Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
siku watanzania tukijichanganya tukamuweka slaa madarakani tutakuwa tumefanya first class mistake
Uko sahihi mkuu tuzidi tu kumuombea mzee wetu Dr Slaa
Tumuombee aache uzinzi na ukoloniUko sahihi mkuu tuzidi tu kumuombea mzee wetu Dr Slaa
siku watanzania tukijichanganya tukamuweka slaa madarakani tutakuwa tumefanya first class mistake
powered by viroba
Mzinzi awe rais? Unachekesha kweli wewe.
Slaa labda awe rais wa wazinzi
Watz hawako tayari kuongozwa na kale kazee...hivi ule mkono mbovu alianguka bafuni alikuwa anafanyaje??