Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Masaburi wewe ulisha wahikuingia icu za moi au unalopoka tu hujui kitu sasa vitaje majina vifaa hivyo kama unavijua wewe kilaza kazi yenu kuhalisha tu humu.

Doctor punguza monkari kidogo, huyu siyo JK wala waziri wa afya!
 
Utavionaje wakati hujafikia hali ya kupelekwa chumba hicho, tumia kichwa kufikiri na siyo masabuli.
 
Hapo MOI miaka 6 iliyopita nililipa euivalent to $25.00 kwa siku, ukiacha gharama za dawa plae mmoja wa wazazi wangu alipo lazwa kwa siku 42.
Sijui leo hii 2012 siku moja unalipa $ ngapi.

Average Tanzania can not check in MOI uta piga utaua bure.

Binfasi niliwahi kulazwa Mwaisela miaka 19 iliyopita kwa muda wa siku 4 tu. The business was " who you know " uzuri nilikuwa na ma school mate na maclassmate kila kona. Sasa yule asiye na connection je????

MOI na Mwaisela ni Mbingu na Ardhi ni out of reach kwa wale wasio na mbawa $$$$$$
 
Bwana akujibu katika wakati huu Dr. Ulimboka, jina la Mungu wa Yakobo likuinue. Mungu akupelekee msaada toka patakatifu pake na akutegemeze toka sayuni. Amina. Rejea Zab 20:1-2
 
Kweli nimeamini watu wanatumia masaburi kufikiria, wewe mleta huu uzi umeshindwa hata kufikiria tu kidogo kwamba ni wagonjwa wangapi wanaopelekwa MNH ili wapatiwe huduma hii ambapo hivyo vifaa vipo, vinafanya kazi na viwatosheleze kwa kadri ya idadi yao ilivyo?
 
Hivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india

Lini mara ya mwisho wewe kuwa ICU ukakuta hivyo haivifanyi kazi??
 
Umeshawahi kulazwa ICU? Kwa taarifa hakuna kifaa kigeni hapo. hiyo ndo ICU, usilete hoja za kujenga fitna!

ICU hii hii mtu wa kawaida haingii bure, hawa madokta wa kitanzania sisi wananchi nao tumewachoka, hawajali mtu yukoje wameweka maslahi mbele zaidi, mm ninawaombea wafanikiwe hayo madai yao tuwaone watafanyaje kazi? unaweza kuifanyia mgomo serikali lakin sio umdai mnyonge hela.
 
attachment.php


vipo vifaa hivyo icu. Acha kelele

alikuwa anamanisha hayo mapochopocho mezani kulia........yememtoa udenda
 
Hivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india
Achilia mbali kuhusu vifaa....hapo ni ICU, lakini kama wagonjwa wengi wangepewa treatment ya aina hiyo ambayo huyu mwenzetu amepewa basi nikajisemea hakika wagonjwa wengi wangefurahia tiba. Ilinikumbusha ile TV Series iitwayo ER, mwaweza kupata habari zake hapa ER (TV series) - Wikipedia, the free encyclopedia anyway... still can't complain!
 
Hivi vifaa ukienda mtu wa kawaida wanakuambia avifanyi kazi ............ Inakuwaje kwa doctor ulimnboka vinafanya kazi au ni india
Kukurupuka ni tabia ya akili hafifu zenye fikra za masafa mafupi, na ni ugonjwa unaolitafuna taifa la Tanzania. Kusema au kuandika tu bila kujali athari ya unayosema au kuandika ni sawa na kutembea uchi. God help us
 
Madaktari siku zote wapo kwenye mgomo. Wana ma agent wao ambao ni manesi kwa ajili ya kuwapokelea vijihela vya rushwa ndogo ndogo, unakuta mwananchi katoka kimanzichana kaja hapo Muhimbili ukiangalia mtu hajiwezi kutoa hata sh 500 lakini dokta ana demand 20,000 au mtu wa X-Ray anasema mashine mbovu wakati akija mwengine na chambi anapitishwa mlango huo huo anapigwa X-Ray anaondoka fasta.

Kuweni na moyo wa ubinadamu hamna aliyewalazimisha kuwa madaktari mliamua wenyewe.
Yes ipo sana hiyo ila kwa baadhi ya watu. Tena wapo ambao wanafanya kazi kama agent.... ku-deal na wagonjwa kwa kukusanya chapaa! Kikubwa anapewa specialist au dr wa kawaida then kinachobaki kinakuwa cha huyu agent. Huwa tunawaona sana ila tunawakaukia tu.
 
Acha ushabiki wa kijinga, we ulitaka hata anaeumwa maleria akatibiwe humo!
 
attachment.php


vipo vifaa hivyo icu. Acha kelele
0782250467

sasa mnadai vifaa bora vya tiba..hovyo kabisa ninyi madaktari kama hakuna maboresho ya vifaa vya afya hivyo anavyotumia huyo dr wenu mumetoa wapi kama si vifaa vilivyonunuliwa na serikali???? Mungempeleka private basi tujue tumewachoka sasa na madai yenu yasiyokuwa na msingi.. Hivi wodi za wazazi ,watoto zinajengwa kwa siku moja mana sasa ndo mumehamia huko baada ya kutimiziwa madai ya posho zenu. Uboreshaji wa huduma za afya ni suala la mtambuka ninyi dr's .kwa kweli sasa tumewachoka tena sana . Jk bora tubaki bila hawa watu tujue moja kuliko kubaka nao hawa wauaji ..fukuza tu waende kwenye zahanati zao ..na wanatumia muda wa utumishi wa umma na dawa za umma katika zahanati zao .
 
Naungana na wote wanaomtakia afya njema na uponaji wa haraka Dr. Ulimboka. Najua wengi tulishikwa na simanzi hata wengine machozi kututoka. Swari la kujiuliza '' Je ni kweli serikali imekosa njia mbadala ya kutatua madai ya madaktari hadi hali inafikia hapa? Je ni kututisha kuikataa haki yetu ya mgomo mambo yanapoenda mrama? CCM Jueni kua 2015 hamna chenu kwenye uchaguzi mkuu labda mchakachue kama kawaida yenu na hata mkichakachua wananchi hatutakubali. Nothing you have done for us comparing to 50 years of being in power. Yangu hayo tu jamani
 
0782250467sasa mnadai vifaa bora vya tiba..hovyo kabisa ninyi madaktari kama hakuna maboresho ya vifaa vya afya hivyo anavyotumia huyo dr wenu mumetoa wapi kama si vifaa vilivyonunuliwa na serikali???? Mungempeleka private basi tujue tumewachoka sasa na madai yenu yasiyokuwa na msingi.. Hivi wodi za wazazi ,watoto zinajengwa kwa siku moja mana sasa ndo mumehamia huko baada ya kutimiziwa madai ya posho zenu. Uboreshaji wa huduma za afya ni suala la mtambuka ninyi dr's .kwa kweli sasa tumewachoka tena sana . Jk bora tubaki bila hawa watu tujue moja kuliko kubaka nao hawa wauaji ..fukuza tu waende kwenye zahanati zao ..na wanatumia muda wa utumishi wa umma na dawa za umma katika zahanati zao .
Ww akili zako zipo kwenye masaburi.
 
Nimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !

Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !
Waweke ulinzi imara,maana Magamba ni hatari sana
 
Back
Top Bottom