Amani ya kulazimisha huzaa ugaidi. Tanzania tujihadhari.
Li-avatar lako linatisha:
Amani ya kulazimisha huzaa ugaidi. Tanzania tujihadhari.
Watu wetu wengi wasio na hatia wanapoteza maisha na viungo vyao kutokana na ugaidi, hii inauma, lakini inauma zaidi kuona dunia iko kimya kujadili chanzo halisi cha ugaidi duniani, badala yake tunalia na matokeo ya ugaidi tu. Hii ni ngoma ya 'do me do you', kama Marekani yenye nguvu ilishindwa vibaya huko Somalia enzi zile, je, Kenya? al-shababu na 'magaidi' watasambaratisha maisha yetu na chumi zetu tusipokuwa waangalifu na ugaidi. Tunacheza ngoma tusizozijua vema. kenya ondoka Kenya, vinginevyo uchumi wako utasambaratika kabisa kama Uchumi wa marekani unavyoyumba sasa kwa kuwasaka magaidi duniani.
Kwanini chanzo cha ugaidi hakisemwi huko the Huge?
hakuna vita ya jihad ya kupigana na mkristo/ kafiri. kuna vita inayopiganwa dhidi ya wenye kudhulumu haki za waislamu hiyo ndiyo inyoitwa jihad. kule Uganda kuna Kony anayepigana vita dhidi ya serikali ya Uganda ili iendeshwe kwa amri kumi za Mungu,wanaua,wanabaka,wanateka watoto kuwaingiza jeshini je hawa ni waislamu. mkumbuke tu "bila haki hakuna amani" nawauliza nyie makanjanja Mbowe na Mbatia juzi wamesema "DAMU ITAMWAGIKA KIKWETE AKITIA SAINI JE HAWA NI WAISLAMU?" mnaimbishwa tuuu
Mkuu nikuengezee ubeti katika shairi...Watu wa Horn of Africa ni waVisasi visasi walienda Uganda wakalipua kwa sababu ya AU pcs forces only, mbona hawarudi? Awali walitoa ONYO kwa jirani zao zikapuuzwa !!
Mpendwa PSS za Asubuhi, Tuliza hasira Uislam utaacha matumizi ya Nguvu !! Lakini Waisiliamu wataendelea saka haki zao !! Waisiliamu wataendelea kudai haki za popote walipo. Nafikiri umeelewa!!life is Short nimetoa sababu ns sijahalalisha uonevu huo wa waislam kama upo, Ugaidi ulikuwepo toka enzi lakini ugaidi wa leo asilimia kubwa ni madai ya uislam kuonewa, na rudia tena zaidi ya asilimia 90 ya vitendo vya kigaidi dunia vinafanywa na waislam,
Ngoshanyi sijazungumzia jihad hapa nimezungumzia sababu kuu ya ugaidi dunia ni uislam kudai unaonewa, akina cony na wengine wasio waislam pia wapo lakini asilimia kubwa ya vitendo vya ugaidi vinafanywa kwa kivuli cha uislam
Ninajaribu kumfahamisha Mh.mmoja humu yakuwa hawa jamaa wa Horn of Afrika huwaga na nature ya visasi haya mambo hayatakwisha na ni ya milele.... Ona walivyojikusanya kutoka pembe zote duniani kuja kuitikia wito wa wandugu zao..!Mbona unaji-quote na kujijibu mwenyewe khaa..
umenena vyema, naongezea sio imani tu, ugaidi ni zao la dhulma na uonevu.
Hebu jiulize, mtu akiwauwa wazazi wako, kakufanya mkimbizi ndani ya nchi yako, kabomo nyumba, shule ulokuwa unasoma, kawajeruhi nduguzo kawaacha vilema.
Maisha yako yote kayavuruga, je utaona manufaa ya kuendelea kuwa hapa duniani?
Utasita kumfanya lolote upatapo nafasi?
Rais JK amesema kakasirishwa sana na kitendo cha Al Shabaab kuua watu huko Kenya,nafikiri ni wakati muafaka wa kupeleka kikosi maalum cha JWTZ huko Somalia kumaliza wahuni wa Al Shabaab,hatuko salama kama Kenya si salama
Nashukuru ubarikiwe Mkuu, Maelezo muwafaka na Sahihi Muhimu zaidi wahusika walishughulikie ipasavyo. Time will Tell.Nami naheshimu sana rai za wengine.
