Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Dr Slaa, the game over!..

Dr.SLAA -SI MWIZI

Dr Wilbroad Peter Slaa

Dr Silaa.

slaa atosha..

huu ndio wakat wa ben aka yahaya kutumia zile id zake zoteeee

Hahaha safari hii lazima mteme nyongo. Katika ID zote hapo juu nawapa ruhusa Moderators waunganishe na ID yangu kama kuna ID yangu fake miongoni mwa hizo ID hapo juu.

Dr.Slaa hajawahi kujitangaza kuwa mgombea Urais na chama chetu kinafuata utaratibu.Watu ndio wanamtaka tofauti na huyo mgombea wako anayezunguka kujitangaza kwa kutumia hela za ufisadi na kuwalaza watanzania gizani.

Tangu ufunge safari ya kuhudhuria kongamano la mishikaki kule Monduli umewehuka kabisa.Acha ulimbukeni.Sijui mimi Ben ninaingiaje hapa hadi uanze kunitajataja.
 
umekubali kuwa ww ni yahaya cyo,nashukur kwa kutambuwa hilo,mbna hata lile la joyce mukya lina ukweli
 
umekubali kuwa ww ni yahaya cyo,nashukur kwa kutambuwa hilo,mbna hata lile la joyce mukya lina ukweli

mkuu ktk kongamano la mishkaki,mlilishwa yamini?maana haiwezekani mishkaki tu ndo iwachizishe namna hii
 
Mkuu Invisible tunakushukuru sana ila hii ngoma ingebaki kule jukwaa la siasa na pengine kama "sticky" ingekuwa bomba zaidi.

Hata hivyo,tunakushukuru sana kwani itasaidia hata vyama husika kuteua wagombea wanaokubalika.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom