Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Yaani ccm ni wajinga kweli

Siasa zao zinaelekea kwa Dr Slaa

Wanaona wakishambulia Dr Slaa ndio wanakuwa mashujaa this is big no Mzee na CCM wote

Mzee YOU HAVE PROVED FAILURE

Nmakumbuka kwenye thead ya Paschal Mayala aliwaita Nape, na co. yake WAJINGA wapuzeni hao
 
Headless-Chicken.jpg

Sisi wote ni wanyama. Turudi kwenye point, Dr Slaa anamiliki kadi "hai" ya CCM na wakati huohuo ni katibu mkuu Chadema. Mmmmmm hapa kuna walakini mkubwa sana.
 
- Huwezi kuwa Intelligent ukaja kujibu mtu asiye intelligent unless huelewi maana yake kama vipi, by the way kwa nini Slaa hajakanusha kama alilipia kadi ajitokeze akanushe halafu aonyeshwe risiti zake mpaka za mwezi uliopita!!

- Wengine huko juu ukiona sijawajibu ujue ni kwamba ni too low kwangu The King Of All Bongo Network Social Media, you know!!

le mutuz
Babu, Slaa ameishatujibu au ulikuwa umelaa? maana nyinyi mababu kwa kulala mapema. au ulitaka akujibu wewe? nasikia unalipwa eti JFwakuachie wewe, babu huwezi maana humu watu wana uelewa sana. unataka kujitafutia umaarufu kwa jina la Dr Slaa. BISHA!!
Dr Slaa siyo size yako ili akujibu wewe binafsi. naomba utumie kichwa kufikiri na mdomo kusema.
 

wewe uko social media zipi ambazo hujui alichokiongea Dr.Slaa?

Kwa ufupi wakati anahojiwa na vyombo vya habari (EATV LIVE INTERVIEW DECEMBER 2012) naomba nimnukuu "wakati nipo CCM mwaka 1995 kadi yangu ya chama cha mapinduzi ilikuwa imelipiwa ada ya miaka 20, yaani mpaka mwaka 2015". mwisho wa kunukuu

sasa tuone katiba ya CCM inasemaje mwanachama akihamia chama kingine cha siasa.


13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a) Kujiuzulu mwenyewe;
(b) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(c) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(e) Kujiunga na Chama kingine chochote cha
siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake
unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(3) Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa
Uanachama akitaka kuingia tena katika
CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka
maombi yake hayo ama katika Halmashauri
Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha
au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia
tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata
utaratibu wa kuomba Uanachama kwa
mujibu wa Katiba ya CCM.

Yaaani wewe hamnazo kabisa hata katiba ya chama chako huifahamu vizuri. soma kwenye red hapo ukimaliza waambie mods waufute uzi wako.




Kwanini asirudishe kadi ya CCM kama haitaki CCM?. Mbona majukwaani anawaomba watu warudishe kadi za CCM kuonesha kwamba hawaitaki CCM?. Huu ni uzandiki wa hali ya juu.
 
- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?

le mutuz

Hivi wewe unalipa kodi kweli? kwa kazi ipi unayoifanya, weka kidhubitisho humu tukuamini.
 
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz
so wee hupendi awe mwanachama wenu pia? ni dalili kuwaakiwa rais wa jamhuri ya Tanzania atakuwa rais wa wote wa CCM na wa CHADEMA na wa vyama vingine vyote....
 
Kama Dr Slaa ana kadi ya CCM na bado analipia lakini wakati huo huo ni kiongozi wa CDM kwanini CCM wamn'anganie hii inaonyesha jinsi gani wanavyomtamani lakini pia imetufungua macho watu wengine kuwa ccm ni chama pekee ambacho unaweza kuwa mwanachama wa chama kingine lakini bado ukaendelea kuwa ccm ndio maana kuna mgombea wa rais wa CCM aliingia akiwa na kadi ya cdm mfukoni kwenye mchakato wa urais 2005
 
Mkuu tumeona na maazimio yako uliyopost kwenye page yako ya facebook


@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA.

NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO.

INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY?

SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!


Wengine wanafanya mipango ya kujenga wewe unafanya OPERATION CHAOS!

Watu wameamka.

hhahahahahahahahaha! nimecheka sana,
kumbe ndo linavyojitapa huko FB? kweli ukubwa wa mwili wake hau'reflect na akili zake kabisa.....
 
