Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.

Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.

Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
😂😂
 
Wydad n mwepesi Sana ukilinganisha na wengine sababu kubwa ana striking force butu..
Tukimpiga 2-0 Dar tukifika kwake sare ipoo
JamiiForums-1611641127.jpg
 
Tatizo pesa au kuvuka robo mnapofika kizalizali kila siku!?..yanga Haina shida na pesa
Kizari zari na wakati ulikuwa unaona miamba iliyokuwa inaangushwa ni heavy weight?

Yanga haina shida na pesa wakati mchango wa 29,000 wa kulipia kadi Manara aliwaamuru magrupu admin kuwa remove members ambao hawatoi hela na kufanya Club ikwame?
 
Kizari zari na wakati ulikuwa unaona miamba iliyokuwa inaangushwa ni heavy weight?

Yanga haina shida na pesa wakati mchango wa 29,000 wa kulipia, kadi Manara aliwaamuru magrupu admin kuwa remove members ambao hawatoi hela na kufanya Club ikwame?
Heavy weight gani babu, jwaneng!?...unataka uanachama uwe Bure!?
 
Huku Mtaani vilio vimetawala Baada ya makolo ....aka dunduka kupangiwa na miamba ya soka hapa Africa ( wydadi Casablanca) ambaye Kwa kweli sio level kabisa....kimsingi Simba ni under cat ( sio under dog Tena ) Kwa sababu ni mdogo mno

Vilio vimetawala Kwa mashabiki wikitaka wabadilishane na wananchi vikosi


Nasemajeee! nasemajeee! ONYANGO KIDOGO, MAGOLI MENGIIII

Mmeyakanyagaaaaaa mtanii sio siri.

R I P again BOB JUNIOR


Ushauri: Simba kimbilieni Malawi mkajifiche
1680725361530.jpg
 
Marehemu alikua na mdomo sana,utapigwa tatu Kama konyagi kwa mkapa Kisha nne Casablanca
Uzuri ni kwamba hata hilo unalolisema likitokea haiwezi kuwa noma

Unajua kwasababu gani?

Kwasababu nimefungwa na timu kubwa tena kwenye mashindano makubwa na magumu.

Ishu ipo kwenye levels zenu za form four failures ambao mmegeuka kuwa resetters na kuanza kujifananisha na sisi
 
Uzuri ni kwamba hata hilo unalolisema likitokea haiwezi kuwa noma

Unajua kwasababu gani?

Kwasababu nimefungwa na timu kubwa tena kwenye mashindano makubwa na magumu.

Ishu ipo kwenye levels zenu za form four failures ambao mmegeuka kuwa resetters na kuanza kujifananisha na sisi
Huko form four failures, mpaka uliroga ili angalau uvuke robo kwenda nusu.
Screenshot_20230320-095834.jpg
 
Back
Top Bottom