Tumeshahu matukio ya kuteka watalii yalivoathiri sekta ya utalii Kenya? Kenya ingakaa mbali kwa mtazamo upi? Kwamba iwaache tu waendelee na shughuli zao hata kama ina athiri uchumi wao. Haki ya kujilinda inakuwa wapi?
Na sisi tuliwafundisha Polisi wa Somalia kwa nia njema tu. Tukiruhusu Alshabaab watishe basi hakuna aliye salama.
Nakumbusha kuwa majangili nao walikuwa wanatishia kama Alshabaab.
Kwa jinsi Somalia ilivyo haya majina ya Alshabaab kuwa vijana ni ulaghai tu. Viongozi wao ni wazee wengine miaka 50 na 60. Kuna kijana wa umri huo.
Hoja yangu ni kuwa watu wasishabikie matukio ya maafa kama haya. Hili ni tatizo lipo ukumbini kwetu.
Watu wasitafute sababu za kuwapa Alshabaa sababu kwa kusema tujadili uhalifu.
Ugaidi ni uovu tu bila kujali kafanya nani.
Kuna vitu vya kujadili lakini hawa Alshabaab wanaopita mitaani na 'plaizi' na kung'oa meno watu wenye meno ya dhahabu kwa kisingizio cha dini, kugawana mitaa ili kuchukua kodi na hata kuteka meli maana watekaji ni vijana (Alshabaab) leo tujiulize kwanini wanfanya hayo! serious! Tujadili chanzo cha watu walioshindwa kuelewana wakiwa na kila sababu za kuwaunganisha kijamii.
Real! Tujadili hadi upumbavu ili tupate jibu la matokeo! real!
Leo tukimbie na kukubaliana na vitisho vyao badala ya kufikiria kupambana nao.
Kukimbia ni kuwapa ushindi na hawataachi hapo watadai zaidi kwasababu wanajua tunawaogopa.
MMM, labda nifunguke kuwa kinachofanyika hapa ni spinning za kutaka kuhalalisha tukio la Nairobi na kukwepa ukweli kuhusu tukio.
Inatafutwa njia ya kuingiza mataifa ya magharibi ili ujengeke uhalali wa uovu.
Watu wanashindwa kujiuliza ni vipi Wasomali ambao kijamii ni jamii iliyo na ufungamano washindwe kuishi kwa amani miaka 20? asilimia 99.9 ni waislam na lugha moja, hawana kabila wana koo na tamaduni zao ni sawa.
Hili ni nyongeza ya swali mleta mada atusaidie ili kutoa mwelekeo wa majadiliano.
Watu wanasahau kuwa Kenya ilishambuliwa katika sekta za utalii na Alshabaab licha ya manshambulizi mengine yaliyotangulia kule Mombasa. Leo equation imegeuzwa wanaambiwa Kenya wanaonekana wabaya
Watetezi wa Alshabaab wana hoja moja inayowasumbua.
Wao wanadhani Alshabaab inapigana vita ya dini dhidi ya watu wa imani nyingine.
Kwasababu au kutoelewa facts na kuzikwepa zingine kwa spinning mara nyingi hujikuta wakiwa mahali pabaya zaidi.
Hakuna dini katika hizi tuzijuazo inayohubiri mauaji na ukatili. Hakuna! kama ipo nitajiwe moja.
Alshabaab wanatafuta sympathy ya kidini na bahati mbaya wasiojua dini wamewaunga mkono na kujikuta wanapaka dini matope. Huu ndio ukweli hata kama utauma. Huwezi kutetea Alshabaab kwa dini na dini ikabaki katika hadhi na heshima yake(Nina maana kufungamanisha dini na Alshabab ni kuichafua dini ambayo haisemi lolote kuhusu Alshabab)
Alshabaab wanasema jino la dhahabu ni haram kidini. Wanapita waking'oa kwa plaizi halafu wanauza meno hayo!!
Alshabaab wanasema ni harama kuangalia soka, wakati huo huo wanaangalia TV kusikia Marekani wanasema nini.
Wanasema ni haramu kutumia vifaa vya magharibi, wanatoa Tanganzo hilo wapo juu ya gari lililotengenezwa magharibi.
Alshabaab wanasema ni haram kutumia msaada wa FAO, wanakusanya magunia ya misaada wanakwenda kuuza nchi nyingine.
Wamefikia mahali wanazuia watu wasitumie mbolea, watumie kilimo cha zamani, njaa ikiuma wanawakimbia watu kwasababu wao wana pesa haram na uwezo wa kujikomboa.
