Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

- So mnawaonea dagaa kumbe gombe mnaogopa? Mnawafukuza watoto wadogo wasio na makosa lakini wakubwa kina Slaa mnawaogopa? Sasa mkishika nchi itakuwaje?

le mutuz
Kule CHADEMA hawana shida na kadi ile. Ipo kwenye maktaba binafsi ya Dr Slaa. Na sio kadi moja tu hiyo mnayoshupalia. Kama mtu makini, Dr Slaa hatupi au kuchoma kumbukumbu zake muhimu. Njoo na thread mpya WJM. Hii ya kadi mbona imekwishachuja?
 
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz

yaani, wewe mrembo hoja zako ni too narrow....aaagghhar, insanity and desperation.

Hivi unajua kuwa JK huwa anavunja Katiba ya nchi kila siku?
 
Hawa wanashikilia bango mambo yasiyo ya maana ili watu wasiwaze ya maana.
 
Jamaa hakuwai kuja na hoja yake zaidi ya kudandia za wenzie tena zile za kijinga!

Nimeamini Dr slaa ana watesa sana Maccm! Juzi kati ulisema kuwa cdm hawan lolote Maccm yanawapa kichwa ni bora kuwa puuza lakini naona umekula matapishi yako!

Likini na kumbuka ulisema utafanya njia yeyote kuhakikisha chadema ina sambaratika! Lakini kama njia zenyewe ni hizi za kukopy kwa @Nnauye jr basi we ni mweupe sana maana hapa hakuna cha kutetelesha chadema wala Dr slaa!

Dr slaa hakika ni kiboko yenu!
 
- Ungefungulia Thread yake hapa haihusu, inahusu Slaa kwa nini hajakanusha kulipia kadi yake ya CCM na kwa nini mmefukuza watoto wadogo na kumuacha Slaa na kosa lao ni lile lile?

le mutuz

Mimi pia mbona ninayo kadi ya ccm na nimeilipia mpaka 2017 na mnanihesabu kama mwanachama wenu siyo? Kweli Dr slaa, Dr wa kweli anawanyima usingizi na bado mtabuni mbinu zote lakini kwa kuwa mmeruhusu akili ndogo kuwatawala nyie wenye akili ndogo zaidi mtaishia aibu.
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com

najua unamtaka Dr slaa,lakini hutompata..!!

nendeni kwa babu mkapate kikombe
 
We unatoa ushauri kama nani kwa Dk. Slaa&CHADEMA??? Jisafishe kwanza mwenyewe.
 
- Kwa vile uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana hukuelewa nilichomjibu ni kwamba mbona hawa wadogo majuzi kule Bavicha hamkuwapa hizi choices? unazotaka apewee Slaa?

le mutuz

jibu swli wewe ni punga? kama sio unahisihi nini kimefanya hii habari isambae mjini?
 
Jamaa hakuwai kuja na hoja yake zaidi ya kudandia za wenzie tena zile za kijinga!

Nimeamini Dr slaa ana watesa sana Maccm! Juzi kati ulisema kuwa cdm hawan lolote Maccm yanawapa kichwa ni bora kuwa puuza lakini naona umekula matapishi yako!

Likini na kumbuka ulisema utafanya njia yeyote kuhakikisha chadema ina sambaratika! Lakini kama njia zenyewe ni hizi za kukopy kwa @Nnauye jr basi we ni mweupe sana maana hapa hakuna cha kutetelesha chadema wala Dr slaa!

Dr slaa hakika ni kiboko yenu!

- Great, hoja ya mtu mwingine 11 pages sasa nikija na hoja yangu itakuwaje bro? ha1 ha! ha!

le mutuz
 
- Tafadhali jibu hoja ni kwa nini Chadema na Slaa hawajajibu ishu ya Slaa kuilipia kadi yake ya CCM?

le mutuz

Labda tujiulize umuhimu wa jibu la CHADEMA au Dr Slaa kuhusu umiliki wa kadi ya CCM;

Binafsi naona,

Majibu yake hayana maana yeyote kwa masikini wanaoshindia mlo mmoja au labda hata maji tu kwa siku...
Majibu ya umiliki wa kadi hatayamsaidii mwananchi anayedhulumiwa haki yake mahakamani kisa tu, hana kipato...
Majibu ya kadi hayawezi kurudisha dhahabu zinazosafirishwa nje kila siku wala nyumba za serikali zilizouzwa kinyemela!
Majibu ya umiliki wa kadi hayawezi kuwarudishia ardhi wale wanaonyang'anywa..
Majibu ya kadi hayawezi kutuletea haki yetu ya kuishi tunayoona wenzetu wananyang'anywa na polisi kila siku...

