Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Status
Not open for further replies.
ina maana wewe unae mtukana zitto umetumwa na dr slaa?maana dr anajaribu kusema mtu atahukumiwa kwa matendo ya wapenzi au wafuasi wake.
Acha pumba natumia mtandao wangu mwenyewe mie sio mtu kama wewe wa Buku 7 mie namfuatilia sana huyu Zitto namfahamu uzuri kuliko yeye ajifahamuvyo thus why nasema AFUKUZWE TU hapa moja kwa moja wewe ni mfuasi wa Zitto na ndio nyie Dr Slaa anaowaongelea,mie nipo Kichama zaidi na siko kwa Dr Slaa wala Zitto,wake up
 
There is something about him that I just can't put my finger on it yet.

Can you stomach him?


once u put your finger on it... please share it with us...

i am still trying to understand him...
 
Jamani walioangalia itv embu tupeni ukweli maana naona kuna taarifa gongano. Mwenye taarifa asiongeze wala kuweka ushabiki
 
Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.

Huyu mzee si alisema mjadala umefungwa?
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo mtu uhukumiwa kwa matendo ya wengine?

Kwa hiyo wafuasi wa mbowe na dr slaa wanao mtukana zitto wanakuwa wametumwa na wakina mbowe?

Mtafute Mohsin wa Misri ananyea debe kwa matendo ya wafuasi wake.
 
Zitto anadai ni mwanachama mtiifu na mwaminifu kwa chama, huku akipokelewa kwa mabango yanayowadhalilisha viongozi na chama, huu ni zaidi ya unafiki na uzandiki. Wanachadema na chadema wawe makini sana na viongozi wa aina hii. Dr. Slaa yuko sahihi!
 
Poleni WanaChadema JF na FB kwa kumjaza Slaa ujinga kuwa atafanya mambo ya kijinga kisha tutamfumbia macho na kumpigia kura za kumwingiza Ikulu 2015 kwa kifupi Dr Slaa asipobadilika anaweza kupata aibu kubwa hapo 2015 zile kura za 2010 zitapungua mno.Asidanganyike na ule umati unaokwenda kumsikiliza akidhani utampeleka Ikulu wengi huenda kujua ana kipi kipya cha kuongea,Tunaopiga kura ni sisi tusioenda kwenye mikutano
 
Wanaomshabikia huyu msaliti hawajui cho chote . Law of attraction imeshafanya kazi yake. The negative will attract the negative. Kitendo cha usaliti kitaendelea hadi afe. Do not ask me how it works
Ngoja uone maana yake ni nini. Cc Posco
 
Chadema kwa sasa haieleweki kiongozi nani na mwanachama wa kawaida ni nani! Ni kama kambare ambapo baba ana ndevu na mtoto ana ndevu! Hakuna wa kumuongoza mwenzake. Sasa Zito kuhutubia bila kuweka bendera ya chama chake jukwaani maana yake ni nini,hapohapo anasema bado atakua mwanachama muaminifu! Nilipata fanya kazi kampuni moja,kama haujavaa uniform ya kampuni,hauruhusiwi kuingia ofisini au kushiriki kikao chochote.Kwa sasa Slaa,Mbowe na viongozi wengine wanavuta kamba huku,Zito nae anavuta kule. Yet you travel in the same boat.Mnategemea kufika wapi?
Pathetic!
 
Sasa kutokuwa CDM ndio kupotea, no sense kabisa-ni kulewa umaarufu usio na msingi wowote
 
sijaona aliposema anaweza kufukuzwa

Namnukuu Dkt Slaa: enyi vijana mnaotumika vibaya mnaweza mkamfukuzisha huyu kijana Zito naongea kama Katibu mkuu wa chama.
Haya ndo maneno aliyozungumza for more details just go itv youtube utaona hiyo habari na uache tabia ya kama JK ya kuambiwa ama kusikia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom