Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mkuu DARKCITY MaCCM hawana ubavu wa kuchuja corrupt candidate!!
Hivyo wakimleta kichwakichwa sisi chaguo ni Dr Slaa kiboko ya mafisadi!!
Nachagua Dr Slaa!
 
Last edited by a moderator:
Lowasa aweza kufa kwa pressure 2015 maana anavyoutaka urais kwa udi na uvumba!!!!!!!!
Mzee lowasa, jitafakari aisee. Watu wajingawajinga Tz wengi wao wameshakufa.
 
Dr Wilbroad Peter Slaa ndio Rais wangu mie alieko moyoni
 
Lowasa kwa kuwa ni mwizi basi ashindwe na alegee.
Dr Slaa anaweza.
 
Dr W. P. Slaa anafaa.

Kwa tulikofikia tunahitaji Rais kama Kagame na si Mtu lege lege kama hawa Maccm.
 
mkuu dr slaa ndie rais wa watanzania wote.

....yaaani mamvi kaaibika mbaya, leo nimejifunza somo moja kwamba si lazima uwe ikulu ndo uwe rais wa nchi bali mchango wako kwa maendeleo ya taifa watosha kudhihirisha kuwa wewe ni rais wa taifa hili, asante dr. slaa na chadema kwa kufanikiwa kutengeneza taifa lenye matumaini mapya, Mungu awabariki sana.....
 
Mods boresheni daftari la wapiga kura ili kuwawezesha wanaotumia cm km mimi kushiriki kupiga maana ni haki zetu za msingi hapa katika nchi ya JF

Ndugu fuata maelekezo haya kwa wanaotumia simu.

1. Nenda juu ya ukurasa wa JF utaona neno TOUCH.
2. Bonyeza neno TOUCH ili kufungua ukurasa mpya.
3. Kwenye ukurasa huo mpya shuka chini hadi mwisho utaona neno FULL PAGE.
4. Bonyeza hapo kwenye FULL PAGE.
5. Sasa unaweza kuingia JUKWAA LA SIASA hapo tafuta mada husika.
6. Karibu kwenye sanduku la kupigia KURA.
 
Mods boresheni daftari la wapiga kura ili kuwawezesha wanaotumia cm km mimi kushiriki kupiga maana ni haki zetu za msingi hapa katika nchi ya JF

Mkuu unaweza kupiga kwa kutumia simu coz jf desktop inakubali hata kwa simu.!! Fanya click hapo juu palipoandikwa ''TOUCH'' ikishafungua shuka chini click neno ''full site'' then tafuta thread husika hapo utakuwa umefanikiwa!! Baada ya hapo unaweza kurejea jf mobile ulikozoea!!
 
Imenilazimu kupiga kura kama haki yangu hapa JF.Kura yangu nimempa aliye hai na tuatakaefanyanae kazi.Sala za wafu ziende Chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom