Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Slaa anazeeka vibaya.ndoa imemshinda,ametelekeza watoto wanateseka kwa kukosa huduma mhim sasa anajifanya ye mjanja.wazee wengine ovyo kabisa.
 
Hii ilitegemewa, hakuna cha kushangaza hapa!
 
hata mimi nimepigiwa cm wapo central fahamisheni vijana wote matawini...

Acha upuuzi wewe,wacha polisi ifanye kazi yake usijifanye mnajua vurugu msiwaone wapambanaji wa CCM wamekaa kimya kimya mkafikiri hawawezi kuliwasha siku wakichoka mtakiona kama ujaficha gwanda lako makaburini nyie kila kukicha mnahamasisha fujo watu wanahojiwa kwa waliyoyasema wewe unafikiri kama ni kuropoka na kusema uwongo CCM hawawezi si vizuri tukafika uko kauli zao za uwongo zaweza leta machafuko hapa nchini na kusiwe na amani tena sasa sijuhi wewe na wenzako mnaojifanya mnapenda sana chama kuliko amani na utaifa tulionao mtakaa wapi wakati huo,tanguliza mslahi ya taifa kwanza alafu chama chako baadae!
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

UPDATE 3
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.

hawana cha kuongea cha maana wazishi tu,si kama yule dogo bungeni karopoka yamemkwama sasa
 
Acha upuuzi wewe,wacha polisi ifanye kazi yake usijifanye mnajua vurugu msiwaone wapambanaji wa CCM wamekaa kimya kimya mkafikiri hawawezi kuliwasha siku wakichoka mtakiona kama ujaficha gwanda lako makaburini nyie kila kukicha mnahamasisha fujo watu wanahojiwa kwa waliyoyasema wewe unafikiri kama ni kuropoka na kusema uwongo CCM hawawezi si vizuri tukafika uko kauli zao za uwongo zaweza leta machafuko hapa nchini na kusiwe na amani tena sasa sijuhi wewe na wenzako mnaojifanya mnapenda sana chama kuliko amani na utaifa tulionao mtakaa wapi wakati huo,tanguliza mslahi ya taifa kwanza alafu chama chako baadae!
Magamba mpo kwa maslah ya 2mbo 2 na familia zenu nenden kuzimu
 
CCM wanatulazimisha kufanya tusichotaka kukifanya mapema..Wangesubiri tu wafike salama 2015

Wewe hamna ubavu huo kama ndivyo mjidanganyavyo jaribuni muone,manake msione wana CCM wamekaa kimya mkafikiri hawawezi fujo ni busara tu na malezi mazuri walelewayo na viongozi wao ndiyo maana wako kimya lakini siku wakiamua chadema hamtakaa hapa nchini manake watakuwa wamechoshwa na fujo,matusi,dharau na ukorofi wenu chadema!
 
Magamba mpo kwa maslah ya 2mbo 2 na familia zenu nenden kuzimu

Wewe si mmojawao katika kile kikosi kazi cha chadema pale makao makuu yenu kazi yenu kuingia mitandaoni kisema vibaya CCM na serikali yake ili kuijengea chuki kwa wananchi lengo chaguzi zijazo mchaguliwe Chadema mnapewa posho kwa kazi hiyo mmetanguliza matumbo yenu mbele na ubinafi wenu mko tayari kuliingiza taifa kumwaga damu kwa maneno yenu ya uwongo,uzushi na uposhaji dhambi hiyo haitawaacha itawatafuna vizazi kwa vizazi vyenu laana hiyo!
 
mh kweli Polisi vihiyo,kama makondooo wanapelekwatu.....
hivi hakunaga polisi anaye weza kuleta mapinduzi kwa jeshi lao.......
wao kila siku wanatumwa kama watoto...
loooh stupd police TZ.

Mbona unawashauri ujinga wenzio,mbona wewe uko kwenye chama chako chadema kuna udini,ukabila,undugu,ujirani na urafiki mwema katika kupeana vyeo ndani ya chama na ata nje ya chama kama vile viti maalum haya yote yanaongozwa na uongozi mbovu wa chadema,mbona hujitokezi kufanya mapinduzi?safisha kwanza kwako ndiyo ukasafishe na kwa mwenzio!
 
