acha uongo kijana hiyo itv ya kwako pekeyako au
acha ubishi wewe hio tumeiona itv taarifa ya habari....
acha uongo kijana hiyo itv ya kwako pekeyako au
sijaona aliposema anaweza kufukuzwa
Kama ni kweli alitumia hayo maneno, basi ni kumpoteza kwenye kisiasa,ama kumpotezea uanachama(endapo ujumbe huo aliwalenga wanachadema).'kumpoteza huyu kijana' is that a threat?
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Dr.Wilbroad Slaa amesema Zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonya wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana", alisema Dr.Slaa.
Pia, Dr.Slaa amesema yeye kama katibu mkuu hajatoa form zozote zinazodaiwa kuoka makao makuu ambazo zinasambazwa ili zisainiwe.
Dr. Slaa katoa kauli hiyo leo mkoani Tabora wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.
CHANZO:ITV
hivi, kama cmd mnaweza kumfukuza zzk naomba mniambie mnacho subiri?
Ni unafiki tu unaomsumbua Zito,"KUNA WATANZANIA HAWANA CHAMA WANAAMINI KATIKA MABADILIKO NA KWA SASA TUMAINI LAO LIKO CHADEMA,YEYE KAAMUA KUIGAWANYA HIYO NGUVU KWA FAIDA YA WATAWALA KWA MANENO MENGINE NI MSALITI WA MABADILIKO ANAYO-ACT KUYAPIGANIA.,NI WAZI KWA SASA HANA JINGINE ZAIDI YA KUTEGEMEA KUWA MBUNGE KWA KIVULI CHA MAHAKAMA NA ALLAH WA SUBHANA~LAH AMWEPUSHE NA MABALAA KWANI WANAOMPA KICHWA NA KUMTUMIA KWA UPANDE WA WATAWALA HUWA HAWANAGA LA KHERI,WANAWEZA KUKUTUMIA VYOVYOTE HATA KWA KIFO".Zitto ni jembe, check alivomtumia salama Dr. Slaa
Nitapambana kutetea uanachama
wangu.
Kwa upinzani ni lazima tufanye
tofauti na CCM. Tuhuma za
matumizi mabaya ya fedha za
umma kwa upinzani ni mbaya
zaidi kuliko. Hivyo uwajibikaji kwa
wote bila kujali vyama. Uwajibikaji
sio msamiati kwa watawala tu bali
kwa viongozi wote. Namna
tunavyotaka nchi iendeshwe
ndivyo hivyo tuendeshe vyama
vyetu. Tuhuma dhidi ya Kiongozi
wa Upinzani kuhusu masuala ya
uadilifu zinapaswa kuhukumiwa
kwa namna ile ile
wanayohukumiwa watawala.
Ninarudia kuwaambia ndugu
zangu kwamba sitoki CHADEMA.
Chama kina jasho langu na
nitapambana mpaka dakika ya
mwisho kutetea haki ya
uanachama wangu.
Mimi ni CHADEMA toka ujana.
Niliingia CHADEMA kwa kuchagua
na sio wengine walioingia kwa
Mazingira Ya kupata fursa za
kugombea. Wengine
wangepitishwa na chama
walichokuwa kuwa wagombea Leo
wasingekuwa upinzani na
inawezekana wangekuwa mawaziri
mizigo au waendesha operesheni
tokomeza!
Acha kupindisha ukweli!
Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?
Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?
Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?
Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?
Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.
Zitto ni jembe, check alivomtumia salama Dr. Slaa
Nitapambana kutetea uanachama
wangu.
Kwa upinzani ni lazima tufanye
tofauti na CCM. Tuhuma za
matumizi mabaya ya fedha za
umma kwa upinzani ni mbaya
zaidi kuliko. Hivyo uwajibikaji kwa
wote bila kujali vyama. Uwajibikaji
sio msamiati kwa watawala tu bali
kwa viongozi wote. Namna
tunavyotaka nchi iendeshwe
ndivyo hivyo tuendeshe vyama
vyetu. Tuhuma dhidi ya Kiongozi
wa Upinzani kuhusu masuala ya
uadilifu zinapaswa kuhukumiwa
kwa namna ile ile
wanayohukumiwa watawala.
Ninarudia kuwaambia ndugu
zangu kwamba sitoki CHADEMA.
Chama kina jasho langu na
nitapambana mpaka dakika ya
mwisho kutetea haki ya
uanachama wangu.
Mimi ni CHADEMA toka ujana.
Niliingia CHADEMA kwa kuchagua
na sio wengine walioingia kwa
Mazingira Ya kupata fursa za
kugombea. Wengine
wangepitishwa na chama
walichokuwa kuwa wagombea Leo
wasingekuwa upinzani na
inawezekana wangekuwa mawaziri
mizigo au waendesha operesheni
tokomeza!
naomba watu wa USALAMA WAMKAMATE HUYU BABU HII KAULI SI YA KISIASA BALI NI YAKIMAFYA
NA KAMA MTAMPUUZA ANAWEZA KUFANYA KAMA ALIVYOSEMA NCHI HAITATAWALIKA. Take this notes.[/QUOTchademapiga boot huyu yuko na akina wassira mtabaki munasema yao badala ya chama hii limalizwe mapema kabla a mwaka mpya
Huyu mzee ana matatizo gani? yaaani u-dikteta umemkaa kupita maelezo!
Zitto anadai ni mwanachama mtiifu na mwaminifu kwa chama, huku akipokelewa kwa mabango yanayowadhalilisha viongozi na chama, huu ni zaidi ya unafiki na uzandiki. Wanachadema na chadema wawe makini sana na viongozi wa aina hii. Dr. Slaa yuko sahihi!
Bado wanasubiri siku ya 14, whoops sorry, siku ya 114 ndiyo watoe hukumu ya Zitto.
Chezea Zitto wewe!!!