Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

kusali hakutoshi kinatakiwa kitu kifanyike hapa
 

KTK MATENDO HAYA YOTE MAOVU ALOTENDEWA DR ULIMBOKA, JK NA CCM HAWAWEZI KUKWEPA NA KWAKWELI WAMEFANIKIWA.

Je, Kuna tofauti gani ya haya yanayotokea Tz na yale ya Kule SYRIA? Hivi bado kuna wendawazimu wataendelea Kudai Tanzania Kuna AMANI?

Damu ya Daktari huyo isiyo na hatia itaendelea kulia na kuitia LAANA nchi hii, believe it or NOT!!
 
kuna tetesi kuwa hali ya Dr Ulimboka sio nzuri kwa sasa.
Tuendelee kumuombea.
Haya maelezo ya mwanajf lasikoki yanashabihiana na taarifa nilizozipata.

WanaJF wema hizo ni sababu za kisayansi, tuingie kwenye maombi kila mtu kwa imani yake. Yesu Kristo aliyemfanya akapatikana akiwa hai, ataendelea kumpigania. hakuna linaloshindikana kwa Mungu, bad prognosis kwetu, kwa Mungu it nothing,it like walking down stairs. Keep praying!! Dr. Uli is there to live.
Haya majitu yameumbuka, yatatumia mbinu zote, si mnajua yasali freemason? sasa tuone na freemason wao? pigeni magoti watu wa Mungu, achaneni na watu wa Lucifer. Yule askari aliyekuja hospitali alikuja na nguvu za giza, na ndio maana hata waliokuwepo walimuacha akatoka salama huku wakishikwa na bumbuwazi. Kemeeni roho ya mauti aliyokuja nayo, na yeyote aliyehusika tuwarudishie wenyewe - 'return to sender' wafe nayo wenyewe.
 
Hebu achaneni na haya mambo ya mungu bana....huyo mungu alikuwa wapi wakati jamaa anatekwa na wakati anapewa kipondo? Kwa nini hakuzuia hayo yote kutokea?
NN, kila jambo linalotukuta; wewe, mimi au rafiki yako mpenzi lina sababu yake, sababu nyingine ni Mungu pekee azijuaye.
Tatizo lako ni huyo Mungu ambaye anatajwa, kwa wengine kama wewe, huyo si Mungu. Lakini nawe una ka mungu kako au Mungu wako ambaye si wote wanamwamini.
 
Sasa mtu mmoja kula kipigo ndio hakuna amani, amani ipo tena kwa sana na CCM itahakikisha kuwa amani itaendelea kuwepo,usipotoshe umma kijana. Mnakaa kulaumu serikali bila hata kupata ushahidi wowote. CCM itatawala milele, na nyie CDM acheni uhaini,mtafia jela.
 
NN, kila jambo linalotukuta; wewe, mimi au rafiki yako mpenzi lina sababu yake, sababu nyingine ni Mungu pekee azijuaye

Wewe umejuaje kama hizo sababu nyingine ni mungu pekee tu azijuaye? Aliwahi kukuambia hivyo?
 
Kila goti lipigwalo na neno la maombi ya heri kwa Dr Ulimboka litapokelewa Mungu weka mkono wako katika kichwa cha kiumbe chako ili waaumbuke waliotenda haya ili waneemeka wao na familia zao kwa damu za watanzania
 

Inabidi wazipeleke hizo simu zao na sms walizotumiwa ili ziwe traced, ajulikane ni nani anaeleta hizo fitna. Serikali haifanyi kazi namna hiyo.

Halafu hilo la ILO ndio safi kweli, na watakuta tayari kesi ipo mapa mahakamani wataambiwa wangoje hukumu na watii amri za mahakama ya kazi ya Tanzania mpaka wao ILO watapotowa uamuzi.

Hiyo ni safi sana nawaunga mkono wafanye hivyo. Kumbe njia za sheria wanazijuwa.
 
Si kweli kabisa.Ulimboka na Nyerere tunamhitaji nani? Kafe Nyerere sembuse Kiongozi wa Migomo

Nyerere wakati wake uliisha.....
Wala hatuku mhitaji...
Alistahili kufa....
Huyu tnamuhitaji kwenye Mapinduzi.
 

your not well up stares
 

Hutasalimika kwa kuitegemea serikali hii. Jela mbona wako wengi na wengi wamefia jela. Ila wewe ndugu yangu umekufa huna fahamu hata ya unalolisema. Pole sana marehemu unaetembea ukidhani upo hai.
 

Thinking Thin. Sinking Sin
 
ungekuwa mtoto angu ningekurudisha tumboni uwe yai au unipe ugonjwa tufe wote! huna features za ubinadamu! umetokea wapi wewe??? we hate ccm ndio! kama una hasira jigeuze mjusi halafu meza boga!
 