Sasa anapotokea mtu na kudhani tunapaswa kujadili hawa wapuuzi ili tujue chanzo cha hasira zao inasikitisha.
Katika hayo hapo juu kipi unaweza kukiweka mezani ukasema kina mashiko.
Alshabaab si watetezi wa dini. Ni wahuni na wapuuzi wachache, kuwaunga mkono ni upuuzi kuliko upuuzi wao.
Hawana sababu ya kuulizwa wana chuki gani kwasababu hawana hata moja bali wamejaa ujinga na upumbavu.
Usiongozwe na hamaki, soma nilichoandika vizuri.
Sijakutisha bali ilitokea. Nimeweka mfano wa majangili waliokuwa wanauaa Arusha watu na wanyama pori.
Sekta ya utalii nchini iliingia doa kama ilivyokuwa ya Kenya.
Hatuongei kwa nadharia, tuna mifano na huo ni mmoja wapo.
Ukishakubali kuwa alshabaab wana haki ya kuteka meli, wana haki ya kuteka watalii utakataa vipi siku watakapodai haki yao ya kumiliki tembo Arusha? Umeelewa dhana nzima?
Ukishakubali kuwa Alshabaab wana haki ya kutungua ndege Mombasa, utawanyima vipi haki yao ya kutungua ndege JNIA?
Huu ni uovu usiohitaji certificate au diploma kuulani. Ni vitendo vya uhayawani kwanini tuvipe promotion?
Wameingia mall na kuua hadi watoto, bado tunadhani upo umuhimu wa kuwasikiliza.
Miaka 20 hawajaweza kusikilizana wao wenyewe kwa wenyewe wakiwa na kila sababu za kijamii kuwa taifa moja, vipi unadhani wataweza kuisikiliza dunia?
Watu wetu wengi wasio na hatia wanapoteza maisha na viungo vyao kutokana na ugaidi, hii inauma, lakini inauma zaidi kuona dunia iko kimya kujadili chanzo halisi cha ugaidi duniani, badala yake tunalia na matokeo ya ugaidi tu. Hii ni ngoma ya 'do me do you', kama Marekani yenye nguvu ilishindwa vibaya huko Somalia enzi zile, je, Kenya? al-shababu na 'magaidi' watasambaratisha maisha yetu na chumi zetu tusipokuwa waangalifu na ugaidi. Tunacheza ngoma tusizozijua vema. kenya ondoka Kenya, vinginevyo uchumi wako utasambaratika kabisa kama Uchumi wa marekani unavyoyumba sasa kwa kuwasaka magaidi duniani.
Kwanini chanzo cha ugaidi hakisemwi huko the Huge?
Chanzo kikuu cha ugaidi ni dini ya Uislam kudai inaonewa na kuhujumiwa duniani kote.........period
Asilimia zaidi ya 90 ya vitendo vya kigaidi duniani vinafanywa na waislam
.. kiongozi wao ALLI MOHAMED RAGE akiongea na waandishi wa habari huku anakunywa kahawa.
**JAMANI HAPO KWENYE RED HUYU JAMAA NI UKOO MMOJA NA ISMAIL ADEN RAGE?**
First of all,you have to define terrorism properly,
What is terrorism???Who is a terrorist??
What is islam??Who is Muslim??What does islam say concerning terrorism??
You have to define it properly,
Who started the first world war??muslims??
Who started the second world war??muslims??
Who killed about 20 milions of Aborigines in Australia?muslims??
Who sent the nuclear bombs of hiroshima and nagasaki??muslims??
Killed more than 100 millions of indians in north america?muslims??
Who killed more than 50 millions of indians in south america?muslims??
Who took more than 180 millions of african people as slaves and 88% of them died and were thrown in Atlantic ocean?muslims??
Who is fighiting the war with the lord resistance army in uganda??muslims??
NO,NOT MUSLIMS...!!
So,you have to define terrorism properly,
If a non muslim does something bad,it is crime,but if a muslim commits the same is a terrorist...
Mpendwa PSS za Asubuhi, Tuliza hasira Uislam utaacha matumizi ya Nguvu !! Lakini Waisiliamu wataendelea saka haki zao !! Waisiliamu wataendelea kudai haki za popote walipo. Nafikiri umeelewa!!
Pamoja kujenga Taifa.
Osama ni nadharia iliyotengenezwa na Mmarekani kuteleza hujuma zake dhidi ya uislamu.
na zile risasi sheikh Aboud Rogo na wale waislam 7 waliokuwa wakitoka msikitini walivyo uawa labda ndio muendelezowake .