Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Hayo ndio mawazo mema.mwisho wa siku wanaukawa tutampitisha atakaeungwa mkono na wengi. Vivaa ukawaaa!

Dr.slaa ni mtu makini ni kizazi cha Nyerere ,sidhani kuna wa kumlinganisha na wenye kutafuta ufalme ndani ya ccm!, kama akina Lowasa huhangaika kutoa rushwa ili waupate sijui watazirudishaje sioni tofauti ya Liwassa,marecela,makamba,sumaye,membe,na ngereja mwenye kujenga ghorofa la milioni 400 ndani ya miaka mitatu ya uwaziri
 
Anazeeka vibaya sana huyu jamaa hata akigombea ujumbe wa serikali za mitaa hakuna atakaye mchagua
 
Mzee Mtei kampiga chini, jana niliandika humuhumu JF.
 
Slaa halazimishi uongozi. Slaa analazimishwa na wananchi kugombea. Hata 2010 Slaa alikuwa Karatuuuu anakula kitimoto umati wa watanzania ukaenda kumwomba agombee. Hana presha Slaa. Na ndio tabia ya wenye akili nyingi,tabia za watu wenye upeo mkali sana. Tabia za mwerevu hizo. Slaa hataki madaraka, sisi tunaompenda tunataka atake madaraka
nadahani na wewe ulikuwepo pamoja na mumeo katika umati ulioenda kumuomba kule karatu.
BAVICHA BANAH!!! BAGI TUUUUUU
 
Hata akigombea hawezi kumshinda Stephen Masato Wassira mgombea wetu wa CCM 2015.
 
Laana tuliyoipata ya kumuweka muasherati na mzinzi mchafu kuliko wote ikulu huioni hadi leo!? Miaka kumi ya laana inaishia siku za karibuni!! Mtu hata watoto hawajui mama zao!! Damn!! Ndoa ngapi zimevunjika toka 2005 hadi leo unajua? fuatilia ndoa za ma DC na mawaziri na hivi karibuni yule mdada wa mwanza kashindwa kuolewa sababu ya rais mzinzi!!-- Endelea nitakupa mengine umpelekee IGHONDU!! stupid!

Ubarikiwe sana kwa kumpa za uso huyo nge.de.re
 
Anayefaa tunamjua vizuri CDM kuwa ni ZZK sasa kwa kuwa watu waoga kupoteza mizengwe ndo inatawala!
 
mawazo ya mjinga!

Wewe mjanja, inatosha.

Lakini kumbuka ni chama kipi tawala Tanzania, sasa jifikirie. Ikiwa wajinga wamekutawala, wewe ukoje?

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Na wassira anautaka Urais?
Duuu,mwaka huu maccm mtagawana mbao

Kugawana mbao kivipi?
Uchaguzi ndani ya CCM unafanyika kwa uwazi na ukweli, mgombea anapatikana na wengine wanamuunga mkono.
Sasa hapo mbao ziko wapi/
Atakayeshinda ndiye mgombea wa CCM
atakayeshindwa kwa KANUNI ccm anawajibu wa kumuunga mkono mwenzake ili chama kishinde.

Endelea kusubli sana .
 
Yeye na Mbowe wameharibu chama kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anaona uwezekano wakupata urais hakuna. Mbona hakusema hivyo baada ya uchaguzi mkuu wakati Chadema ilikuwa na nguvu?

Buku saba @work.
 

Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa

DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka, kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.

Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.


UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.

Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."


Chanzo: Mtanzania Juni 11, 2014


My take:
Dr slaa ni kiongozi mtiifu


Hana kitu huyo. Baada ya kuihaini nchi kwa kukubali kubeba ajenda ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, amegundua kuwa hana jipya tena kwa mwaka 2015 kwa sababu watanzania walishamshtukia na wenzake hawana mpango naye.
 
Simple calculations.......

Unayo timu ina wachezaji A na B ambao ni ma goal keeper.

Timu Pinzani inapenda sana mchezaji A akikaa golini.

Timu Pinzani haipendi kabisa mchezaji B akikaa golini.

Wewe kama Kocha utampanga Mchezaji yupi ambaye atakuwa threat kwa timu Pinzani?

Cc FaizaFoxy ifweero Lizaboni @


Yeyote ataekuwa "threat" simpangi kabisa, kwani kucheza ni vita? ushasema "mchezaji", sasa "threats" za nini, wacheze watu wastarehe na roho zao.
 
Back
Top Bottom