nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Duh, chadema inaitesa sasa ccm!
Yan CCM watahangaika sana kama wamekalia ----- ila hawatoweza,., Go CDM go
Hivi wewe ni wa kike kweli.Slaa angekuwa ndiye mwalimu Nyerere enzi zile za akina bibi titi mohamed akina mirisho sarakikya angefanyaje. Dr akili imeishia kwenye vitobo. I hate u dr slaa i hate u cdm.
1. Kama kauli hii haina makosa, je chadema ni ya kidemokrasia au ya kiimla?
2. Hakuna utaratibu wa kutolea maamuzi halali kuhusu mambo ya chama?
3. Km ameshafukuzwa kwanini mnakasirika akifanya mikutano mkoani kwake?
4. Kwanini nyie mnamdhalilisha halafu hamumpi fursa ya kujitetea?
is that democracy? Chadema acheni ulaghai, watz sio wajinga kiasi hicho
huyu mzee siyo gongo tu. lazima na tukuber(tambuu)mimi nilishangamushutukia siku nyingi.ila kwasasa ameanika mwenyewe diyo maana hata chama anakichanganya kama ambavyo alivyoichanganya familia yake.du. huyu ni jasiri kweli!nawashangaa wanaohangaika kuzuia kifo cha machadema
gongo ni hatari sana kwa afya yako
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema kuwa chama hicho kimenasa mkakati mzito uliolenga kuwarubuni viongozi wa wilaya wa chama hicho wafanye uasi bila kujua.
Alisema kuwa mkakati huo umetolewa na watu aliowaita matapeli wa kisiasa, ambao wanasambaza barua katika maeneo kadhaa wakisema kuwa imetoka Makao Makuu ya CHADEMA ikiambatanishwa na fomu ambayo wanaambiwa wasaini kuonyesha wanataka kufanyika kwa kikao cha dharura cha Baraza Kuu la chama hicho.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Nzega juzi, pia katika Kijiji cha Nanga na mjini Igunga jana, Dk. Slaa alisema kuwa hila za watu hao wanaolenga kuwarubuni viongozi wa chini wa chama hicho ili waonekane wanapinga uamuzi wa Kamati Kuu iliyochukua hatua za kinidhamu dhidi ya mbunge Zitto Kabwe na wenzake, zimebainika baada ya kushtukia ulaghai huo.
Nataka kutoa ufafanuzi wa suala hili la kitaifa kupitia mikutano hii ili niwajulishe viongozi na wanachama wote kwa pamoja badala ya kumjibu mtu mmoja mmoja, kwamba tumenasa mkakati huo unaoandaliwa na watu wanaotaka CHADEMA isiwepo.
Wamepeleka barua kwa baadhi ya viongozi wetu mathalani mikoa ya Lindi na Mtwara, ambayo imeambatanishwa na fomu ambazo hazijaandikwa kitu chochote pale juu, lakini wanaambiwa wasaini.
Tumegundua nia yao ni kufanya kitu kinaitwa petition dhidi ya maamuzi ya chama. Tunasema huo ni uasi.
huyu mzee siyo gongo tu. lazima na tukuber(tambuu)mimi nilishangamushutukia siku nyingi.ila kwasasa ameanika mwenyewe diyo maana hata chama anakichanganya kama ambavyo alivyoichanganya familia yake.du. huyu ni jasiri kweli!
gongo ni hatari sana kwa afya yako
Hiki kibabu kinachanganyikiwa! Kila siku kinajifanya kimegundua siri,sijui nini, wote ni kuogopa kivuli chake kwa ujuha wake!
Una laana ya wazazi,wahi haraka ukatubu! CDM itawapa presha buree!
MACCM mtatapa tapa sana,CDM ipo na itaendelea kuwanyima usingizi! hizi kelele zenu tunazipuuza na kama mliamini sana katika mapandikizi yenu MAMM mlijiroga CDM HAIFI NA 2015 MTAJIBEBA,WASALITI WENU WATATOSWA NA HUO NDIO UTAKUWA MWISHO WA KELELE ZENU!