Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

Mwasisi wa Chama Cha TANU ,mzee Lameck Bogohe (93),amesema anaestaihili kuwa rais wa awamu na tano ni katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr.WIlbroad Slaa TU.bogohe ambaye ni kati ya waasisi wawili walio hai ameyasema yao alipokua akihojiwa na mwandishi wa gazeti la jamhuri.

Pia alipourizwa kuhusu nan anatahil kwa upande wa ccm,mzee bogohe aliwataja watu wanne ambao ni ,magufuri,pinda,mwakyembe na mwandosya.Pia aliongeza ubora wa Mzinge Pinda kua si madhubuti kwa kua si mwepesi wa kutoa maamuzi.Alipohojiwa kuhusu waziri wa zamani mh.Lowasa alisema ana shaka na uweo wake na kwamba ana kashifa ya Richmond ambayo bado haikuwahi kuwekwa sawa kwa wananchi ili kumfanya lowasa aeleweka kutohusika kwako na sakata hilo.

"Nchi hii imepungukiwa mabo mengi sana,hasa kilimo tangu ujamaa(siasa ya ujamaa na kujitegemea),saa hivi hatuna mabwana shamba na ma bibi shamba,cha kushangaza ofisi ziko wazi na watu wanaendelea kulipwa mishahara.Mashamba mengi yako vijijini lakini mabwana shamba wengi wako mjini wanapiga kiwi viatu badala ya kuvaa buti na kofia vijijini.

Mzee ameenda mbali zaidi kwa kusema "Na sisi watawaliwa tuache ujinga wa kunyamazia haki zetu,mtu akikosea tupige kelele ili aone aibu na pengine sheria ichukue mkondo wake.Amewataka watanzania wnye mapenzi mema wahame ccm wajiunge na vyama vya upanzani ili kuchochea mabadiliko na kuleta mageuzi nchini,anawashangaa watu wangangana na ccm kwa lengo la kujipatia fedha zisizo halali na wizi uliopindukia.Mzee bogohe anashauri umoja wa katiba UKAWA wasitengena ili waongeze nguvu na kuingoa ccm madalakani.

Chanzo Gazeti la Jamhuri.

Wazee nao sasa hivi wanaona Jahazi limewashinda watawala......Nawaza sana
 
Kiukweli kama uchaguzi ukawa free and fair Dr.Slaa atapata kura za kushiba.
 
Watu wote wenye akili timamu wanajua kuwa Dr silaa ndiye rais ajaye.
 
Naona Huyo Mzee Sasa Anaelekea KUFA Vizuri.
 
Wasiwasi wangu mbowe tu asije akamuwekea zengwe babu
 
Chanzo Gazeti la Jamhuri.

Wazee nao sasa hivi wanaona Jahazi limewashinda watawala......Nawaza sana[/QUOTE]
Bado kuna vijana wanaona kila kitu kinaenda sawa, hawa jamaa nchi imewashinda
 
Ha hahaaa padre mstaafu awe rais?labda rais wa kanisa katoliki karatu

Upadre wa Dr Slaa hauwasumbui Watanzania. Mapadre wastaafu wamekuwa viongozi wazuri sana. Mifano ni kama Bertrand Aristedes wa Haiti na John Momis wa Bougainville.

Kinachowasumbua Watanzania ni kutwaliwa na wezi waliobobea ambao wanaongoza CCM. Lazima waondoke.

Dr Slaa ni kiongozi shupavu na mbunifu sana. Ameibeba sana CHADEMA. Tunataka awe Rais wa Tanzania.
 
Mussa Allan aka Msalani nina wasiwasi na upeo wako wa kuchambua mada na kutafakari. Hivi elimu yako umefikia cheti/diploma/shahada? Lazima nijkue upeo wa mtu ili nisije kufikia tamati bila kutafakari maana maoni yako yote ni shiiiiida!
 
Ndugu uliwahi sikia wapi kiongozi wa kushawishiwa na watu ndio kiongozi bora,Kiongozi bora ni yule anayeomba nia ya kuongoza nchi yeye mwenyewe kwa kujiamini kutokana na alivyojipima na kuona changamoto zinazoikabili nchi na anaamini kwa uwezo wake ataipeleka nchi inakotakiwa kufika,huyu wa kusukumwa na watu kugombea ndo wale wa kuingia ikulu then hajui nini cha kufanya kwa kuwa yeye mwenyewe hakujiamini vya kutosha.
 
umenena mkuu
 
Back
Top Bottom