KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Kijana ameshakata tamaa, hakujua kuwa anaweza poromoka kirahisi na haraka kama jumba ya karata.
Siku zote alifikiri ni maarufu hawezi kuguswa,hajaamini kuwa ni mwanachama wa kawaida si hilo tu hata uanachama wenyewe ni kama amebakiza asilimia kiduchu.
Inaelekea kijana ameamua LIWALO NA LIWE
Siku zote alifikiri ni maarufu hawezi kuguswa,hajaamini kuwa ni mwanachama wa kawaida si hilo tu hata uanachama wenyewe ni kama amebakiza asilimia kiduchu.
Inaelekea kijana ameamua LIWALO NA LIWE