Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Sasa hivi IGP Mwema anacheza nafasi ya Mali ya Mungu kwa Idd Amin. Let's watch trailer first then we will know what's upnext.
.
 
Any current news on these guys please maana watakuwa huko the whole weekend ?
 
Unajua polisi na TISS wanataka kujua ni maelezo gani walionayo Dr. Slaa ili wafananishe na mpango wao halafu wapime vyanzo vya kina Slaa vina ukweli kiasi gani.

Kama wakigundua jamaa wana data nyingi za kuwaumbua basi itatafutwa mbinu ya kuitupia taulo serikali na akina Slaa wakiachiwa waendelee kupeta huku system ikijihoji ni akina nani hasa wanaolikisha stori kabla ya mpango wenyewe kutekelezwa.

Kifupi hii ina maslahi kwa TISS zaidi kuliko kwa akina Slaa, hofu yangu tu waliwadhuru huko.

unaweza shangaa zoka mwenyewe kawapa dili. labda alipewa kazi na wakubwa zake lakini roho inamuuma akamua kuwaambia nini kinaendela......
 
Ndugu wana JF .Nimeoma muda mwingi habari za kijinga na upotoshwaji mkubwa juu ya Watanzania wenzetu viongozi wa Chadema .Watu wameonekana kushangalia kukamatwa kwao lakini ukweli ni kwamba hawajakamatwa na wao waliitikia wito wa polisi baada ya kupokea barua toka Makao makuu ya Polisi Dar .
Baada ya kufika walipokelewa na kuombwa kutoa maelezo ili wapewe ulinzi kwa mujibu wa sheria huku uchunguzi ukiendelea .

Wao walikataa kutoa maelezo na kwa maana hiyo mtego wa ulinzi ukawa umekufa na wakaondoka baada ya maongezi ya muda kadhaa hadi saa saba mchana .Juu ya Kamanda Lema yeye hakwenda polisi na yuko safarini tangia kumekucha akienda kwenye operation ya Sangara .


Source : Ulinzi na Usalama Chadema .
 
Wa TZ ni wanafiki na wabinafsi inasikitisha sana pale watu wanashangilia wanaharakati wakipata matatizo.
Hasa mashabiki wa mukichwa bila . Bila kuwa na watu kama hawa hakuna ukombozi duniani
Tafakali na chukua hatua
 
Wameushitukia ulinzi wa polisi-ccm. Hao badala ya kukulinda ndo wanakuwa wa kwanza kuku ulimboka. Big up ma Kamanda
 
ukifuatilia hapa HABARI MSETO BLOG mbona Lema namuona katika PIcha? na mbowe uliyemtaja hayupo may be kama alifika mda tofauti.


IMG_8010.JPG
 
Tunashukuru kwa taarifa na ufafanuzi. Hapa tulipofikia ni wenye akili zilizo tulia ndo watang'amua move za CDM katika kuiwajibisha serikali ya magamba na mbinu zake chafu.
 
Dr. Slaa na Lema, Sikiliza radio France 6.03 just now.

Wamekataa kuandika statement, kwa sababu waziri wa mambo ya ndani ameshafanya Prejudice,

Wamesema: watajilinda wenyewe.
Huyu waziri ameshawahukumu.
Hawezi tena kuwasaidia

Police walitaka kuwahoji ili waangalie namna ya kuwalinda na kuchunguza jambo hilo. (semaji wa Jeshi)


Tusipende kutunga maneno juu ya midomo ya watu. JF let us build respect.
 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..



