Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Mkuu, hivi umemuelewa Weston Songoro? Kama mpo kwenye umoja maana yake ni kwamba upande mmoja hauwezi kujipangia mgombea urais. Lazima pawe na makubaliano ya pamoja

Kwani ni kamati ya chadema ndo imekutana ikadai Dr anang'ara kuliko wengne au ni maoni ya wananchi?
 
Wananchi gani hao mnaowasema? Watakuwa waliwakusanya wanywa gongo na viroba tu
 
Hata mimi namuunga mkono Dr Slaa lakini siyo kwenye Madaraka makubwa ya nchi labda aishie kwenye uongozi wa chama huku wanako kutaka kama uraisi babu amepwaya ni tamaa tu awachie wengine kama Alima, Lema na Zitto tuwafikilie kwanza chama kishakufa.
 
Kwani Dr Slaa anagombea urais upi? Au Urais wa Cha,a cha. Wapora wake za watu na wanywa gongo?
 
Hata mimi namuunga mkono Dr Slaa lakini siyo kwenye Madaraka makubwa ya nchi labda aishie kwenye uongozi wa chama huku wanako kutaka kama uraisi babu amepwaya ni tamaa tu awachie wengine kama Alima, Lema na Zitto tuwafikilie kwanza chama kishakufa.
Mkuu, bora umeliona hilo. Utatamanije kuongoza nchi wakati chama kinakushinda?
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amewatimulia vumbi watu wote wanaotajwa kugombea Urais mwaka 2015

Katika maoni ya wananchi katika kipindi maalum kilichorushwa na Radio Highlands FM kuhusu nani anafaa kuwa Rais mwakani idadi kubwa ya wananchi waliohojiwa walimtaja Dr Slaa kama mtu aliyekidhi vigezo vyote.

Katika watu 32 waliozungumza moja kwa moja watu 19 walimtaja Dr Slaa kama mtu anayefaa huku Edward Lowassa akifuatia kwa mbali kwa kutajwa na watu 7 wengine waliotajwa ni Bernard Membe,Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe.

Moja ya sifa alizopewa Dr Slaa na waliomtaja ni uadilifu na ujasiri wa kufichua maovu bila kumuogopa mtu.
kwa sasa Dr Slaa annazo sifa zote za kuwa Rais wa nchi hii maana ni yeye peke yake ndio anaonekana mwenye uchungu wa kweli wa nchi hii na wananchi wake. kwa upande wa ccm hakuna mtu wa namna hiyo maana kama angekuwepo wasingekubali kuona wananchi wanavyoteseka wakati wao ndio wenye madaraka
 
Kibokao yao ni alipo taja List of shame. Hapo ndiyo nikajua taifa hili linsongozwa na mafisadi wa aina gani. wakiwa majukwaani unaweza kudhi ni binadamu lakini....haya bwana
 
kwa sasa Dr Slaa annazo sifa zote za kuwa Rais wa nchi hii maana ni yeye peke yake ndio anaonekana mwenye uchungu wa kweli wa nchi hii na wananchi wake. kwa upande wa ccm hakuna mtu wa namna hiyo maana kama angekuwepo wasingekubali kuona wananchi wanavyoteseka wakati wao ndio wenye madaraka

Nakubaliana na wewe mia kwa mia kabisa.
 
Kama kweli watanzania wanataka kupunguza idadi matatizo waliyonayo basi DR. Slaa ndiye jibu lao 2015.
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amewatimulia vumbi watu wote wanaotajwa kugombea Urais mwaka 2015

Katika maoni ya wananchi katika kipindi maalum kilichorushwa na Radio Highlands FM kuhusu nani anafaa kuwa Rais mwakani idadi kubwa ya wananchi waliohojiwa walimtaja Dr Slaa kama mtu aliyekidhi vigezo vyote.

Katika watu 32 waliozungumza moja kwa moja watu 19 walimtaja Dr Slaa kama mtu anayefaa huku Edward Lowassa akifuatia kwa mbali kwa kutajwa na watu 7 wengine waliotajwa ni Bernard Membe,Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe.

Moja ya sifa alizopewa Dr Slaa na waliomtaja ni uadilifu na ujasiri wa kufichua maovu bila kumuogopa mtu.

Dr Slaa ambaye kwa sasa ndiye mwanasiasa maarufu zaidi nchini hajawahi kutamka kama atagombea Urais mwakani ingawa kuna shinikizo kubwa ndani na nje ya chama chake kumtaka afanye hivyo.
Khaa!! hapo kwenye blue ndiyo umeharibu kabisa.Dr Slaa si muadilifu hata kidogo. Amelewa hata madaraka hayo kidogo aliyopewa. Hafai kuongoza nchi kwani watanzania si wajinga :cool2:
 
Back
Top Bottom