Hivi wote nyie hamjakiona kitufe cha kupiga kura hapo juu? Tuliopiga kura halali ni 20 tu hizi mnazoandika hapa ni batili yaani zimeharibika....Dr Slaa any way
Sijaelewa kwa hiyo Slaa atahamia CCM au Lowasa atakuja CDM? Je kuhusu katiba inavosema kama candidate atatoka visiwani, mwenza itabidi awe bara vp rasimu imerekebsha??
Salary Slip Ndugu yangu mimi sio Mungu na naomba usinifananishe nae, mbona hujamuuliza mleta mada kwamba amejuaje kama hao ndio watakao gombea uraisi kwani yeye Mungu?. Niulize kitu kingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.