- Anayetakiwa kujibu ni Slaa menyewe au Chadema, sio wewe na kwa nini mmewafukuza wale watoto wadogo au kwa sababu ni watoto wadogo na hasa Msichana mdogo kwa sababu hawezi kujitetea mbele yenu wababe wa matusi, I mean think about it mamluki ni mamluki tu huwezi kuwa na kadi ya CCM na Chadema ukakosa kuwa mamluki, au?

le mutuz

Hivi we yanakuhusu nini? unaipenda Chadema eeh?? fuatilia mambo yenu CCM kwanza unyamaze kimya, ndo maana umepigwa ban na mkeo huwezi kwenda USA ...umetelekeza watoto....jela inakusubiri huko....
 
- Ok the ishu bado inasimama pale plale kwamba mmewafukuza mamluki watoto wadogo sana wasio na uwezo wa kujitetea, kwa kosa lile lile kama alilo nalo Slaa la kuw amamluki, I mean ukishakuwa na kadi mbili mna zote unazilipia ukweli ni kwamba wewe ni mamluki, sasa mbona Slaa mmemuacha ndio inatia wasi wasi sana na uwezo wenu wa kusimamia katiba people!!

le mutuz
simple logic, sasa kama slaa ni mamluki wenu kwanini mnavujisha siri zake kwetu sisi CHADEMA?
na kwanini mumuogope kiivyo? si mamluki wenubana? si anawaletea taarifa za ndani za CHADEMA?
mbona hao mamluki wa bavicha waliofukuzwa hamjawahi kuwataja live live kama hivi?
 
Sijui nimjibu nini huyu jamaa! Hivi naye anaona cha maana kweli kudiscuss swala la mtu kuwa na kadi ya chama alichoachana nacho!!! Mbona hata mimi ninayo? Watanzania wengine bwana!! Badala ya kudiscuss issues anaongelea kadi. Tena huyu ni kijana. Haya sikia na Lipumba naye bado anayo. Unasemaje? Na wengi tu bado wanazo ilimradi tu waliwahi kuwa wanachama wa CCM. Unasemaje? What is the problem?
 
- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?

le mutuz
Na kwanini Nyerere alimkataa Baba yako Live bila chenga????????? sasa nimemuelewa Mwl Nyerere alikuwa anamaanisha nini wakati ule. Kama mitoto yake ni mburula namna hii unategemea nini?? Nyie ndo Baba zenu wakikamata mjengo wa magogoni mnapiga watu makofi barabarani. Pole sana.
 
Warning!:becky: Wewe hata kama huna kadi ya CCM ni marufuku kukanyaga CHADEMA, lakini Dr. Slaa ni ruksa, ili historia isisahaulike kwamba kuliwahi kuwa na CCM.
CCM.jpg
Sasa Jiulize: Je Imani ya chama bado ni hiyo iliyoandikwa kwenye kadi za CCM, halafu utapata jibu kuwa kuna watu wenye akili lazima watekeleza hayo kwa vitendo. na tutawahukumu kwa kadi hizi
 
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz
yaani wewe ni tutusa kweli. nadhani cygwiyemisi huko mtera aliko anasikitika sana kuwa na mtoto kama wewe kwa jinsi ulivyo kuwa pumba kichwani.
 
mbululaaa! kinacho kuuwa wewe nini? hata hvyo unaonyesha umbulula wa chama chako
 
Hivi mtu akirudisha kadi huwa pia anarudishiwa pesa alizotumia kuinunua?

Nifahamisheni ili nami nirudishe kadi yangu ya CCM niliyonunua mwaka 1978 na kuilipia kwa miaka sita hadi mwaka 1984. Wakati huo kila malipo yalikuwa yanaendana na ama mchango wa mafuta ya Mwenye au Mchango wa jengo la CCM Dodoma, tena mchango huo ulikuwa ni wa lazima ingawa uliitwa mchango. Ningefurahi kurudishiwa pesa hizo leo pamoja na interest adjusted to infalation.

Hivi mtu anapolipia kadi huwa anatia sahihi sehemu kuwa ni yeye aliyeilipia? Je iwapo Nape ameamua kuandika list kwa jina la Kichuguu, je itakuwa ni kweli kuwa ni Kichuguu aliyefanya malipo hao?
 
Huyu achaneni naye na hoja zake mfu, anawachosha kama alivomchosha mzee malecela, mkumbusheni arudi ughaibuni alikoolewa.
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz

Daily nakwambia wwni KILAZA tena aliyekubuhu, wala hujuagi unafanya nn, ni upoupo tu na matapishi yako!!
hafu unajiita msomi, mzee Malecela kwako umemtia hasara!
hoja zako zote za kitoto zimejaa upotoshaji ulio uchi as if hata katiba ya Magamba yenu hamuijui wala hamuifuati!!
shame on u kilaza
 
Back
Top Bottom