Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

Status
Not open for further replies.
Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.

kamati kuu wamejaa wa Kilimanjaro Arsha na Manyara.
 
Last edited by a moderator:
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),Dr.Wilbroad Slaa amesema Zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonyo wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana",alisema Dr.Slaa.

Pia, Dr.Slaa amesema yeye kama katibu mkuu hajatoa form zozote zinazodaiwa kuoka makao makuu ambazo zinasambazwa ili zisainiwe.

Dr.Slaa katoa kauli hiyo leo mkoani Tabora wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.

CHANZO:ITV
Padri itumike busara. Mkimfukuza dogo cdm itapiga hatua nyingi nyuma. Dogo hana kosa la kustahili hukumu mnayomkatia. Kama nia yake ni kugombea uongozi wa juu na anafanya mkakati, si ndio demokrasia? Kwani katiba ya cdm inasema zzk hana ruksa kutaka uongozi wa juu.
 
kwa hiyo mtu uhukumiwa kwa matendo ya wengine?

Kwa hiyo wafuasi wa mbowe na dr slaa wanao mtukana zitto wanakuwa wametumwa na wakina mbowe?

Mkuu hilo siyo la kuuliza umesahau kwenye ile hekaya mtendaji mkuu alikuja ku-like kwenye ile hekaya
 
Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.

Mkuu, hawa wamekwisha maamuzi zamani, Leo wanakuja na kila aina ya hotuba kuhusu zito, wanachosubiri nini kama si kupima upepo.
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

Dr.W.Slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

Dr.W.Slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

Dr.W.Slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
Dr.W.Slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.
Japo sisi wengine sio madaktari, lakini dalili za early stages za mind incapacitation zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya viongozi wa Chadema, nadhani kuna baadhi yao wameanza kufunguka macho kuwa kinachoendelea dhidi ya Zitto ni some kind of vendatta ndio maana wamejinyamazia!. Sasa kama hizi ndizo early stages, later stages zitakuwaje?!.

Kama hawatatokea watu imara ndani ya CC ya Chadema kuhakikisha haki inatendeka, mzee wetu huyu, atakipeleka chama kusiko!, na hivi kufuatia kuwa ni msomi wa divinity aliyebobea, kuna baadhi ya wafuasi wake ni wanakondoo, sio tuu kwa utii, hadi kukaribia kumuabudu, chochote atakachosema hapana, wao hukiona kama dhambi, na kosa kubwa la Zitto ni kuonyesha interest ya 2015!, hii ni dhambi ya mauti na ndicho pekee kinachomsubiri Zitto ndani ya Chadema, hii kauli ya "eti anaweza" as if maamuzi hayajaamuliwa, ni zuga tuu!, nashukuru Zitto mwenyewe hili ameishalijua, na kaamua kufa nao!.
Pasco.
 
Zitto ni balaa kwa chama lazima afukuzwe Na wasaliti wote
 
Zitto anadai ni mwanachama mtiifu na mwaminifu kwa chama, huku akipokelewa kwa mabango yanayowadhalilisha viongozi na chama, huu ni zaidi ya unafiki na uzandiki. Wanachadema na chadema wawe makini sana na viongozi wa aina hii. Dr. Slaa yuko sahihi!

Hata Slaa akiwa kigoma alipokelewa na mabango kama hayo, Sijui unaiongoleaje hilo.
 
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Dr.Wilbroad Slaa amesema Zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonya wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana", alisema Dr.Slaa.

Pia, Dr.Slaa amesema yeye kama katibu mkuu hajatoa form zozote zinazodaiwa kuoka makao makuu ambazo zinasambazwa ili zisainiwe.

Dr. Slaa katoa kauli hiyo leo mkoani Tabora wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.

CHANZO:ITV

Kauli kama hizi zinaweza kuzua mgogoro mkubwa, unaposema kua mnaweza kumpoteza likitokea la kutokea sijui kama unaweza kukanusha kua hukuhusika na tukio hilo.
 
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Dr.Wilbroad Slaa amesema Zitto anaweza kufukuzwa kabisa na amewaonya wafuasi wake waache kutumika kwa kusainishwa document fake, "nawaonya mnaomshauri mnaweza kumpoteza huyu kijana", alisema Dr.Slaa.

Pia, Dr.Slaa amesema yeye kama katibu mkuu hajatoa form zozote zinazodaiwa kuoka makao makuu ambazo zinasambazwa ili zisainiwe.

Dr. Slaa katoa kauli hiyo leo mkoani Tabora wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara.

