Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Mbona katika picha haionekani kama walikamatwa?
Mbona katika picha haionekani kama walikamatwa?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona Mwakyembe hakuchukuliwa kwenda kuhojiwa pamoja na barua aliyoiandikia Police na Sitta kusisitiza kuwa amechshwa sumu?? Kwa hiyo kutuambia kuwa ni kawaida yao kufanya hivyo ni uongo wa mchana. Pilice yetu inafanya mambo yake kisiasa, period!!!
ushuhuda mzuri ila hukuwa na haja ya kuandika kama unakimbizwa,andika vizuri kwa aya ndogo ndogo ili tusome kwa utulivu namna ulivyoaandika tunasoma kama tuko juu ya mlima kilinamjaro tukiharakisha kushuka.
Pili tambua wewe huna mamlaka yeyote ya kuwaambukiza hao unaowish(nadhani unajua mamlaka zinatoka wapi).jihadhari usijitwalie utukufu then mwenye mamlaka akakuacha peke yako.
Tatu kila kitu kina mahali pake pa kusemea,huu ushuhudi kautoe kanisani watu watiwe moyo na mungu atainuliwa zaidi kwa kuwa hata lugha uliyotumia itaeleweka.hapa jf kuna mixes recipe ya watu,ukitukanwa usilalamike.
Nne kama uliona ni muhimu ushuhuda huu usomwe mtandaoni,basi peleka jukwaa la dini utaeleweka
ni hayo tu mzee wa kanisa
unahatari weye tena sio ndongo inabidi ufanyiwe maombi kwan unaonekana huna hata chenbe ya fikralazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
Dumela Mbegu, we are all born stupid but you seem to be working really hard to remain so...remember stupidity is not painful and it is not a handicap!Mkuu ndi ujue JF siku hizi tuna vilaza balaa, JF members tujirekebishe aisee tunatia aibu .
wewe mbona comment yako na footnote yako zinapingana??????wanataka kuwafanya nini sasa!au ndio kulazimisha waeleze juu ya zile shutuma,serikali ya ccm inatapatapa kama mfa maji
Anza na hapo kwenye red kwanza mngekuwa na uchungu na li ccm lako mngetuibia twiga wetu?Ole wenu na waizi wote mkatafute pa kujificha...Acha upuuzi wewe,wacha polisi ifanye kazi yake usijifanye mnajua vurugu msiwaone wapambanaji wa CCM wamekaa kimya kimya mkafikiri hawawezi kuliwasha siku wakichoka mtakiona kama ujaficha gwanda lako makaburini nyie kila kukicha mnahamasisha fujo watu wanahojiwa kwa waliyoyasema wewe unafikiri kama ni kuropoka na kusema uwongo CCM hawawezi si vizuri tukafika uko kauli zao za uwongo zaweza leta machafuko hapa nchini na kusiwe na amani tena sasa sijuhi wewe na wenzako mnaojifanya mnapenda sana chama kuliko amani na utaifa tulionao mtakaa wapi wakati huo,tanguliza mslahi ya taifa kwanza alafu chama chako aebaad!
Lika mana nini?acha uzembe.
Story ndefu ya nini? Hebu watishe sasa hao PoliCCM wawaachie ndio uje na stori zako hizo. Usisubirie hadi watakapotoka wenyewe ndio uje ukijidai eti uliwakemea kwa kupitia mamlaka uliyonayo. Labda hiyo mamlaka unaipata kutoka kwa Chama cha Mabwepande!