ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
kikwete hawezi kutamka haya maneno,anajua 2010 aliiba kura,akisikia jina slaa kifafa kinampanda anaanguka jukwaani....
Babu alivunja mkono bafuni akicheza na sabuni. chezea uka..me.
kikwete hawezi kutamka haya maneno,anajua 2010 aliiba kura,akisikia jina slaa kifafa kinampanda anaanguka jukwaani....
Yeyote ataekuwa "threat" simpangi kabisa, kwani kucheza ni vita? ushasema "mchezaji", sasa "threats" za nini, wacheze watu wastarehe na roho zao.
Watanzania hawana uwezo wa kutambua walaghai, la sivyo ccm isingekuwa madarakani leo,wanalala watatu kitanda kimoja wodini,barabara nyingi nchini mbovu,raslimali eg ndovu,magogo, nk zinavunwa na viongozi bila utaratibu,wizi wa mabilioni ya uma eg richmond,epa, escrow nk,elimu mbovu,mazao ya kilimo bei ndogo kulinganisha na gharama za uzalishaji,eg pamba nk,Viongozi ndiyo wauza unga mashuhuri,ie kesi ya kapuya, usafiri wa reli wameuuwa viongozi wenye vimiradi vya malori na kusababisha bei za vitu kupanda.kwa uhakika hakuna ulaghai mkubwa kama kuwatumainisha wananchi maisha bora, kumbe mpango mzima ulikuwa maisha bora kwa watawala,hata hivyo kuongezeka kwa wabunge wa upinzani na vurugu wakati wakutangaza matokeo baada ya upigaji kura ni dalili za mapambazuko.Hata akigombea atapoteza muda wake bure watanzania wameisha wajua Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Bibi yaani hilo dogo tu umeshindwa kulielewa ? bibi mi nakuaminia uwezo wako wa kuchambua mambo...labda hapo useme akili zako uliiacha kwa gozi lako
Amekosea yeye na mimi nikamfanya juha tu kama ulivyo wewe, kuna "goalkeeper" akawa threat?
Hebu nipisheni nkafturu, makobe nyie.
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amewatimulia vumbi watu wote wanaotajwa kugombea Urais mwaka 2015
Katika maoni ya wananchi katika kipindi maalum kilichorushwa na Radio Highlands FM kuhusu nani anafaa kuwa Rais mwakani idadi kubwa ya wananchi waliohojiwa walimtaja Dr Slaa kama mtu aliyekidhi vigezo vyote.
Katika watu 32 waliozungumza moja kwa moja watu 19 walimtaja Dr Slaa kama mtu anayefaa huku Edward Lowassa akifuatia kwa mbali kwa kutajwa na watu 7 wengine waliotajwa ni Bernard Membe,Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe.
Moja ya sifa alizopewa Dr Slaa na waliomtaja ni uadilifu na ujasiri wa kufichua maovu bila kumuogopa mtu.
Mtahangaika sana lakini CCM ni zaidi ya saccos zenu zoteSema sema usiogope majambazi maccm
Sifa ya uadilifu inapimwaje kwa mtu ambaye hajakabidhiwa mamlaka yoyote kuiongoza?
Kwani si kuna makubaliano kuwa UKAWA mtasimamisha mgombea urais mmoja? Iweje sasa mumpigie chapuo Dr Slaa?
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amewatimulia vumbi watu wote wanaotajwa kugombea Urais mwaka 2015
Katika maoni ya wananchi katika kipindi maalum kilichorushwa na Radio Highlands FM kuhusu nani anafaa kuwa Rais mwakani idadi kubwa ya wananchi waliohojiwa walimtaja Dr Slaa kama mtu aliyekidhi vigezo vyote.
Katika watu 32 waliozungumza moja kwa moja watu 19 walimtaja Dr Slaa kama mtu anayefaa huku Edward Lowassa akifuatia kwa mbali kwa kutajwa na watu 7 wengine waliotajwa ni Bernard Membe,Samwel Sitta na Harrison Mwakyembe.
Moja ya sifa alizopewa Dr Slaa na waliomtaja ni uadilifu na ujasiri wa kufichua maovu bila kumuogopa mtu.
Mkuu, hivi umemuelewa Weston Songoro? Kama mpo kwenye umoja maana yake ni kwamba upande mmoja hauwezi kujipangia mgombea urais. Lazima pawe na makubaliano ya pamojaKwani Dr sio mwanaukawa?
Kweli kabisa mkuu. Hata wakipewa nchi wataendesha kihuni huni tuChama cha wahuni hakina hata ofisi
Inasikika Ufipa tuRedio hiyo inasikika wapi mkuu?
Kwani si kuna makubaliano kuwa UKAWA mtasimamisha mgombea urais mmoja? Iweje sasa mumpigie chapuo Dr Slaa?