Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa
Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya chama hicho
Dr. Slaa alishakwenda na maji kwenye utawala wa mwendazake baada ya kuhongwa ubalozi na kuondoka CHADEMA kisa Edward Lowasa kujiunga chama hicho na kuwa mgombea wa uraisi
Mtu pekee mwenye msimamo aliyebakia ni Mbowe sasa kama mwamba huyu naye atang'oka kwenye uchaguzi wa mwenyekiti huenda kauli ya Mgosi Makamba ikatimia CHADEMA kikafa natural death kifo cha mende
Makamba kwa kipindi hicho hakuona Tundu Lisu kama tishio kwa chama hicho zaidi ya Mbowe na Dr. Slaa
Comasa