ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 649
- 583
Dr.willbroad peter slaa.
sijaona sehemu ya kupigia kura
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.
Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.
NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.

Time will tell, siyo ishu ya kutaka au kutokutaka.hatutaki wauza gongo
Salary Slip Ndugu yangu mimi sio Mungu na naomba usinifananishe nae, mbona hujamuuliza mleta mada kwamba amejuaje kama hao ndio watakao gombea uraisi kwani yeye Mungu?. Niulize kitu kingine