CHANZO:ITV

Slaa anaweweseka kutokana na nguvu ya zitto, sasa ndo kakalia kisu chenye ncha kali na kila akijitikisa ndo kinazidi kuchana bakunde.
 
dr.w.slaa anajaribu kisema kila kinacho fanywa na wanao mpenda na kimuunga mkono zitto basi kime andaliwa na zitto?

dr.w.slaa atwambie ni kipengele gani na ni sheria hipi inatoa nafasi mtu kuhukumiwa kwa kosa la mwingine?

dr.w.slaa anajaribu kusema kamati kuu yote itakubaliana na mawazo yake ya kumfukuza mtu kwa kuwa wafuasi wake wanataka kuandamana na wameandaa document za kusaini?

dr.w.slaa anajaribu kutwambia kamati kuu yote ina fikiri kama yeye na itafanya maamuzi kilingana na matakwa yake?

dr.w.slaa anajaribu kusema wafuasi wake wanao mtukana zitto au watu wengine huwa ana watuma?
dr.w.slaa kwanini unajaribu kuonesha umeiweka kamati kuu mfukoni.

maamuzi kuhusiana na usaliti wa zitto yalitolewa na kamati kuu , siyo dr slaa , zitto atatimuliwa na cdm , wala siyo dr slaa , kipi hukijui tukusaidie ?
 
Last edited by a moderator:
Afukuzwe tu huyu ndondocha kazidi sana haheshimu Chama chake wala viongozi wake hivi hawaoni kina Mwingulu Mchemba na ugonjwa wake wa akili lakini anaheshimu chama chalke na viongozi wake japokuwa ni wango'a kucha na meno ya waandishi wa habaari na Ma Dr ambao wanataka nchi iwe na uhakika wa wagonjwa na kuwe na vitu ambavyo vinakizi mahitaji kwenye Mahospital.

Sasa kwa Zitto Zuberi Kabwe hakuna la zaidi AFUKUZWE TU na ATAFUKUZWA TU kama mtabisha basi tieni pesa.Huyu jamaa kapoteza channel kwa kwenda kwa kuamini wale Ma DR wa tunguli na ndio wanaomharibia kila uchao mkumbuke wale Wachawi hawawezi kufanya mambo mazuri hata siku moja kwa wao wenyewe hali mbaya sasa watakufanyiaje wewe uwe kamili kado.

Wao wanaweza kuharibu tu na si kutengeneza.

Kwa waganga!? Hebu fafanua...
 
Zitto Yuko Nyuma Ya Malaki Laki Ya Wafuasi, Mwamba Huyu Yuko Katkati Ya MASHABIKI Kumi Elfu Wenye Itikadi Kali Mkimwacha Ataendelea Kusimama Zaidi, Mki Thubutu Kumwangusha Tuna Msimamisha!
 
ninachoweza kusema hapa ni kwamba , hakuna namna yoyote kwa ZITTO kuendelea kuwa mwanachama wa cdm .
 
Zitto Yuko Nyuma Ya Malaki Laki Ya Wafuasi, Mwamba Huyu Yuko Katkati Ya MASHABIKI Kumi Elfu Wenye Itikadi Kali Mkimwacha Ataendelea Kusimama Zaidi, Mki Thubutu Kumwangusha Tuna Msimamisha!

kama ni hivyo kwanini msianzishe chama chenu ?
 
Japo sisi wengine sio madaktari, lakini dalili za early stages za mind incapacitation zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya viongozi wa Chadema, nadhani kuna baadhi yao wameanza kufunguka macho kuwa kinachoendelea dhidi ya Zitto ni some kind of vendatta ndio maana wamejinyamazia!. Sasa kama hizi ndizo early stages, later stages zitakuwaje?!.

Kama hawatatokea watu imara ndani ya CC ya Chadema kuhakikisha haki inatendeka, mzee wetu huyu, atakipeleka chama kusiko!, na hivi kufuatia kuwa ni msomi wa divinity aliyebobea, kuna baadhi ya wafuasi wake ni wanakondoo, sio tuu kwa utii, hadi kukaribia kumuabudu, chochote atakachosema hapana, wao hukiona kama dhambi, na kosa kubwa la Zitto ni kuonyesha interest ya 2015!, hii ni dhambi ya mauti na ndicho pekee kinachomsubiri Zitto ndani ya Chadema, hii kauli ya "eti anaweza" as if maamuzi hayajaamuliwa, ni zuga tuu!, nashukuru Zitto mwenyewe hili ameishalijua, na kaamua kufa nao!.
Pasco.

Mwanzo wa sakata la zitto wenggine tulisimama kumtetea huyu kijana, siku zinavyokwenda tunajitambua huyu dogo ni lazima afukuzwa kwa maslahi mapana ya chama, mifano mingi imetokea, Kolimba alipotishia uhai wa ccm, chama kilifanya maamuzi, ANC dhidi ya kijana maarufu MALEMA chama hakikupoteza muda na leo MALEMA imebaki story.Nimemsikia katibu mkuu akisema chama hakitasita kuchukua hatua zingine za dharura.Ni sawa ndiyo inavyotokea ktk uongozi ulio-bold.JK kachukua maamuzi kufukuza mawaziri, mnashangaa nini kufukuzwa zitto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom