Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

real its very sad what he is going through, but God is good he is going to make it. but how and when? please God have mercy on this.

kuna sentensi ya wewe ni kadagaa tu katika bwawa lenye kambale na tutakumaliza atakaye lia ni mama yako" niliwah kuiskia hii sentensi na sikuamini kama yaweza toka kwenye kinywa cha binadamu sasa kwa hili nimeamini usemi huu.
 
Hata likitokea lile ambalo baadhi yetu hatutaki litokee ukweli ni kwamba serikali ya CCM inawajibika moja kwa moja kwa kilichomtokea.

Juzi wakati pinda anasema atatoa tamko kesho yake yani jana martha mlaki alisema kuna watu nyuma ya madaktari wanaofanya huu mgomo uzidi kwa maslahi yao kuwa inchi isitawalike, huenda ulimboka alibanwa ili kusema ukweli maana pinda aliahidi kuwa anafuatilia hilo.
 
My Thoughts are with his Family especially mama, mke na watoto.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
eee mola mponye mja wako, sikia kilio cha watu wako tanzania. Mpe faraja mke, watoto, familia na watanzania wote.
 
Hebu achaneni na haya mambo ya mungu bana....huyo mungu alikuwa wapi wakati jamaa anatekwa na wakati anapewa kipondo? Kwa nini hakuzuia hayo yote kutokea?

unaambiwa sikio langu sio gumu hata nisisikie shida zenu Mungu ndio tegemeo letu .Bwana ni ngome ya uzima wangu nimwogope nani ,twipute
 
Hebu achaneni na haya mambo ya mungu bana....huyo mungu alikuwa wapi wakati jamaa anatekwa na wakati anapewa kipondo? Kwa nini hakuzuia hayo yote kutokea?

NN,

Umenichekesha kweli.........Kuna mtu aliwahi kutuambia JK ni chaguo la Mungu
 
"my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that i love them and they must continue the fight" solomon mahlangu
 
mnasema kuna ulinzi mkali wa wenyewe madaktari?? hao wanaomponya mnauhakika nao????? kuna yeyote kati yenu kawahii Kuangalia picha inaitwa 24????.kama ndio basi mtapata jibu nini naamanisha.....

Inategemea na uzalendo wa hao madaktari wanaomtibu otherwise money can make them do things kumaliza kazi na waliotakiwa kuifanya ila kama kweli wanaipenda hii nchi inabidi wawe na msimamo wao mtu asiingie ndani
 
Hapana wangapi wanokufa kwa kukosa matibabu na hamuandiki humu JF
naam ni wengi.na nikujulishe tu pia kuwa wako wamama wengi wanaokufa (martenal deaths) kwa kukosa ambulance au mafuta ya kujaza kwenye ambulance kuwapeleka hosp na wangine wengi wanafia huko hosp kwa kukosa 'madaktari' ,vifaa na au madawa.hali kadhalika kwa watoto wadogo wengi wanakufa kila siku kwa kukosa dawa au vifaa basic tu mfano oxygen nk.vifo vya namna hii vipo vingi sana lakini pia haviandikwi huku jf maana jf itajaa thread hizo tu kama likifanyika hilo.Dr Ulimboka alitapatwa na aliyoyapata kutoka kwa serikali yako dhaifu na wauji kwa sababu alikuwa anawapigani hao ambao hatuwandiki humu wala hamna anayefatilia habari zao pia anapigania HAKI ya wanaowahudumia hao.Even if he dies(Mungu atuepushe na hilo),ameanzisha movement ambayo it will never be cracked down by threats,police,army,courts or killings.surely i tell u.
 
MUNGU sikia kilio chetu, mmponye huyu mtu. Tunamuhitaji sana.
 
ashukuru Mungu kua ni mtu anajulikana, leo hii kuna binadamu wengine ambao wametekwa na majambazi au wameumizwa vibaya hawataweza kupata huduma kama ya huyo doctor kwa kua madaktari wako kwenye mgomo

Mkuu bonge la point

Kula gwara chali angu
 
Mungu amhurumie kijana wa watu asiye kuwa na hatia.
 
Wakuu Maxence na Invisible nadhani ingekuwa msaada sana kama mngekuwa na reliable source pale MOI angalau iwe inawapa updates na nyie mnatuletea jukwaani.
Kuna watu wanaleta utani na hili swala na kwa kuwa kufungua thread ni halali kwa kila mwanachama, inatupa shida sie tunaotegemea JF kutupa habari zenye uhakika.
 
Tunaendelea na maombi ya nguvu.
Mungu Uliye Hai Usikie maombi yetu, umponye Dr. Ulimboka. Amen!
 
sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.wafanyakazi wa serekali kibao.madokta,madkta.kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi?mnaona wachina?Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa.low production.na serekali dhaifu atutaki.tunataka madikteta,sha choka na lawama za kijinga!
 
Back
Top Bottom