Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Status
Not open for further replies.
Hapa naona uko off point.

Kwani Konyagi inatengenezwa wapi?

Kwani kuna mtu amekatazwa kutengeneza kinywaji kikali kilicho salama kwa watumiaji?

Kinachokataliwa ni kinywaji kinachohatarisha maisha ya watumiaji.

Umeshawahi kutembelea makumbusho ya zilikoanzia pombe hizi kienyeji baadaye wakaziboresha kuwa kama zilivyo? Ninyi ndio mnaoona vya wazungu bora na kubeza vilivyowakuza. Pengine wewe pesa zilizokusomesha ni tokana na pombe leo unageuka kubeza kilichokukuza.
 
Hoja dhaifu mno. Mawazo ya kijima haya. Badilika
 
Umeshawahi kutembelea makumbusho ya zilikoanzia pombe hizi kienyeji baadaye wakaziboresha kuwa kama zilivyo? Ninyi ndio mnaoona vya wazungu bora na kubeza vilivyowakuza. Pengine wewe pesa zilizokusomesha ni tokana na pombe leo unageuka kubeza kilichokukuza.

Kwanza mimi sijasomeshwa na pesa ya pombe.

Pili, unapozungumzia makumbusho unataka turudi enzi za kale? Unajua kuwa zamani watu walikuwa wanafanyiwa operations bila dawa ya usingizi. Je, turudi huko kwa kale?

Kitu gani sasa hivi kinachomfanya muuza gongo na mnywa gongo kuchagua "option" hiyo wakati kuna safer options? This is the central question...
 
Mkuu, huku ni kuzeeka vibaya kwa mzee wetu. Kuna uhusiano gani kati ya SIDO ( shirika la viwanda vidogo vidogo), na kinywaji haramu cha gongo? Wanao control viwango vya ubora wa chakula na vinywaji ni TFDA - mamlaka ya chakula na dawa. ( wale wanaochoma bidhaa mbalimbali feki za vyakula ). Mchambuzi angetuma muda kidogo kuji challenge chumbani kabla hajaja jukwaani he could be so clever.
cc
marcopolo
mchambuzi

Wewe ndiye uliyepotea njia, TFDA wa pale kwa mradi wa Nzee Nkapa kando ya Mandela road labda kungeongelea shirika la viwango licha ya ya products pia huhakiki baadhi ya vitendea kazi na mitambo ya kutengeneza products. Alichokiongelea Dr. Slaa ni mitambo ya kuboresha kinywaji hicho, jaribuni kuangalia nini kinajadiliwa hapa vinginevyo tunakosa point za maana na kubaki kuhangaika na makandokando tu. Dr. Slaa anaongelea mitambo ya kufikisha gongo kwenye kiwango ili ikubalike na taasisi hizo.

kwahiyo hoja ya msingi ni kwamba variety ya vinywaji imetosha; Fine, tukibakia kwenye hoja ya variety kwa sasa, gongo ni kinywaji ambacho kimekuwepo nchini kwa miaka hamsini au zaidi, huku vilevi vingine, hasa vya kigeni (imported) lakini pia hivi vipya vinavyozalishwa na TBL, Serengeti n.k (hata konyagi imeikuta gongo) vikizidi kumiminika sokoni kila kukicha, na vyote hivi vimeikuta gongo. Kwanini suala la variety zinatosha liwe applicable kwa gongo tu, tena ambayo imetangulia sokoni siku nyingi, lakini hivi vilezi vingine vipya hamsemi vinatosha na badala yake mnakimbilia kukaba kodi huko kupata fedha za to run the bureaucracy? Hoja yako ingekuwa na mashiko iwapo:

1. Serikali ingekuwa haitegemei kwa kiwango cha kupitiliza, utozaji wa kodi kwenye vilevi;
2. Serikali ya TANU (CCM) ingekuwa haijawahi kuja na hoja hii kama nilivyojadili.
3. Serikali ingesema kwanini Mbege na Chibuku ni halali lakini sio gongo.

