Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Nampenda Lowasa maana haongei kwa jazba, anajua kile anachoongea na sio mwongo kama fulani eti mfuko wa cement kuwa 5000 kama kiwanda chake vile
 
Ulishawahi kuna wagombea urais katika nchi zozote zilizoendelea wamefanya kampeni hadi uchaguzi bila ya midahalo? Au Tanzania ni exceptional ndiyo maana watu wanaweza kumshabikia mtuhumiwa wa ufisadi bila aibu
 
nilikua sijawahi kumsikia lowasa akiongea popote, hata bungeni sikuwahi kumsikia akichangia chochote, lakini kwa hutuba yake ile leo, hakuna shaka yule jamaa ni kichwa maji, hafai hata ukuu wa wilaya achilia mbali urais...

teh teh teh
 
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?

I don't think so!

Ni sawa na marekani ipigane na Eritrea halafu utegemee Eritrea ishinde
 
Kuna mambo mengi sana yametokea Lowasa alibaki bubu,Humphrey Polepole alimuumbua kuwa alipohojiwa alitaka S3 bungeni akawa bubu
 
Dr Slaaa Kwan ndiyo mgombea Urais?kweli mie binafs huyo Mzee sijawahi muona Kama Tishio kwa siasa za nchi hii ati Slaaa
 
Dr Slaaa Kwan ndiyo mgombea Urais?kweli mie binafs huyo Mzee sijawahi muona Kama Tishio kwa siasa za nchi hii ati Slaaa
haah haah wanafiki wengi nchi hii,Dr.Slaa ni tamplate tazama ilani yake 2010,yote mmekop na kwa aibu mmeshindwa kutekeleza
 
Nampenda Lowasa maana haongei kwa jazba, anajua kile anachoongea na sio mwongo kama fulani eti mfuko wa cement kuwa 5000 kama kiwanda chake vile

Sasa unabisha Root?China mfuko wa cement ni 4000/=,Slaa akisema 5000 kwa Tanzania ni feasible....anajua cha kufanya,ni very likely..

Sasa wewe unakuja na stori,unafikiri watu wanakurupuka tu
 
Kujieleza sio tatizo, Lowasa hayuko vızuri kichwani na ni mlaghai tu.Mtu mzuri anaonekana hata km hawezi kuwasiliana vizuri.Hotuba yake haikuwa na focus lıcha ya kuwa alikuwa akisoma.
 
Sasa unabisha Root?China mfuko wa cement ni 4000/=,Slaa akisema 5000 kwa Tanzania ni feasible....anajua cha kufanya,ni very likely..

Sasa wewe unakuja na stori,unafikiri watu wanakurupuka tu

Hebu fikiria kidogo.
China umeme ilio nao ni mwingi kuliko wa hapa nchi na viwanda ni vingi vinatengeneza sana kuuza ndani na nje ili kuweza pata faida.
Hapa kwetu umeme ni shida, viwanda vichache, no competition hivyo bei inakuwa kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…