Ni ufinyu wa mawazo ndio unaotufanya sisi (mimi nikiwa mmoja wapo) hata kudiriki kukujibu, kwa sababu ningepaswa kufanya jambo la maana zaidi na muda wangu.

Tunahitaji kujadili vitu vya maana zaidi kama taifa.
 
We unatoa ushauri kama nani kwa Dk. Slaa&CHADEMA??? Jisafishe kwanza mwenyewe.

- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?

le mutuz
 
- The Ishu is Chadema na Slaa wanahitaji kukanusha au kukubali kwamba Slaa anailipia Kadi, si unajua kwamba Uongo wa Siasa usipojibiwa haraka huwa unageuka kuwa ukweli, halafu in the wake ya Chadema kuwafukuza watoto wadogo kwamba ni Mamluki wa CCM na huku mna Kiongozi anayefahamika wazi kwamba ana kadi ya CCM na yeye mwenyewe kukubali in the public kwamba anayo, hamuoni kwamba hamukitenedi haki chama chenu?

le mutuz

Ningeomba mods wafute upuuzi huu,

hapa suala CCM ,watuletee huo ushahidi wa DR, kulipia kadi yake.Alienda tawi lipi na receipt tuletewe,vinginevyo hawa ni watu wanaopoteza muda humu ndani, tuache kujadili jinsi rasilimali zetu zinavyopukutishwa na baba zao, huku wakitetea ulaji.
"katibu wenu mkuu anaua tembo wetu,meno yamekamatwa huko Hong Kong yeye akijifanya hajui akijificha kwa kivuli cha katibu mkuu wa Chama cha majangili".Siku zenu zinahesabika, wewe endelea kuchumia tumbo.watu wanakufa hospitali hakuna CT Scan,wewe unatuletea upuuzi humu ndani.
 
- Blaza kabla hujaandika fikiri just for one minute, mtu anayeweza kuwavuta Great Thinkers in three hours wakajibu 10 pages ni mtu wa aina gani huyo kama sio Msomi, Mkaree, Big Celeb, Kiongozi Supa, I mean lazima ukubali hilo mamen ama sivyo hujitendei haki na wezako hapa!

- Kubali mimi ni Mkaree na Super Msomi ndio maana ninakuwa The King Of All Bongo Network Social Media kwa sababu I can pull anything in the Network Social Media na kugeuza kuwa Gold, so kuwa na heshima japo kidogo na besides mimi ni Kiongozi wako wa Taifa, ha! ha! ha!

- Yaani majuzi nimekuchagulia Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Jamhuri na 2015 again nitakuchagulia tena Rais wako si unajua Rais lazima atokee CCM tu!!

le mutuz
Mimi sijapinga kuwa wewe sio King ,jibu swali acha mbwembwe .Hujui kuwa hata ukivua nguo barabarani unaweza ukavutia watu wengi wakuzunguke .So kwa usomi wako uwe unapembua watu wanapokuzunguka wakati umevua nguo wamekuja kukusikiliza kwamba wewe ni shujaa ama wanakushangaa wakihakiki kuwa ni wewe kwa ujinga unaoufanya .

Jipime wewe na vijana wenzako wa ccm kina J. Makamba ,Deo Flikunjombe ,L.Masha nk .Kaka unatia kin.yaa kwenye media (samahani kwa neno hilo ,ila inapaswa uambiwe ukweli).
 
Labda tujiulize umuhimu wa jibu la CHADEMA au Dr Slaa kuhusu umiliki wa kadi ya CCM;

Binafsi naona,

Majibu yake hayana maana yeyote kwa masikini wanaoshindia mlo mmoja au labda hata maji tu kwa siku...
Majibu ya umiliki wa kadi hatayamsaidii mwananchi anayedhulumiwa haki yake mahakamani kisa tu, hana kipato...
Majibu ya kadi hayawezi kurudisha dhahabu zinazosafirishwa nje kila siku wala nyumba za serikali zilizouzwa kinyemela!
Majibu ya umiliki wa kadi hayawezi kuwarudishia ardhi wale wanaonyang'anywa..
Majibu ya kadi hayawezi kutuletea haki yetu ya kuishi tunayoona wenzetu wananyang'anywa na polisi kila siku...