Rais wa Zambia aliyebwagwa kama Mende, Keneth kaunda, hakujua wala hakutegemea kabisa kwamba Iko siku Zambia itakamatwa na wapinzani. Kwahiyo alichokuwa akiwafanyia Upinzani ni Kuwabania Lock zote kila walikopita wapinzani.
Ilipofika siku ya siku baada ya KATIBA (Mboni ya jicho la KK ) kupanguliwa, na uchaguzi mkuu kuitishwa mwaka huohuo...Wallahi.. Kaunda. Pinduu!!...Chali.! mwanawane. Na wiki hiyohiyo tupwa Segerea ya Lusaka.....
......INAKUJA HAPA HIYO
 
Mbona unawashauri ujinga wenzio,mbona wewe uko kwenye chama chako chadema kuna udini,ukabila,undugu,ujirani na urafiki mwema katika kupeana vyeo ndani ya chama na ata nje ya chama kama vile viti maalum haya yote yanaongozwa na uongozi mbovu wa chadema,mbona hujitokezi kufanya mapinduzi?safisha kwanza kwako ndiyo ukasafishe na kwa mwenzio!

Safi kabisa. Mpe vidonge vyake au vyao
 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..


CCM imeingia woga,kwa sababu Dr. Slaa alitishia kuanza tena operesheni yake ya mikoani. Kamambele monimambo. Padre Slaa anawabatiza wale watu wanaingia Chadema, John Myika anawapa kipaimara,confirmation.
 
Polisi wanapenda kua karibu na Rais Slaa

afadhali wewe umeliona hili. hawatafungwa wala kuwekwa chini ya ulinzi, ni kutoa maelezo ya madai yao, halafu makachero wanafanyia kazi taarifa zao. lazima Rais mtarajiwa alindwe
 
watakua wanahojiwa kuhusu matamko yao yanayohatarisha amani. mbona walisema hawatokwenda? inteljensia inaonesha wanataka nchi isitawalike. chdm wachague moja. ama kufanya siasa ya kidiplomasia au wachukue silaha waende msituni ili wakafyekwe vizuri. tumechoka tumechoka tumechoka na fitna za kaskazini. mnatuharibia nchi! mambo ya kenya hatuyataki tanzania!

mnyika alisema serikali ni dhaifu. mdee jana ameamuru raia wa kawe wawapige wanaotaka kununua ardhi na kuendeleza jimbo la kawe. ameomba wamwage damu. SASA WATAONA KAMA SERIKLAI NI DHAIFU AU SIYO DHAIFU. RAIS ANATUKANWA KILA UCHAO! naiomba serikali iwabane hadi wakose pakumulia. naona hii siyo siasa. huu ni uasi na uhaini. vile chdm wametangaza vita basi na iwe vita. wanaotaka kwenda central tangulieni mkashambuliwe na vyombo imara vya serikali ya ccm.


KUHUSU ALIEANDIKA MAKALA NDEFU YA LESENI YA UDEREVA
Mungu ni wetu sote. slaa ana wema gani hadi Mungu awe upande wake. anafuja pesa za chama, anaiba wake za watu, anamhonga kimada wake ubunge viti maalumu ili kumnyamazisha asimfuate kimada wake mpya, ni muongo majukwaani nk..... KWELI HUYU NI MJA WA MUNGU!!!!!!!!!!!!!!!? Mbowe klabu yake ya bilicanas inauza pombe, ni kichaka cha machangudoa, wasagaji, ******* nk....... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI!!!!!!!!!? kuhusu lema, kamanda zombe alifichua kuwa walishirikiana ktk ujambazi arusha.... hadi leo hajakanusha wala kumshitaki zombe.... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI. NAKUOMBA UACHE MAHUBIRI YA KISHETANI!!!!!!!!!!!!!!!! hawa ni mabaradhuli siyo wacha MUNGU

Rage & rant,
 
Kuhusu Slaa itakuwa kashtakiwa kwa kutelekeza familia ndo habari za chini chini nilizopenyezewa
 
Unajua polisi na TISS wanataka kujua ni maelezo gani walionayo Dr. Slaa ili wafananishe na mpango wao halafu wapime vyanzo vya kina Slaa vina ukweli kiasi gani.

Kama wakigundua jamaa wana data nyingi za kuwaumbua basi itatafutwa mbinu ya kuitupia taulo serikali na akina Slaa wakiachiwa waendelee kupeta huku system ikijihoji ni akina nani hasa wanaolikisha stori kabla ya mpango wenyewe kutekelezwa.

Kifupi hii ina maslahi kwa TISS zaidi kuliko kwa akina Slaa, hofu yangu tu waliwadhuru huko.
 
Back
Top Bottom