Sasa ni saa 8.15, je kuna nini kiliendelea? Wameachiwa? Walihojiwa nini na nani nk
Sakata hili jipya ni LIPI hilo? kuna sababu gani ya wao kuchukuliwa kituoni?Mkuu nimeweka update hapo juu,
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na mwezake nk) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya.
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.
Updates
Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm, Mr Henry J. Kilewo.
UPDATES
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.
Mkuu Ritz,Masawe mnataka kwenda kuwatoa kwa nguvu? Ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi, wanahojiwa kutokana na kauli zao.
inaelekea hata Commonsense inakupiga chenga, ulitaka mpaka uyasikie mitaani majina ya humu (usernames) ndo ujue watu wako kazini! Kwa taarifa yako, Khalid Masoud aliyeuawa Igunga na Mbwambo aliyeuawa Arumeru (just to mention a few) wote walikuwa wana jf, Futa usemi wako na Omba radhi au toka nje!!Umeonaa eeh mimi hawa wafuasi wa CDM huwa wananiacha hoi'harakati zao huwa zinaishia kwenye keyboard tu sio barabarani'nguvu ya umma ya wapi?bongo mnachekesha,sijaona waoga kama hawa'hivi sasa eti walitaka kupitia mgongo wa madaktari kukamilisha matakwa yao'
Habari kutoka chini ya kapeti zinasema Polisi wanawauliza kina Slaa kwamba 'Nani yupo nyumba ya CHADEMA?'
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.
Unaota wewe dunia inaona wa tz?kwa maslahi gani wanayopata hao wazungu?Syria wanakufa mamia kila siku na dunia haisemi kitu ije kuwa Mbowe na Slaa,?
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
Kwenye post naona wamesema kuwa katibu wa kanda maalumu dar ni bwana kileo, mchaga wa machame.du
nani asiyejua kama hiki ni chama cha wachaga na siku hizi wakatoliki nao wamejiunga.Hata wewe waonekana ni mchaga pia.Pole sana ukweli unauma
Kaka,
Sisi wengine tumefika mahali pagumu, kupigwa na polisi na vipigo vya maisha magumu ya mtaani tofauti hamna. Siku ikifika na ikibidi tutaenda na nguvu ya Umma. Mbona Lissu aliliezea vizuri hilo jana Bungeni?