Ni ufinyu wa mawazo ndio unaotufanya sisi (mimi nikiwa mmoja wapo) hata kudiriki kukujibu, kwa sababu ningepaswa kufanya jambo la maana zaidi na muda wangu.

Tunahitaji kujadili vitu vya maana zaidi kama taifa.

- Kuna thread nyingi sana humu JF kuhusu hoja unazozisema kwenye Maisha kila kitu na wakti wake, so huu hapa ni wakati wa Slaa kwa nini analip[ia kadi CCM na hafukuzwi wengine hawana hata kadi lakini wanafukuzwa?

le mutuz
 
Mimi sijapinga kuwa wewe so King ,jibu swali acha mbwembwe .Hujui kuwa hata ukivua nguo barabarani unaweza ukavutia watu wengi wakuzunguke .So kwa usomi wako uwe unapembua watu wanapokuzunguka wakati umevua nguo wamekuja kukusikiliza kwamba wewe ni shujaa ama wanakushangaa wakihakiki kuwa wewe kwa ujinga ulioufanya .

Jipime wewe na vijana wenzako wa ccm kina J. Makamba ,Deo Flikunjombe ,L.Masha nk .Kaka unatia kin.yaa kwenye media (samahani kwa neno hilo ,ila inapaswa uambiwe Kweli).

- Haya ni mawazo yako kwa vile sina mawazo kama yako ya kukumbatia mediocre, umesema maneno mengi lakini hujagusa the ishu yaani Slaa kwa nini analipia kadi yake ya CCM na hafukuzwi?

le mutuz
 
Bado hujaelewa mkuu,
Nimekuwekea zote hapo ili usome kwa ukaribu labda utaelewa!

WildCard hakutoa option kwa mtu, hivyo hakuna choice hapo mliyopewa ninyi magamba..
Amesema CCM si inasema Dr Slaa ni mwanachama wake sababu analipia kadi?! Basi imfukuze uanachama sababu amekua akiwatesa sana, na ada zake mumrudishie kwa M/Tigo pesa!

Binafsi, naona mmekuwa mkipiga kelele tu kuwa aseme kuhusu kadi, lakini sote tunajua kuwa ajenda muhimu katika nchi yetu kwa sasa sio nani ana kadi ngapi bali nani atatusaidia sisi wananchi kutoka katika lindi hili la umaskini wa kulazimishiwa!
Nani atasimamia rasilimali zetu ili zipate walau kutupatia maendeleo!
Nani atawawajibisha wezi wa mali za umma ambao wako radhi kuuza roho zetu ili wapate faida waitakayo!
Nani atarudisha uzalendo, ili walau watu wanapolipa kodi wawe na furaha kuwa itawaletea maendeleo yao wenyewe!

nadhani hayo ndiyo ya msingi zaidi kuliko hizo siasa zao za majitaka wanazotuletea kila siku,hivi huyu kichwa maji naye anaona ni hoja kweli katuletea hapa jamvini tujadiliane,mtu mzima lakini ni hovyo kabisa,ukimsoma ktk thread zake za mwaka 2009 huwezi kuamini kuwa ni huyu aliyejitoa uwezo wake wa kufikiri namna hii,he is just like a homeless trump,aibu piuuuu!!!
 
- Haya ni mawazo yako kwa vile sina mawazo kama yako ya kukumbatia mediocre, umesema maneno mengi lakini hujagusa the ishu yaani Slaa kwa nini analipia kadi yake ya CCM na hafukuzwi?

le mutuz

kwa nini nyie msimfukuze kwanza huo uanachama wake???
 
- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?

le mutuz

Pamoja na watu wote hapa kukwambia akili zako hazitoshi bado unaendelea kuandika? huwa unasikiliza vyombo vya habari au kutwa uko kwenye kumbi za starehe na kujipigisha vipicha? tunakuchora tu hapa.
 
Back
Top Bottom