Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Mbona unawashauri ujinga wenzio,mbona wewe uko kwenye chama chako chadema kuna udini,ukabila,undugu,ujirani na urafiki mwema katika kupeana vyeo ndani ya chama na ata nje ya chama kama vile viti maalum haya yote yanaongozwa na uongozi mbovu wa chadema,mbona hujitokezi kufanya mapinduzi?safisha kwanza kwako ndiyo ukasafishe na kwa mwenzio!
Kusema kweli mimi sipo na chama chochote kile cdm wakielekea pabaya nakemea,hata ccm nakemea
CHAMSINGI NI KADI YANGU YA KUPINGIA KURA>>>> MIMI SIANGALII CHAMA>>>NAANGALIA MAENDELEO MH.
 
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
Tulia upakatwe ndugu hujalazimishwa kwenda kama hutaki vaa pampas ukalale, amani ipi hiyo ya kupeleka watu magwipande? Usituletee
 
Hata mimi nilitaka kumjia juu kwa lugha hii, imagine kijana wangu wa miaka 13 yuko humu jamvini, Ndio ana miaka 13 na mbali ya uanafunzi wake, ( anazo post zake humu ndani na kweli ziko supported sana )sasa hapa atakuwa anajifunza nini toka kwa baba zake wadogo kwa wakubwa,,,,?????

Hebu tustaarabike.
 
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka

Amani?mafisadi wana amani kwani wana maisha bora,hivyo ni haki yako kusema kuwa makamanda wanawaharibia amani.kuna thread hapo juu imesema kuwa kuitetea ccm inataka uwe na akili ya maiti,quit right.
:A S-rap:
 
Walionekana kwenye simu ya Sheikh Farid,ndio maana watakiwa kuhojiwa wana uhusiano gani nae?????????????.
 
wakuu,
nimearifiwa kuwa mh mbowe, slaa na lema wako central muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa chadema kanda maalum ya dsm.

Updates 2
waliokuwa polisi ni dr slaa na lema tu. Wameambiwa warudi jumatatu. Nimeambiwa na mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

Update 3
mosi walitakiwa kituoni ni slaa na lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na dr slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (wenje na mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.


kwa hali ilipofikia hiki chademonstrations kishakua janga la taifa kama uamsho
slaa na farid falsafa zao zinalandana sana.na ndio maana hata asilimia kubwa ya wafuasi wao hawaogopi dola na hawaogopi hata kufa for the sake of their organization"s interests..
Nchi kwanza vurugu kila siku zinatuondolea concetration ya kufanya yale yaliyo ya maana,,
 
ila wangekuwa uamsho mngelipongeza jeshi la polisi wafuasi wa CHADEMA bana

mkubwa ww unaona mbali sana hii mada wamechangia kwa amani na sheikh Ponda anawasubiri CDM sijaona kamanda yeyote makamanda ni wale wa Zanzibar wachana na hawa wanao kamatwa na mgambo watu wanapelekwa mahakamani na silaha za kijeshi na mabomu halafu unamuita Lema kamamnda huoni aibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
gamba mgando at work


huweZI kumkabidhi school dropper like mbowe uenyekiti wa chama akuongoze kisha ukategemea kua chama hiko kitapata muelekeo wenye heri na nchi kama hii
the only qualification ambayo mbowe imemfanya kua pale na kuongoza chama ni ile ya kua mwanafamilia na mzee yule wa kichaga anaeitwa mtei
ana weledi gani wa kumpa trust kubwa ile
na ndio maana reputation ya hiki chama daima itakua mbovu kama inavoonekana
hivo wamekosa watu kabisa wa kuongoza hiki chama au ni hayo mambo yao ya ushemeji na ukabila???
 
na ndio maana reputation ya hiki chama daima itakua mbovu kama inavoonekana
hivo wamekosa watu kabisa wa kuongoza hiki chama au ni hayo mambo yao ya ushemeji na ukabila???

Reputation yako ni kulamba viatu ili siku ya leo ipite. Reputation ya wanaoomgoza chama chako tunayoijua

1. Fitina JK mpaka kakimbia usiku toka Monduli.

2. Ufisadi na kushikishwa ---

3. Haiba na akina mama poa akina SS.

4. Kubadilisha damu kila mwezi

5. BMW kila nyanja.

6. Mawazo ya omba omba

7. Udini kama fadhila za wanaowatumia na kuwatenda

Yote hayo yanafanya chama kuwa cha manyani wanaokula mahindi ya wenye shamba
 
Kwakweli nchi hii inahitaji rais atkae ipeleka mbele, mwenye maamuzi yenye faida kwa watanzania wote bila kujali itikadi,rangi,dini,elimu ya mtu hata awe drs la pili.tujiulize chama kinachotuongoza hakina wasomi kama wapo mbona mambo yapo hivi. UongOzi haupimwi kwa elimu tu.
 
kwakweli nchi hii inahitaji rais atkae ipeleka mbele, mwenye maamuzi yenye faida kwa watanzania wote bila kujali itikadi,rangi,dini,elimu ya mtu hata awe drs la pili.tujiulize chama kinachotuongoza hakina wasomi kama wapo mbona mambo yapo hivi. Uongozi haupimwi kwa elimu tu.

hata kama uongozi haupimwi na elimu nitakubali vipi kuongozwa na school dropper like mbowe??
Watu ambao hata hawana weledi wowote na historia ya uadilifu wanataka mamlaka takatifu kama ya ikulu
hata kama nyerere wanaependa kumsema sema angekua hai pamoja na ufisadi wa hawa magamba katu asingethubutu kuiona nchi hii ikiongozwa na watu sampuli ya chadema tuionayo sasa
chadema ya udini na ukabila
kwa maana sikuzote yeye alikua ni kinara wa kupinga mambo hayo
 
hata kama uongozi haupimwi na elimu nitakubali vipi kuongozwa na school dropper like mbowe??
Watu ambao hata hawana weledi wowote na historia ya uadilifu wanataka mamlaka takatifu kama ya ikulu
hata kama nyerere wanaependa kumsema sema angekua hai pamoja na ufisadi wa hawa magamba katu asingethubutu kuiona nchi hii ikiongozwa na watu sampuli ya chadema tuionayo sasa
chadema ya udini na ukabila
kwa maana sikuzote yeye alikua ni kinara wa kupinga mambo hayo
Jaribu kushirikisha ubongo wako wakati wa kichangia itakusaidia
 
Back
Top Bottom