Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz

inasemekana ww ni punga.. iz it true?
 
Kuna mtu aliandika uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo nikawa namkatalia, kwa uluyoandika kwenye RED, inathibisha ni kweli kwani hata katiba CCM chama chako hukijui, au unashindwa kuielewa.
 
Huenda huyu si msemaji rasmi wa CCM lakini ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM na hata humu JF ni mtetezi sana wa CCM na mpiga propaganda mkubwa.

Kwenye facebook yake @w.j. malecela amepost hivi:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

Kutokana na post hii naona haya yafuatayo:

1. Kuna kitu wanaita OPERATION CHAOS. Ambayo ni mkakati wa makusudi wa kuvuruga CHADEMA. Ndio maana leo W.J. Malecela ameanzisha thread hii:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/382073-dr-slaa-and-chadema-must-come-clean-now-or-else-7.html

2. Attention kubwa ya Operation Chaos ni kummaliza Dr. Slaa.

3. @W.J. Malecela anamtaja Zito kuwa ni the best interest ya CCM.

4. Operation Chaos inadai kushambulia mitandao ya jamii kwa kasi sana.

Hofu yangu ni kuwa haya yote yanafanyika kwa ajili tu ya kubaki madarakani, lakini mbona hatuoni ajenda za kujenga?

Mbona hatuoni vision ya nchi? Mbona hatusikii matatizo ya nchi na namna ya kukabiliana nayo badala yake ndio OPERATION CHAOS!
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com

hivi Nappe ni Mheshimiwa.? ndio maana mzee wa pembe za Ndovu aliwakataza nyie kuitana waheshimiwa aliona mbali sana.
 
kwanza le mutuz wewe sio king of bongo network,pili nape sio mheshimiwa ni nape mnauye,kama wewe surname yake naye ilimnyanyua,tofauti na wewe ni kidogo yeye anatambulika,ila wewe mutuz na siasa zako za majungu utabaki hivyo hivyo kuwa mpambe wa watu,unataka chadema waseme kuhusu kadi ya dr slaa,ujui kuna mambo makubwa sana hiyo serikali yenu haijatoa matamko,pesa za walipakodi wa tz(unazijua hizi sababu dingi yako alificha kadhaa) zinaibiwa kila siku,mutuz nina mambo mengi ya kukuelimisha ila sio leo,siku nyingine njoo na hoja ya maana
 
Jamani, Billy kaleta hoja na ingekuwa hekima kumjibu kwa hoja na wala si kwa matusi na kejeli.
Kwa upande wangu naona Billy ana point tena nzito kabisa. Mwanajeshi uwapo vitani ni muhimu kutambuliwa uko upande gani ili kuepusha hatari ya kupigwa risasi na wenzako.
Dr Slaa ana kadi za vyama vyote viwili (CCM+CDM), griiiiiiiiiiiiiii hapa naumwa kichwa ngoja nimeze panadol. Kwa Hesabu za harakaharaka huyu Dr Slaa anaweza kuwa:

a) CCM CDM
b) CDM CCM
c) a+b
d) Yote ni sawa.
 
Mkuu tulishasoma na post zako za Facebook:
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

Naona ndio hivyo unatekeleza Operation Chaos. Watu wameamka hawadanganyiki.

Naona hata Mwigulu Nchemba concentration ni Dr. Slaa. Tunazidi kumsikiliza Dr. Slaa kwa kuwa mmempromote sana.

Hivi matairi ya nyuma ya gari la LE MUTUZ, hayajatobolewa kweli?
Offside Trick =Aambiwe (Babu jinga) - YouTube
 
Jamani, Billy kaleta hoja na ingekuwa hekima kumjibu kwa hoja na wala si kwa matusi na kejeli.
Kwa upande wangu naona Billy ana point tena nzito kabisa. Mwanajeshi uwapo vitani ni muhimu kutambuliwa uko upande gani ili kuepusha hatari ya kupigwa risasi na wenzako.
Dr Slaa ana kadi za vyama vyote viwili (CCM+CDM), griiiiiiiiiiiiiii hapa naumwa kichwa ngoja nimeze panadol. Kwa Hesabu za harakaharaka huyu Dr Slaa anaweza kuwa:

a) CCM CDM
b) CDM CCM
c) a+b
d) Yote ni sawa.