Na hakuna sehemu nimejadili kwamba watanzania wana shida ya vilevi, na hiyo sio hoja ya msingi, naona unajaribu kuja na political spinning (pengine ni mtumwa wa Lumumba, kama sio niwie radhi);

Hoja ya msingi hapa ni the economics and health issues nilizojadili ambazo kwa ustadi mkubwa, unazikwepa;
Hivi mchambuzi,
elimu yako ni kiwango gani? Unaweza kutuwekea cv yako hapa? Vyema tufahamiane isijekuwa tunapoteza muda kujadiliana na mtoto wa chekechea. Mbona unakuwa na maelezo meengi lakini hoja ni dhaifu? Im very sory kwa hilo
 
Kwanza mimi sijasomeshwa na pesa ya pombe.

Pili, unapozungumzia makumbusho unataka turudi enzi za kale? Unajua kuwa zamani watu walikuwa wanafanyiwa operations bila dawa ya usingizi. Je, turudi huko kwa kale?

Kitu gani sasa hivi kinachomfanya muuza gongo na mnywa gongo kuchagua "option" hiyo wakati kuna safer options? This is the central question...

Jibu hoja na kuijadili, nilikuuliza fanya utafiti kwenye bidhaa za pombe kali nchini, halafu uje na jibu hapa kwamba hazipo, kama zipo ambazo zilikoanzishwa ni kwa utaratibu kama wa gongo kisha kufanyia uratibu kuwa bora, kwa nini isiwezekane gongo kuboresha kama ilivyotendeka kwa whisk na pombe kali nyinginezo. Unavyoonekana huna uwezo wa kujadili hoja kwa upeo bali ushindani wa kiitikadi hata kwenye mambo ya muhimu kwa taifa ndio udhaifu wa cheers people kama kwenye uwanja wa soccer.
 
Mchambuzi.
nimejinyima kusoma hii hekaya umejitahidi kufanya siasa na kupulizia kinyesi pafyumu (manukato) ili ionekane ni kitu cha thamani sana. Pole sana. Tatizo lako ni mahaba ya kupindukia kwa Dr Slaa. Siku zingine uwe objective kwenye mambo ya msingi huenda ukaja na analysis iliyoenda shule. Kwa leo umejitahidi kubwabwaja hizi non sensical stories.

Cc.
mods - unganisheni hii thred na ile original ili wasomaji na wafuatiliaji wapate mtiririko mzuri.

Jadili hoja, je, gongo ihalalishwe au isihalalishwe? kutegemeana na upande unaosimamia, je ni kwa hoja zipi? Msimamo wangu nimeshaueleza kwa hoja na hivyo ndio mwanaume hukabiliana na mwanaume mwenzake kwa hoja, sio vinginevyo;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe ndiye uliyepotea njia, TFDA wa pale kwa mradi wa Nzee Nkapa kando ya Mandela road labda kungeongelea shirika la viwango licha ya ya products pia huhakiki baadhi ya vitendea kazi na mitambo ya kutengeneza products. Alichokiongelea Dr. Slaa ni mitambo ya kuboresha kinywaji hicho, jaribuni kuangalia nini kinajadiliwa hapa vinginevyo tunakosa point za maana na kubaki kuhangaika na makandokando tu. Dr. Slaa anaongelea mitambo ya kufikisha gongo kwenye kiwango ili ikubalike na taasisi hizo.

Je, ikifikishwa kwenye kiwango ndio itakuwa mwisho wa kutengenezwa zile ambazo hazina kiwango?

Kwani hizo zenye kiwango hazipo? Kwanini wanywaji wanafuata hiyo isiyokidhi viwango na kuacha ile yenye viwango?
 
Hayakuanza leo hayo, Nyerere alijaribu na kiwanda cha konyagi yakamshinda.

Sasa hivi mitaani kuna viroba ambavyo amma bei sawa au chini ya bei ya gongo, lakini wapenzi wa gongo uzi uleule.

Alozowea vya kuchinja vya kunyonga haviwezi.

Kwa hili la gongo Babu kachemsha. Ni bora angesemea bangi ningemuelewa na ningemuunga mkono.

