hakuna mwenye uwezo wa kushindana na dr.slaa .lowasa hafai kugombea uraisi wa tanzania
dr slaa ni raisi wa jamii forums !! Na lowasa ni raisi wa mafisadi!
Nini maana ya mwadilifu na nini maana ya fisadi?
Na nani kati ya hao hapokei posho.
ww mwana jf piga kura yako sasa. Si umo kwenye jf?
Sasa tupe chaguo lako kati ya hao nani unamkubali humu jf
James Mbatia ama Zitto Kabwe!
Wajua chizi hajijui!! kwa maana wee hujionisio bure wewe ni wa KUPIMWA utakuwa umeshavurugwa:mimba:
Wajua chizi hajijui!! kwa maana wee hujioni