Headless-Chicken.jpg
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz
Pole sana ninamhurumia huyu mzee kuwa na debe tupu kama wewe. Hivi huwa hauoni hata aibu labda kwa sababu wewe ni baharia. Ila inaonekana kabisa kuwa uwezo wa kufikiri hata tu kipropaganda ni mdogo sana. Ndio maana Nyerer alikataa msiwe wapanagaji wa Ikulu! Slaa tunampenda sana na kila mnavyomtangaza ndio tunamtaka zaidi. Kwani Zuma ilikuwaje na yeye ndio alikuwa na kashifa za ukweli ila wananchi waliamua nini? Hapa ni Dr wa ukweli tu we rudi baharini tu siasa siyo yako !
 
Hahahahaha

Nyerere aliwahi kusema haamini kama yuko kwenye chama kimoja na watu wajinga (kama huyu)...
 
- Ndio tatizo letu
kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo
ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi
wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa
uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena
wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado
anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia
kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya
CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala
Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika
Taifa!!

le mutuz

hoja ya kuilipia hapa haipo tena kwa kuwa mmeshindwa kuithibitisha, kwani nyie hamfurahii kuwa na mamluki chadema kwa nini mumuumbue tena?, ukiona hivyo ujue hakuna mnachofaidika na mnayemwita mwanaccm kuwa cdm zaidi anawahenyesha tu, dr tunakuhitaji sana
 
Anafikiria kwa kutumia masaburi.
Huenda huyu si msemaji rasmi wa CCM lakini ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM na hata humu JF ni mtetezi sana wa CCM na mpiga propaganda mkubwa.

Kwenye facebook yake @w.j. malecela amepost hivi:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

Kutokana na post hii naona haya yafuatayo:

1. Kuna kitu wanaita OPERATION CHAOS. Ambayo ni mkakati wa makusudi wa kuvuruga CHADEMA. Ndio maana leo W.J. Malecela ameanzisha thread hii:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/382073-dr-slaa-and-chadema-must-come-clean-now-or-else-7.html

2. Attention kubwa ya Operation Chaos ni kummaliza Dr. Slaa.

3. @W.J. Malecela anamtaja Zito kuwa ni the best interest ya CCM.

4. Operation Chaos inadai kushambulia mitandao ya jamii kwa kasi sana.

Hofu yangu ni kuwa haya yote yanafanyika kwa ajili tu ya kubaki madarakani, lakini mbona hatuoni ajenda za kujenga?

Mbona hatuoni vision ya nchi? Mbona hatusikii matatizo ya nchi na namna ya kukabiliana nayo badala yake ndio OPERATION CHAOS!
 
- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?

le mutuz

muuliza mamako yule,sujui ndo mkubwa,mdogo au wakati.
Lazima Dr.Slaa atakua amempa taarifa,si una mjua tena au?
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz

Huna Tofauti na mtu ambaye harusi yake ilichangiwa na fisadi na baadae akasahau na kuanza kumwandama na mbaya zaidi akasahau kwamba alishawahi kumfungulia soda kwa kujipendekeza kwa fisadi ili mchango uwe mkubwa.
 
Wewe unanipa shida kidogo na akili yako na hata uwezo wako wa kuwa critical thinking juu ya mambo ya msingi na ukiwa hivyo basi huna jipya sana
 
M.b.w.a we , hivi hujui hata katiba yenu ya CCM unakuja huku kufanya nini ? Hivi CCM hakuna mtu mwenye akili jamani?
 
Katiba zote mbili, ya CCM na ile ya CHADEMA, haziruhusu ujinga huu unaoelezwa na william hapa! Bado watu wazima mnang'ang'ana kadi mbili kadimbili. Mnawafanya watendaji wakuu wa vyama hivi wajinga kiasi hiki!
 
Last edited by a moderator:
Anapata sifa hata kutukanwa! ACHENI KUMJIBU ILI AKAJISIFIE UELEVU WAKE KWENYE KIDUMU.
 
Back
Top Bottom