Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa anapambanishwa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kupata mwanasiasa bora anayekubalika zaidi kwa ajili ya kuwania TUZO YA JAMII.

Shirika la Tanzania International Awards ndilo linaratibu shindano hilo.Wapo pia wanasiasa wengine pia wanaowania tuzo hiyo kama Mizengo Pinda,James Mbatia,Ibrahim Lipumba,Bernard Membe na wengineo ingawa mchuano zaidi unaonekana ni kati ya Dr Slaa na Lowassa

Pia kuna tuzo kwa ajili ya vijana na wanapambanishwa John Mnyika,Halima Mdee,David Kafulila,Mwigulu Nchemba,Saada Mkuya na wengineo.

Mpambano huo unafanyika kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa mfano kumchagua Dr Slaa unaandika ujumbe MM03 kwenda 15522.

Kuna kamchezo kachafu kanataka kuchezwa hapo.
 
Kuna mlengo flan unaotaka kuhalalisha jambo flan kwenye hiyo tuzo...kuna wengine wamewekwa hapo kuwania hiyo tuzo kubalance tu hiyo hali ila nyuma ya hicho kinyang' anyiro kuna mkono flan mchafu
 
Ivi jamani lowassa naye yupo kwenye mashindano kwa ajili gani? Lengo nini? afadhali slaa hana kashfa hata kidogo
 
Hapo ni kutaka kupima upepo, Hiyo taasisi inaaminika na wote?

CHADEMA wawafahamishe umma kama ruksa kuttuma ujumbe.
 
Ukiona tumefika mahali ambapo wahujumu uchumi na mafisadi papa waliolilaza taifa njaa wakipambanishwa na wazalendo wa kweli na wenye uchungu na nchi basi ujue Taifa hilo limeoza na kuangamia.
Ni matusi kumpambanisha Baba wa Taifa Dr.Slaa na Mtu kama lowasa hivyo ni sawa na kumpambanisha Malaika Gabriel na Jinamizi. Eeh Mungu tuhurumie.


UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE

Kama upinzani unakataa demokrasia basi usahau kushika hii nchi.
 
Ivi jamani lowassa naye yupo kwenye mashindano kwa ajili gani? Lengo nini? afadhali slaa hana kashfa hata kidogo

Licha ya hilo, Lowasa kwa fedha aliyo nayo anaenda kutafuta nini zaidi? Wengine naweza kuwaelewa kwamba wanataka kututumikia ili nao walau wapate mkate wa uhakika kwa kipindi hicho na baadaye. Sasa EL anatafuta nini zaidi ya ukwasi alio nao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom