Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tunamtaka Lowasaaaaaaaaa, aendelee kutuibia kwa kushirikiana na Rostam
 
Slaaaaaaaaaaaa, the predidaaaaaaa 2015
 
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.

Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.

NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.

------------------------------------------------------------------

*Kwa maoni zaidi ya washiriki wa JamiiForums kupitia ukurasa wa Facebook - Dr. Wilbrod Slaa Vs Edward Lowassa (JamiiForums facebook page)

'out of context' hawa ni wanasiasa wawili tofauti kabisa, kuwa fair pambanisha ccm vs cdm, au kama nipashe watoke chama kimoja, vinginevyo panua wigo mbowe, mbatia, lipumba, dk shein, nk.
 
Hao wote ni wadini/wakatoriki hawapaswi kuongoza hii ni wabaguzi mno.
CHAMVIGA, kwani taabu nini? Si upige tu kura kwamba wote hawafai? Mnavyohatamia kujibu posts kinazi, mtu atadhani mko wengi...haya sasa, onesheni kwa vitendo. Piga kura! Safari hii mods wamefanya jema kweli, hakuna kutumia IDs zaidi ya moja, ukishapiga kwa ID moja hupigi tena labda uwe na IP address, server au VPS nyingi tu...safari hii imekula kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi siko tayari kumpa kura Mgomboea yoyote wa CCM hii, hata kama Malaika kutoka mbinguni awe Rais kupitia CCM hataweza kuwa Rais mzuri.
 
'out of context' hawa ni wanasiasa wawili tofauti kabisa, kuwa fair pambanisha ccm vs cdm, au kama nipashe watoke chama kimoja, vinginevyo panua wigo mbowe, mbatia, lipumba, dk shein, nk.

Hao uliowataja katika nafasi ya uraisi hawakubaliki sana.Hili liko wazi kabisa
 
261642_348953151910410_1936215130_n.jpg
 
Usikurupuke na hoja unafahamu kilichowafanya baraza la Maskofu TEC wamtimue?
Usitake kulisha watu ----- huna unachokijua kuhusu TEC,hizi propaganda zilishajibiwa na aliekuwa Rais wa TEC Muhashamu Askofu Thadeus Ruaichi askofu wa Mwanza...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom