Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mods ingekuwa poa kama mngeiacha jukwaa la siasa ili kukata mzizi wa fitna.
 
Dr Slaa
hiyo link ya kupigia kura haifunguki kwa sisi wa mobile
 
Kwa 2015 hakuna atakae shika urais kati ya hao wawili ingawa wana nguvu kwenye vyama vyao na wanakubalika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom