ngwayamani
New Member
- Jan 30, 2024
- 1
- 1
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo zinajijenga
Mfano memosas afisa habari wa simba alisema yanga ilikutana na timu ndogo ndomana wamefika fainali ila ndoiyoyo inayowapelekea moto kwenye kundi lao kwa mantiki hiyo unaona jinsi gani timu ndogo zinaimalika na sio kusema zimefiki hatia fulani kisa timu kubwa azijashiriki ,kwa mtu yoyote anayejua mpira alishatambua yanga kuingia hatua ya makundi ni raisi kwasababu washapata rank nyingi msimu uliopita .
kwaiyo tukubali kuwa simba imeshuka kiwango kuingia hatua ya makundi si sababu ya kuwa bora wakati rank zinawabeba ndoomana wanaishiaga robo fainali kwasababu wanakutana na wenye rank nyingi wenzao hata yanga msimu huu katika ligi ya mabingwa ushindani wao unaanzia hatua ya makundi wakivuka tutasema wamepiga hatua na si kuingia hatua ya makundi
Azam anateseka kwasababu ya rank Ila siku akiitwa na kufika angalau robo shirikisho basi kuingia hatua ya makundi haitakuwa ngumu,
RANKING NDOZINAWAFANYA TIMU KUBWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI KUWA RAISI MFANO AL AHLY MARA KIBAO WANAPANGIWAGA NA KMKM TOKA ZANZIBAR.
uzi kutoka kwa TEACHER OF TEACHERS