Kitu kingine ambacho babu angesema chenye maana ni kuwa encourage walipike kwa wingi zaidi na kulifanya gongo kuwa mafuta mbadala ya gari (kama economics za kwetu zinalipa) kama ilivyo Brazil, hapo ningemuelewa lakini hili la kuhalalisha iwe kinywaji halali, kalishindwa Nyerere ataweza babu?
 
Wewe ndiye uliyepotea njia, TFDA wa pale kwa mradi wa Nzee Nkapa kando ya Mandela road labda kungeongelea shirika la viwango licha ya ya products pia huhakiki baadhi ya vitendea kazi na mitambo ya kutengeneza products. Alichokiongelea Dr. Slaa ni mitambo ya kuboresha kinywaji hicho, jaribuni kuangalia nini kinajadiliwa hapa vinginevyo tunakosa point za maana na kubaki kuhangaika na makandokando tu. Dr. Slaa anaongelea mitambo ya kufikisha gongo kwenye kiwango ili ikubalike na taasisi hizo.

NAsikitika sana chadema imeishiwa na watu makini mmebaki nyie waganga njaa.

labda nikuulize swali la darasa la pili (shule ya msingi)... Mashine ya kusaga nafaka ukiipelekea nafaka zilizooza kwenda kuzisaga, yenyewe itaziboresha na kuzifanya ziwe nzima? Kinachoifanya gongo iwe haramu ni composition ya material yake ambayo imeoza sio mashine au mitambo ya kuitengenezea hiyo gongo.
cc.
candid scope
mchambuzi
ze marcopolo
 
Ndugu Mchambuzi Mimi jambo hili naliangalia zaidi katika muktadha wa kisiasa kuliko muktadha wa kiuchumi kwa mazingira ya Tanzania. Dr.Slaa ni kiongozi wa kisiasa, Lengo lake kuu ni kupata uungwaji mkono na jamii ya walio wengi kabla ya kitu chochote kile.

Ndugu Mchambuzi unapotaja neno gongo katika mazingira ya tanzania kutokana na kanuni za kimaadili na kiutamaduni ni neno lisilo na mvuto kwa jamii ya walio wengi. Kwa hiyo jambo hilo likishupaliwa, watu hawataliangalia katika misingi ya kiuchumi nakiafya bali kimaadili na hivyo kufanya mwanasiasa anayesimamia hiyo ajenda kupotezakukubalika.Anayekataa na ajaribu aone.Ni sawa na concept ya kuhalalisha ukahaba (kumradhi) anayetaka na ajaribu kuja na ajenda hii aone kama atapata uungwaji mkono na jamii ya kitanzania.Suala kwa hoja za aina hii si uchumi wala Afya; ni kanuni za kimaadili za jamii.

Naomba majibu
Neno gongo lina impactgani?

Je kutohalalosha gongo kutafanya isitumike
Yap slaa ni mwanasiasa je mfumo wa tz haumpi mwanasiasa kuwa mleta maendeleo?
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia vizuri na kwa makini avator ya mchambuzi, mdomo wake umechubuka na gongo, ndio mana anatumia nguvu nyingi kuitetea. Shame at him.
cc
mchambuzi.
msalani

Misukule ya Lumumba utaijua tu;ukipitia historia zao humu, hawana msimamo ili mradi wafidiwe kwa kutetea ujinga bila ya kujua maradhi yake kwao wenyewe na taifa lao kwa ujumla;siku kiongozi mkuu wa chama akisema haya haya, mnapiga makofi au kukimbia mijadala tukiwaita kuwakumbushia misimamo yenu ya awali;hauna hoja, na sitarajii uwe na uwezo wa kuja na counter arguments zangu za bandiko namba moja; vinginevyo kama ni matusi, kwa hilo umenishinda;
Muhimu ni kwamba tofauti na nyinyi, mimi sijifichi identity yangu na ninasimamia ninacho amini and let history be the judge;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mchambuzi.
nimejinyima kusoma hii hekaya umejitahidi kufanya siasa na kupulizia kinyesi pafyumu (manukato) ili ionekane ni kitu cha thamani sana. Pole sana. Tatizo lako ni mahaba ya kupindukia kwa Dr Slaa. Siku zingine uwe objective kwenye mambo ya msingi huenda ukaja na analysis iliyoenda shule. Kwa leo umejitahidi kubwabwaja hizi non sensical stories.

