fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
umeguswa na ukweli nini
huwa sipendi unafiki wa kuona nyekundu na kusema njano.
upo kiushabiki na c hali halisi iliyopo.
dr. slaa alipendwa na co anapendwa.
huo ndio ukweli ingawa unauma
umeguswa na ukweli nini
huwa sipendi unafiki wa kuona nyekundu na kusema njano.
upo kiushabiki na c hali halisi iliyopo.
dr. slaa alipendwa na co anapendwa.
huo ndio ukweli ingawa unauma
Ukweli ulio dhahili Slaa ni chaguo la Mungu kwa sababu kila siku mvuto wa kisiasa unaongezeka tu,hao wengine wote ni wapambaji tu wa harusi kwani hakuna harusi isiyo na wapambe.Kama mpaka vijiini ukienda ukiuliza raisi ajaye nani wanakujibu ni dr.Mpaka najiuliza hivi ni malaika wa Mungu wanaolitangaza hilo jina,kwa sababu vijiji vingine vya ndani kabisa nchini kama nkonko ,lidumbe,kasindago
,itigi,chimate,lwiro,
liparamba ,ng'apa,mbesa,izazi,
viongozi wa chadema hawakujui lakini wananchi wake wanaijua chadema na kuithamini.vijiji ambavyo chadema haina hata balozi .Sasa nimeamini maneno yaliyopo kwenye misaafu kwamba "hata msipotaka kulitangaza neno langu ,ndege wa angani ,miti na mimea vyote vitalitangaza neno langu".Hilo neno ni chadema,mamba hawezi kutembea peke yake,hivyo katika msafara wa mamba lazima kenge wawepo
Hata hivyo mshauri aoe kwanza ndo agombee, hatuwez kuongozwa na bachelor, amuoe huyo mpayukaji josephine ambae sasa anatambulika kama mchumba wake!
Mzinzi awe rais? Unachekesha kweli wewe.
Hv kwa akili ya kawaida mwanaume rijali anaweza kuporwa mke? Ila naiomba serikali ihalalishe ukwapuaji wa simu.Tuache kupora Wake za watu
nani kakwambia kiwa halima mdee ni muongo,rudia andiko langu.nimesema kuwa huyu tibaijuka hana lolote na wala si mchapakazi na zaidi nae ni fisadi tu.nenda kwenye mradi mpya wa kigamboni uone yeye anamiliki hekali ngapi kwenye ule mradi.mwizi sana yule mama hana lolote
Uko sahihi mkuu tuzidi tu kumuombea mzee wetu Dr Slaa
kwani kuwa raisi kunataka ubaunsa? mbona kikwete mrembo tu lakini kajitahidi. Alafu bila aibu eti babu kachoka, au tukuulize kachoka upande upi?Babu kachoka
Huyu Dr hajawahi kuupenda Urais kama wengine!! Hata 2010 aliombwa tu!! Huyu ndiye Rais anayetufaa tu!! Tutamshawishi tena!! tuongeze nguvu za kampeni!! My HUMBLE president!!DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka, kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.
Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.
UKAWA imebeba maoni ya wananchi na suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama chochote bali ni la wananchi.
Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."
Chanzo: Mtanzania Juni 11, 2014
My take:
Dr slaa ni kiongozi mtiifu
Simple B of course!!!Simple calculations.......
Unayo timu ina wachezaji A na B ambao ni ma goal keeper.
Timu Pinzani inapenda sana mchezaji A akikaa golini.
Timu Pinzani haipendi kabisa mchezaji B akikaa golini.
Wewe kama Kocha utampanga Mchezaji yupi ambaye atakuwa threat kwa timu Pinzani?
Cc FaizaFoxy ifweero Lizaboni @
Laana tuliyoipata ya kumuweka muasherati na mzinzi mchafu kuliko wote ikulu huioni hadi leo!? Miaka kumi ya laana inaishia siku za karibuni!! Mtu hata watoto hawajui mama zao!! Damn!! Ndoa ngapi zimevunjika toka 2005 hadi leo unajua? fuatilia ndoa za ma DC na mawaziri na hivi karibuni yule mdada wa mwanza kashindwa kuolewa sababu ya rais mzinzi!!-- Endelea nitakupa mengine umpelekee IGHONDU!! stupid!Mzinzi awe rais? Unachekesha kweli wewe.