Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Kinachofuatia kwenye haya ulosema ni Way out.......hebu pendekeza ama unavyofikiri wewe, ama inavyopaswa kuwa badala ya watu kupiga domo na kutoa matamko.
What shall the sons and daughters of the this land do...........or at least those who dare.
What shall the sons and daughters of the this land do...........or at least those who dare.
Mwenyezi Mungu mwingi wa karama na haya yote yalompata Ulimboka yalikuwa lazima yatokee ili sisi tupate kujifunza na kuwa wabora zaidi na pengine kuchukua maamuzi magumu zaidi. Sasa jamani, sii kila siku mnasema JK dhaifu ilihali sisi wote ni wadhaifu vile vile kama yeye ktk kuchukua maamuzi magumu tunawalinda wale wale tunaowakemea siku zote.
Mimi siku zote nasikia domotindi tu, sijui ikitokea hivi watatukoma! Leo Dr.Ulimboka amelala peke yake Hospital watu wengine ndio kwanza wanatafuta vijiwei ktk Club za bia kwenda danganya watu wengineo wakati undani wa swala hili unauma zaidi. Kuna kina Ulimboka karibu 100 ICU huko Mahospitalini ambao wao hawapati huduma ya matibabu kwa sababu ya mgomo wa Madaktari na Mungu mwingi wa makarama katuonyesha leo kamweka Dr wetu Ulimboka ktk kiatu cha wagonjwa maana angeweza kabisa kumwondoa roho akiwa porini lakini kamleta Hospital awe na wagonjwa wengine walokuwa ktk hali kama yake mwenyewe (aonje joto la jiwe).
Watu mnamwombea Mungu sana apone na kuilaani serikali ambayo nyote bado mnaitumikia na kuwalinda hawa hawa mnaowalaani. Aaaah! Mola wangu wee nimechoka na Unafiki wa Wabongo jamani!..