Cc.
mods - unganisheni hii thred na ile original ili wasomaji na wafuatiliaji wapate mtiririko mzuri.

Nilifikiri nimeandika mimi haya uliyoyaandika, yaani kama nnajisoma mwenyewe.

Huyu kijana huwa anaandika ji-stori reeeeeeefu ambalo angelihitimisha kwa mistari miwili au mitatu tu. Watu namna hii huwa wana matatizo ya uelewa na hufikiri kuwa wengine wote wana matatizo ya uelewa kama yao.
 
Ningekuona mwerevu sana kama ungenisaidia kuandika lihadithi langu refu kwa hiyo mistari miwili au mitatu;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naomba majibu
Neno gongo lina impact gani?

Je kutohalalisha gongo kutafanya isitumike?

Akili za Bavicha ni kituko.

Kwani kutohalalisha madawa ya kulevya kumefanya yasitumike.

Kutohalalisha wizi kumefanya wizi usiwepo.

Kutohalalisha kubaka kumefanya kusiwe na wabakaji.

Nadhani kujadili na Bavicha wakati mwingine ni kupoteza muda tu.

Mods please unganisheni hizi threads, hakuna kipya hapa.
 
Jadili hoja, je, gongo ihalalishwe au isihalalishwe? kutegemeana na upande unaosimamia, je ni kwa hoja zipi? Msimamo wangu nimeshaueleza kwa hoja na hivyo ndio mwanaume hukabiliana na mwanaume mwenzake kwa hoja, sio vinginevyo;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Gongo haiwezi kuhalalishwa katu. Tena haiwezekani ht tanzania ikiwa na maendeleo kupita marekani. Hayo ya kujisifu mwanaume huku unajipeti peti kwa mwanaume mwenzio sikuelewi ht kdg. Tambua kinachoharamisha gongo sio mitambo bali ni material inayotumika kupika hiyo gongo. Hayo material ni kinyesi ( m.a.v..i, km huelewi kiswahili) pamoja na matunda yaliyooza, yenye funza ili tuelewane lugha. Sasa hiyo ni mitambo ipi ya SIDO itakayofanya kinyesi kiwe chakula? Amazing!!!
 
Misukule ya Lumumba utaijua tu;ukipitia historia zao humu, hawana msimamo ili mradi wafidiwe kwa kutetea ujinga bila ya kujua maradhi yake kwao wenyewe na taifa lao kwa ujumla;siku kiongozi mkuu wa chama akisema haya haya, mnapiga makofi au kukimbia mijadala tukiwaita kuwakumbushia misimamo yenu ya awali;hauna hoja, na sitarajii uwe na uwezo wa kuja na counter arguments zangu za bandiko namba moja; vinginevyo kama ni matusi, kwa hilo umenishinda;
Muhimu ni kwamba tofauti na nyinyi, mimi sijifichi identity yangu na ninasimamia ninacho amini and let history be the judge;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Achana na hawa wa Lumumba, subiri wale great thinkers wanaojadili hoja, hawa ni magolikipa wa Lumumba hata ukilegeza kiatu na kuwarushia golini wanataka wakidhani ni mpira.
 
Nilifikiri nimeandika mimi haya uliyoyaandika, yaani kama nnajisoma mwenyewe.

Huyu kijana huwa anaandika ji-stori reeeeeeefu ambalo angelihitimisha kwa mistari miwili au mitatu tu. Watu namna hii huwa wana matatizo ya uelewa na hufikiri kuwa wengine wote wana matatizo ya uelewa kama yao.
Halafu ukimwambia huu ukweli mchungu atasema umemtukana na km kawaida yao bavicha ataanza kutoa matusi. Au akupe majina ya kejeli. Tusichoke kuwaelimisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom