Amepata renal shutdown or insufficiency (figo kushindwa kufanya kazi) kutokana na sababu mbalimbali but most likely clinically itakuwa crush syndrome. Crush syndrome mara nyingi hufuatia trauma especially involving muscles. Huwa haina prognosis nzuri, really very sad.
Anaweza hitaji Hemo-Dialysis among other treatment options. Madaktari kwa sasa wanaungana na wasamaria wema kokote walipo katika nchi yetu na kwingineko ili waweze kuraise chochote pesa ili kugharamia dialysis yake na matibabu mengine.
Yeyote atakayeguswa kusaidia kwa hali na mali tafadhalini sana karibuni. Utaratibu utawekwa hadharani ili walioguswa na wenye nia ya kumsaidia waweze kufanya hivyo.
Tunamuombea kiongozi wetu Mungu amjalie na apate kupona, zaidi sana pole nyingi na Faraja zitokazo kwa Mungu wetu mponya ziende kwa familia yake Mke na watoto wake, wazazi ndugu jamaa na marafiki zake, madaktari wote na watanzania kwa ujumla, na Mungu atuunganishe katika hili na kwa haya yaliyotokea na Shetani ashindwe.