Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Dr Slaa ahanza mazungumzo ya siri na Prof. Anna Tibaijuka ili ajiynge na Chadema na mgombea Urais. Aliendelea kumshawishi na kumuhakikishia kwamba wao kama ukawa wamefikia maamuzi hayo na yeye kuteuliwa kufanya juu chini ya kuanza mazungumzo ya kumshawishi ili aweze kuwa mgombea kwa upande wa Ukawa kwa kuwa wao wamemwona ni mwanamama mchapa kazi na ni Mtanzania wa kwanza kufanya kazi UN kwa muda mref wa miaka 17 bila kuboronga. pia so fisadi na ni mwadilifu ktk kila sects alizofanya kazi tens kea uledi wa hali ya juu. Nduguzangu nawaombeni mlio Malibu na Prof. mumshauli asikubali kuungana na wachumia tumbo. source Lwakatare

Of all the people eti Tibaijuka kweli,eti siyo fisadi.Hahahahahahahahahahahahahahahaha ntapasua mbavu zangu bure mimi hapa.Bajeti yake tu imepita kwa huruma za Mwenyezi Mungu la sivo alikuwa amekalia kuti kavu.Wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi ni wizara ya pili kwa uozo ya kwanza ni nishati na madini.Ok tell me kama kweli mama Tibaijuka ni mchapakazi nini ameshakifanya kipya ndani ya wizara ambacho kinaweza kumtofautisha na watangulizi wake katika wizara hiyo ya ardhi????????
 
Kumbe Halima mdee muongo mbona alituambia huyu mama kajimegea ardhi kiasi cha hectare 800.
 
Dr Slaa ahanza mazungumzo ya siri na Prof. Anna Tibaijuka ili ajiynge na Chadema na mgombea Urais. Aliendelea kumshawishi na kumuhakikishia kwamba wao kama ukawa wamefikia maamuzi hayo na yeye kuteuliwa kufanya juu chini ya kuanza mazungumzo ya kumshawishi ili aweze kuwa mgombea kwa upande wa Ukawa kwa kuwa wao wamemwona ni mwanamama mchapa kazi na ni Mtanzania wa kwanza kufanya kazi UN kwa muda mref wa miaka 17 bila kuboronga. pia so fisadi na ni mwadilifu ktk kila sects alizofanya kazi tens kea uledi wa hali ya juu. Nduguzangu nawaombeni mlio Malibu na Prof. mumshauli asikubali kuungana na wachumia tumbo. source Lwakatare

Unaumwa. Kapime
 
Kumbe Halima mdee muongo mbona alituambia huyu mama kajimegea ardhi kiasi cha hectare 800.

Nani kakwambia kiwa Halima Mdee ni muongo,rudia andiko langu.Nimesema kuwa huyu Tibaijuka hana lolote na wala si mchapakazi na zaidi nae ni fisadi tu.Nenda kwenye mradi mpya wa Kigamboni uone yeye anamiliki hekali ngapi kwenye ule mradi.Mwizi sana yule mama hana lolote
 
Unajua siasa ina mengi sana na uwanja wa siasa ni mkubwa sana, naweza nikasema kuwa dk slaa ni mtu makini na anajua ni kipi akifanye, watanzania tulivishhwa miwani ya mbao ktk uchaguzi mkuu 2005 lkn mwaka wa 2015 ni mengi sana tulifunguliwa na dk slaa na kufahamu kuw ni mengi sana tumedanganywa na chama tawala, watanzania wengi walijitokeza kumchagua slaa lkn cha ajabu ni kwamba matokeo ya kuhesabu kula yalicheleweshwa mpaka wiki nzima inakatika ndipo ukatokea ushindi wa jakaya. Watanzania tuamke jamani
 
Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Mzee kwa machalele huyu hajambo!!! hii ndo akili bwana huwezi kujitumbukiza shimoni unaona. by theway UKAWA ndo gia ya kujiupusha na fedheha... maana at the end matokeo yakiwa mabaya lawama kwa UKAWA na CDM
 
hongera dr.slaa lkn tuomba ugombe bado unastahili kuwa presd wetu; kwani tunakuamini nakutambuwa mchango wako.
 
Hayo ndio mawazo mema.mwisho wa siku wanaukawa tutampitisha atakaeungwa mkono na wengi. Vivaa ukawaaa!
 
Hahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa CUF NA NCCR MMELIWA:israel::israel::israel::israel::israel::der::der::der::der:😛eace:😛eace::majani7::majani7::majani7::boink:
 
Kwenye hoja nzito kama hizi ndo utajua upeo wa akili za Watanzania!
Wataitelekeza hoja na kuanza personal attacks, name calling, etc!
 
hakunaga kitu cha aina hiyo duniani. wabunge 23 kwa zaidi ya 200, hata kama ni kuiba basi ni kwa ajabu kwelikweli.

Naona mmefundishana hii hoja.......and it seems to make sense., however.....watanzania huchagua mtu. Elimu ya kujua kuchgua rais; diwani na serikkali za mitaa kwa cham kimija na athari zake katk maamuzi HAWANA.

Tumeanza kuwafundisha walijue ilo kabla 2015 na bado tutalazimisha maamuzi yao ya kuchagua yeyote ktk vyama tofauti yaheshimiwe.....

Mkanganyo wa kuhesabu kura kwa kutumia vijana wezi wa kumputa kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi tuliubaini na utafanyiwa kazi.

Onyo ni kwa tume ya uchaguzi.....any theft attempt of votes and delay in announcing the results will affect not only its eligibility but also.....
 
Tunayakumbuka maelezo ya Dr. Slaaa....'siutaki urais wa damu'. Ninyi mnaoenekana kuutaka.....hatutakubali. Maisha ya mtanzania mmoja ni ya thamini sana.....

Mnautaka kwa sababu mmeanza mapema.....uchunguzi wa vifo mlivyohusika ninyi wenyewe hamtaki kuufanyia uchuguzi na hatua za kisheria dhidi yenu.....mnautaka kwa sababu hamtaki katiba mpya itakayoweka utawala wa sheria na nguvu ya umma at centre of decision.. hmtaki tume huru......mnachelewa kuchukua maamuzi kwa makusudi kabisa.

Sitashangaaa kuona katiba mpya haipatikani kwa sababu nia hamna na mnajua fauda ya katiba ya zamani kwa utawala wenu. UKAWA wameliona ilo na wanalipigania kwa nguvu zote
 
mtahaha sana.

Naona mmefundishana hii hoja.......and it seems to make sense., however.....watanzania huchagua mtu. Elimu ya kujua kuchgua rais; diwani na serikkali za mitaa kwa cham kimija na athari zake katk maamuzi HAWANA.

Tumeanza kuwafundisha walijue ilo kabla 2015 na bado tutalazimisha maamuzi yao ya kuchagua yeyote ktk vyama tofauti yaheshimiwe.....

Mkanganyo wa kuhesabu kura kwa kutumia vijana wezi wa kumputa kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi tuliubaini na utafanyiwa kazi.

Onyo ni kwa tume ya uchaguzi.....any theft attempt of votes and delay in announcing the results will affect not only its eligibility but also.....
 
Ukweli ulio dhahili Slaa ni chaguo la Mungu kwa sababu kila siku mvuto wa kisiasa unaongezeka tu,hao wengine wote ni wapambaji tu wa harusi kwani hakuna harusi isiyo na wapambe.Kama mpaka vijiini ukienda ukiuliza raisi ajaye nani wanakujibu ni dr.Mpaka najiuliza hivi ni malaika wa Mungu wanaolitangaza hilo jina,kwa sababu vijiji vingine vya ndani kabisa nchini kama nkonko ,lidumbe,kasindago
,itigi,chimate,lwiro,
liparamba ,ng'apa,mbesa,izazi,
viongozi wa chadema hawakujui lakini wananchi wake wanaijua chadema na kuithamini.vijiji ambavyo chadema haina hata balozi .Sasa nimeamini maneno yaliyopo kwenye misaafu kwamba "hata msipotaka kulitangaza neno langu ,ndege wa angani ,miti na mimea vyote vitalitangaza neno langu".Hilo neno ni chadema,mamba hawezi kutembea peke yake,hivyo katika msafara wa mamba lazima kenge wawepo
 
Uko sahihi mkuu tuzidi tu kumuombea mzee wetu Dr Slaa
 
powered by viroba
 
Back
Top Bottom