Inauma sana pale mtetezi wa maslahi ya madaktari anapo fanyiwa ushetani kama huu!
Mtetezi wa maslahi ya madaktari na mazingira mazuri ya kazi ni mtetezi wa sie walalahoi...
Ninamwombea kwa Mungu amponye na kumrejesha katika hali yake ya kawaida!
 
Mkuu wangu najua sana kwamba nimeandika mambo mazito sana yanayouma lakini Ndivyo Ilivyo! Na tunatakiwa kujifunza ktk kila jambo linalotupata hapa duniani maana kinachoendelea nchini hakina huruma kwa watu wengineo. Tazma picha utaona Dr. wetu kawekewa vifaa vya kila aina kuhakikisha anapata huduma bora ambayo kuna watu 100 hawaipati tena kwa sababu ya mgomo wa Madaktari.

Binafsi yangu naliona somo hapa na hakuna wakati muafaka zaidi ya huu tunapoziona picha hizi hapa JF wakati watu kama Ulimboka wamejaa Mahospitalini mwetu halafu madaktari wanagoma kwa sababu ya mishahara na kusema wao ni binadamu kama wengine wanahitaji kulipwa vema kwa kazi zao wakitolea mfano Wabunge wanaolala bungeni. Leo tunamwona Daktari wetu akiwa ktk hali sawa na wagonjwa wengine hivyo huruma zote tunazozitoa hapa Janvini ni muhimu tukazielekeza kwa wagonjwa wengine wote pia ambao aidha wamegongwa na gari wameingiliwa na majambazi na kadhalika. Dr.Ulimboka ametufungua macho na tuyatazame haya kama karama za Mwenyezi Mungu kwamba hakuna mbora zaidi yetu inapofikia swala la Ugonjwa.

Nachoweza kuwaomba madaktari warudi kazini kutoa huduma kwa wananchi ambao kwa pamoja sote tushirikiane na vyama vya Upinzani kuelekeza mapambano iwe maandamano, bungeni au mahakama za kimataifa kwa kuzihusisha asasi zote za haki za kibinadamu. Ikiwezekana hata migomo iwe sehemu zote isipokuwa sehemu muhimu kama Hospitali na sokoni..Inatakiwa umoja wetu kupambana na dhulma hii na sii kujiona wabora zaidi ya watu wengine.

Nina hakika kabisa madaktari wanaweza tu kufanikiwa ikiwa swala hili litachukua sura tofauti badala ya kuwa madai ya madaktari lile swala la Kitaifa. Nina hakika Chadema, CUF, TLP, NCCR na asasi nyinginezo wapo upande wa madaktari isipokuwa wamekwazwa na njia zilizotumika kutafuta suluhu. Hili sio swala la JK na madaktari au CCM na madaktari ni swala la kitaifa linatuathiri wote, na linatakiwa vyombo vyote vinavyohusika vishirikishwe ktk mazungumzo na hasa bungeni.

Healthcare inapewa kiasi gani cha bajeti.. sidhani kama inafika asilimia 30 lakini ajabu ni kwamba ktk hizo asilimia yake 80 inatumiwa ktk recurrent expenditures yaani matumizi ya ndani sasa bado wanataka kuongeza matumizi ya ndani kuongeza mishahara yao wakati vita yetu kubwa ni kupunguza matumizi ya serikali ili tuelekeze nguvu zetu ktk maendeleo. Ni majuzi tu wabunge wetu wamepitisha bajeti nyingine mbovu kabisa wakijiongezea mishahara madaktari wakashangilia (wengine wabunge) halafu wamejiunga kutaka madaktari pia waongezewe mishahara!. Hawa watu wanajilipa mishahara mikubwa, wanatembelea magari makubwa ni Miungu watu halafu hawataki kupunguza matumizi yao wenyewe ktk anasa zao lakini wapo radhi kukata fungu la maendeleo ili kuonyesha fedha ndio msingi wa maisha yao wao. Hapana jamani hapana..

Nitarudia kusema Dr.Ulimboka awe sababu ya sisi watanzania kuwa na hasira, chuki na hamaki ya kutokubaliana na mfumo mzima wa AFYA nchini. Pengine sio wakati muafaka wa kuyazungumzia haya lakini nijuavyo Wadanganyika wepesi wa kusahau, ukiwawekea kitu hiki usoni mwao kesho hawataweza kubisha wala kusema ungeyasema haya wakati uleee. Hayakutokea kwa bahati mbaya Mwenyezi Mungu anatuonyesha karama zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…