Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,983
- 5,801
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
Hivi ukiondoa suala la Dr.Slaa kuwa chadema(chama cha upinzani) ni yapi ya kutushawishi wananchi kuwa Dr.Slaa ndiye anatufaa kuwa Rais wetu?
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
kila uchafu unaouona nchi hii ulifichuliwa na Dr slaa ,Hivi ukiondoa suala la Dr.Slaa kuwa chadema(chama cha upinzani) ni yapi ya kutushawishi wananchi kuwa Dr.Slaa ndiye anatufaa kuwa Rais wetu?
Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo!Kwanini we usinge jaza fomu ya kuomba urais kama umeona yeye hana uwezo?
Tanzania hatuitaji mtu mwenye maneno mengi wakati utendaji kazi ni zero, Lowassa uwezi kupendwa na watu wote wewe siyo pesa ila wengi wetu tumeisha kuamini unaweza na tuko nyuma yako katika kujenga Tanzania mpya.
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
SLAA TELABYTE wakati Lowassa MEGABYTE....'hahaaa
Tanzania hatuitaji mtu mwenye maneno mengi wakati utendaji kazi ni zero, Lowassa uwezi kupendwa na watu wote wewe siyo pesa ila wengi wetu tumeisha kuamini unaweza na tuko nyuma yako katika kujenga Tanzania mpya.
Mpwa naona umechoka kabisaHii nchi bhana. . . . . . .
joka kuu, couldn't agree more comrade. Bora tumemsikia na kumfahamu (zaidi) mapema..mkutano mzima haukuwa well organised.
..focus ilitakiwa iwe kwa Lowassa, na siyo mwenyekiti wa CCM aliyetua na helikopta.
..Mzee Borafya, Kange Lugora, na yule kijana wa nec, hawakutoa hotuba nzuri za utangulizi.
..mwisho, hotuba aliyotoa Lowassa was not inspiring at all.