Nilivyomuelewa Dr. Nchimbi ni kwamba amesema ''Serikali haihitaji ruhusa kumlinda mtu'' Kwa hiyo viongozi wa Chadema wasishangae kuona kwamba kuna watu wanawafuatafuata kila pahali,hao watu wapo kazini,and it does not necessarily mean kwamba wametumwa kuwadhuru. Kumbuka jinsi Olof Palme alivyouawa,yeye na mke wake;they were walking home from a movie at night. Kiongozi anatakiwa kuwa na protection all the time. Kama kiongozi anatembea bila ulinzi,this is because it is assumed kwamba nchi yetu ni salama. Lakini kumbuka kuna vibaka wengi.
Sasa hivi nadhani what we need is a return to religion;kwa sababu the country is sliding towards corruption,haya matatizo hayatakwisha if you just tinker with the problem. Lazima tufanye,what Chairman Mao used to call a fight against erroneous ideas.
Kazi ya Polisi,kazi ya Usalama wa Taifa ni kazi ya Mungu. Nadhani hata tukienda Mbinguni watakuwepo polisi na watakuwepo Usalama wa Taifa;nadhani ikihitajika mtu awekwe kizuizini,ni hawa hawa Usalama wa Taifa ndio watakuweka kizuizini. Kwa hiyo it is imperative kwamba polisi na Usalama wa Taifa wanazifanya kazi zao with professionalism. Iwapo hizo taasisi zitatumika kwa maslahi binafsi,basi watu watakosa imani na polisi,watakosa imani na Usalama wa Taifa.
Polisi imeanzishwa na Waingereza;hii Serikali ya sasa wameikuta tu polisi. Hata hiyo Usalama wa Taifa,nadhani ilikuwepo equivalent ya Usalama wa Taifa inafanya kazi wakati wa Ukoloni,labda inashirikiana na mi5 au mi6. Haya majeshi ni lazima yawe professional katika utendaji kazi wake. Hawa polisi wanakwenda katika police training schools za kimataifa. Training anayopata polisi wa hapa ni ile ile anayopata polisi wa Uingereza,wote wanafanya kazi hiyo hiyo,the scientific detection of crimes. Kwa hiyo unaweza kumpa polisi amri akasema kwamba,this is a very unusual command kumpa polisi,ukifikiria kwamba polisi anafanya kazi ya kuwalinda raia. Hali kadhalika Usalama wa Taifa,amekuwa trained abroad, kwa mfano hapa Usalama wa Taifa wengi wamepata training Israel. Nakumbuka a years ago Benjamin Natanyahu alikuwa anasema,'' Tunalaumiwa kwa kuwakingia kifua watu waovu. Hakuna kinga kwa waovu. There never has been'' Yaani anasema in the history of the world there has never been protection for evil people,kwamba yeye ,au Waisraeli wanaamini kwamba hii Dunia inafanya kazi kwa kufuata sheria za Mwenyezi Mungu.
Kwa hiyo tunazielewa vipi sheria za Mwenyezi Mungu,tunazielewa vipi Amri Kumi za Mungu? Kwamba ni amri zinawahusu raia tu,hazimhusu polisi au Usalama wa Taifa? Kwa hiyo tunahitaji kuwa na national reconciliation,tuahidi kwamba tutaishi kwa amani kuanzia sasa. Lakini hata tukiamua kwamba kuanzia sasa tutaishi kwa amani,pia decisions will have to made kuhusu makosa ambayo tayari yameshatokea,kama makosa yoyote yametokea. What are we going to do kuhusu watu ambao wanadhani kwamba hawakutendewa haki?
clip_image002.gif
 
Ndugu wana JF .Nimeoma muda mwingi habari za kijinga na upotoshwaji mkubwa juu ya Watanzania wenzetu viongozi wa Chadema .Watu wameonekana kushangalia kukamatwa kwao lakini ukweli ni kwamba hawajakamatwa na wao waliitikia wito wa polisi baada ya kupokea barua toka Makao makuu ya Polisi Dar .
Baada ya kufika walipokelewa na kuombwa kutoa maelezo ili wapewe ulinzi kwa mujibu wa sheria huku uchunguzi ukiendelea .

Wao walikataa kutoa maelezo na kwa maana hiyo mtego wa ulinzi ukawa umekufa na wakaondoka baada ya maongezi ya muda kadhaa hadi saa saba mchana .Juu ya Kamanda Lema yeye hakwenda polisi na yuko safarini tangia kumekucha akienda kwenye operation ya Sangara .


Source : Ulinzi na Usalama Chadema .

Kuhusu Polisi kuwahoji viongozi wa Chadema,kuwataka watoe ushahidi kuhusu madai yao ni jambo zuri. Lakini tukumbuke there are such things as whistle blowers. Hata katika Serkali ya Obama,ipo act,sheria for the protection of whistle blowers. Kama Usalama wa Taifa wanataka kufahamu who is betraying them,they will have to do an internal investigation,sio wawategemee polisi. Kama 'whistle blower'' ikiweza kuwa correctly defined,kutofautisha na mtu anayeleta fitina,then,he should be protected.
 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..
Unajua maana ya kukamatwa? Humu JF kuna watu wa ajabu, hawa walikwenda wenyewe (Dr. Slaa na Lema). Wamehojiwa, lakini hawakuandika statement, kwa sababu ya predgudice ya waziri. Wamesema watajilinda wenyewe. na wakaondoka. Uzi wenye kichwa cha weehu.
 
haki haizuiliwi kwa kukamata viongozi na ukombozi ukifika umefika tu
 
Unajua maana ya kukamatwa? Humu JF kuna watu wa ajabu, hawa walikwenda wenyewe (Dr. Slaa na Lema). Wamehojiwa, lakini hawakuandika statement, kwa sababu ya predgudice ya waziri. Wamesema watajilinda wenyewe. na wakaondoka. Uzi wenye kichwa cha weehu.


Mkuu ndi ujue JF siku hizi tuna vilaza balaa, JF members tujirekebishe aisee tunatia aibu .
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

UPDATE 3
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.

Hawakukamatwa wameitwa polisi kuhojiwa, hebu na ww siku zingine uwe mkweli. Hivi viongozi wa cdm mbona wana akili finyu sana aisee

 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..

Ole wao CCM wakae wakijua kuwa Dk Slaa, Mbowe na Lema ni viongozi wa kitaifa wa upinzani na hawataweza kuwanyanyasa kama Dk Ulimboka ambaye watetezi wake ni wachache. Slaa, Mbowe na Lema ni miti mikubwa ambayo ikidondoka ardhi inatikisika kwahiyo wakifanyiwa hujuma yoyote na magamba nchi itarindima na haitatawalika mfano wa Libya na Misri au Syria kwa sasa
 
Back
Top Bottom