za kigeni ziko salama na ugaidi finland norwe swiden belgum na nk
 
Kenya alichokipanda ndicho anachovuna sasa asitegemee atabaki salama , nahiyo tone lamaji ndani ya bahari
Duh unafaidika na ugaidi nini mwenzetu.kwani kenya waliamka tu asubuhi wakakimbilia huko Somali au ni baada ya wasomali kuingia kwao kuteka na kuua watu wao na watalii?Ugaidi hatutakiwi kujadili chanzo chake bali unatakiwa usiwepo.Na hakika hawatapata ushindi hao unaowasifu na kuwalamba kwani sijaona na wala haiyumkiniki kuna siku itakuwa fahari kuwaua watu wasio na hatia na watoto ambao hawajui jema na baya ukijisifu unamkomoa kiongozi wao.Ingekuwa wamemuua aliyetoa order wavamia huko Somali ingekuwa hata na maana kidogo.Mtashindwa tu hao mashetani wenzio kwani cjaona ni wapi waliwahi kushinda.Kwani hao Hali Shababu ndiyo wawakilishi/wasemaji wa Wasomali!Mwambie na mshirika wako Big show.
 
http://m.youtube.com/watch?v=lTYREaehmpk&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DlTYREaehmpk#
 
Na mshirika wake Big Show kivip?
Wapi umeona katika bandiko langu nawasapoti Alshabaab?
Nimezungumza kupinga harakati hizo kwa kuwashutumu waislam na uislam
Besides wakenya wenyewe waathirika wakubwa katika hilo hawajawanyooshe waislam na uislam kidole,iweje wewe uje usimame kidete kwa watu ambao tunapinga mahusiano ya matukio kama hayo na uislam?

Sababu za alshabaab kwenda kenya zinafahamika,na si uislam hata kama wao wanaonekana kuwa wana amin uislam,

Same applies kwa alqaeda,sababu za kwenda marekan zinafahamika,si uislam ndio umewatuma hivo,

Kwanin wasiende Russia?kwanin wasiende germany?kwanin wasiende sweden,norway,italy na kadhalika?

Kwanin waende amerika?
Wewe kama umeshindwa kusimama katika hoja usitafute nguzo ya kuegemea na kuanza kuropoka,simama kwenye hoja.
 
link yako haifunguki kiongozi.Try to resend ila naomba isiwe ni picha yenye unyama walofanyiwa wenzetu hasa watoto kwani itaniharibia cku yangu
 
Na mshirika wake Big Show kivip?
Wapi umeona katika bandiko langu nawasapoti Alshabaab?
Nimezungumza kupinga harakati hizo kwa kuwashutumu waislam na uislam
Besides wakenya wenyewe waathirika wakubwa katika hilo hawajawanyooshe waislam na uislam kidole,iweje wewe uje usimame kidete kwa watu ambao tunapinga mahusiano ya matukio kama hayo na uislam?
Sababu za alshabaab kwenda kenya zinafahamika,na si uislam hata kama wao wanaonekana kuwa wana amin uislam,

Same applies kwa alqaeda,sababu za kwenda marekan zinafahamika,si uislam ndio umewatuma hivo,

Kwanin wasiende Russia?kwanin wasiende germany?kwanin wasiende sweden,norway,italy na kadhalika?

Kwanin waende amerika?
Wewe kama umeshindwa kusimama katika hoja usitafute nguzo ya kuegemea na kuanza kuropoka,simama kwenye hoja.
Mkuu samahani kwa yote we r not enemies..sijataja uislamu ktk bandiko langu bana.Ila umesahau Russia walikwenda haraka haraka nakumbuka Beslan walipokwenda kuwateka watoto wa shule na ukumbi wa disko wakashikilia watu ,mateka til Russia heavy weights walipotumia intelijensia kuwa eliminate,Germany walikwenda pia.Magaidi hao walitokea Chechnya kama hukumbuki.ukitaka zaidi ntakupa ref.
 
Najua we are not enemies,
Nimeshangazwa kwenye bandiko lako ambalo umenitaja kwa mantik ya kwamba mimi naunga mkono juhudi za watu kama alqaeda na alshabaab kwamba wako sahihi kwa mujibu wa uislam,ndio nikakuambia wapi mimi nimeonekana kuwasapoti hao magaid kwa ngao hiyo wanayotumia ya dini ya kiislam?

Hawa alqaeda walipokaenda Russia je uliskia Russia akifight nao kwa kuwahusisha na uislam?sisi tuna hate watu wanaotumia dini kuegemezea kwenye interests zao bila kujali ni kina nani na wapi wamefanyia na kina nani wamedhurika na tafrani hizo,

Naomba tuh tuelewene,tunapinga vitendo vya ugaidi na violence kuwa associated na uislam,
Kama watu hawatuamin katika hilo na kuona bado sisi as muslims tuna case ya kujibu its ok,hatuna la zaid la kufanya zaid ya kueleza uhalisia na kuwaambia watu hao waangalie nini chanzo cha hayo,kisha waangalie mafunzo ya uislam yanasemaje,wasikubali kusikiliza maneno ya kuambiwa na media propaganda
 
[h=2]Jamanii msichokoze nyuki mkajalia baadaye!!!
Kenya's government had been warned, including by Israel, of the high risk of an attack before the deadly assault on a Nairobi mall by Islamist gunmen, security sources said Saturday.
[/h]Nairobi - Kenya's government had been warned, including by Israel, of the high risk of an attack before the deadly assault on a Nairobi mall by Islamist gunmen, security sources said Saturday.

Cabinet ministers and Kenya's army chief had received information warning of a plan to carry out a major attack, officials told AFP, confirming an intelligence report leaked in Kenyan newspapers.

"Israel had warned of attacks on their business interests but apart from just being tossed from one office to another, nothing was taken out of the intelligence reports," said one official speaking on condition of anonymity.

On September 21, gunmen with automatic weapons and grenades burst into the upscale Westgate mall in Nairobi in an attack that lasted four days and left at least 67 dead.

It was claimed by Somalia's Al-Qaeda-linked Shebab group as retaliation for Kenya's military presence in Somalia.

The Nation newspaper said the treasury, interior, foreign affairs and defence ministers, as well as the army chief, had been told of an elevated risk.

"Briefs were made to them of increasing threat of terrorism and of plans to launch simultaneous attacks in Nairobi and Mombasa around September 13 and 20, 2013," according to the report quoted in the paper.

The report said Israel, which has close security ties with Kenya, had warned of plans to attack Israeli property in September, a month which included several Jewish holidays.

The Westgate mall, popular with expatriates and wealthy Kenyans, is part owned by Israelis and had long been considered a prime potential target.

"The Israeli embassy in Nairobi has raised concern with the foreign affairs ministry that Iran and Hezbollah from Lebanon have been collecting operational intelligence and open interests in Israeli and Jewish targets around the world including Kenya," the report said.

According to security sources, Israeli services are playing a lead role in the ongoing investigation into the attack, which saw gunmen storm the mall and spray bullets on shoppers before hunkering down to fight off special forces for three days.

President Uhuru Kenyatta announced on Tuesday that the siege was over.
The head of Kenya's National Intelligence Service, Michael Gichangi, is scheduled to be grilled by lawmakers on Monday amid growing public concern that the state was inadequately prepared.

Security officials said Kenya's security agencies were casual in their response.
"There is no way one can say there was no intelligence on this attack because those reports started trickling in from late last year. And they were specific with targets including Westgate," one of them told AFP.

"Whenever these reports come, they are shared all across the government with relevant authorities at high levels, but they still take them casually.

"They must learn a lesson from this (attack) and start to take matters seriously, " said the official, who said he could not give his name for fear of losing his job.
 
Tony Blair alishasema lack of education ndio chanzo cha ugaidi
 
Pia hizi imani tuwe macho nazo kwa umakini sana,tujaribu kuwa tunafikiria kidogo kwa kutumia bongo zetu,haiwezekani mtu eti uamini kuwa kuua mtu asiye wa Imani yako utakwenda peponi,tena wengi wao wanaouwawa hata hawana hatia,sasa watu kama hawa unawaua kwa kutegemea kuwa utakwenda peponi kweli??,imani gani jamani hizi,kuna walakini mkubwa sana juu ya imani za aina hii,viongozi wa Dini zetu wana jukumu kubwa sana la kuwafundisha waumini wao juu ya kuishi vizuri na wasio wa Imani yao kwa kuwa haiwezekani mkafanana kwa kila kitu,kuvumiliana ni jambo la msingi sana kama kweli utaiheshimu pumzi aliyopewa huyo asiye wa imani yako na MUNGU aliyewaumba nyote ila mkatofautiana imani tu

mtume Muhammad "saw" wakati anaenda kwenye vita ya badri aliwaambia tunaenda vitani lakini ni mwiko kupiga mwanmke, mtoto na yeyote asiye na silaha
 
Chanzo ni uislamu. sio mafundisho potofu wala nini. uislamu halisi ndio chanzo halisi cha yote haya. Kimsingi uislamu unalazimisha watu wote wawe watiifu kwa 'allah'.
Lengo la Al-shabab ni kufanya somalia kuwa makao makuu ya kueneza jihad dunia nzima. Hivyo ni busara kabisa kwa mataifa yote kuingia somalia na kuwaondoa.

haya ingieni !!!! mkuu wako marekani kakimbia huko
 
Back
Top Bottom