Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?
le mutuz
Mkuu;
- Sijawahi kujibu Comment yako ingawa hio sio ishu na sio lazima kwako na wala kwangu.Ila nimekuwa nikiona kujibishana na mtu kama wewe ni upotezaji wa mda tu.Kuna wakati hua naona kama wewe ni mtu aliye kichaa,sasa kujibishana na wewe ni ukichaa wangu zaidi na sio wako.Kwa maana hiyo nakubali kuwa kichaa kwa mda naandika post hii ili kuweza kuonesha "How a silly gay you are"
- Ilihali una uelewa tosha wa katiba yenu (CCM) unashabikia jambo lisilo na mashiko kwa kudhani kwamba unaiandama CDM.Dr Mwenyewe yuko smart ndio maana anawapuuza."Dawa ya Mpuuzi ni kumpuuza"
- Kwa umri wako na matarajio ya watanzania wengi walitarajia kuona mtu mwenye exposure ya mazingira ya nje ya Tanzania anayeweza walau kuleta changamoto za kimaendeleo katika sekta mbalimbali(Hata hio ya Ubaharia uliyonayo) lakini imekua tofauti kabisa,tunapata MaLusinde wengine.Gentleman,I believe you may be better than this.Mbona Mchambuzi yuko CCM na yuko smart na anaheshimika ,hata hoja zake zina mashiko....Huo ukoo wenu wa MaLusinde mmelogwa.? Si ajabu mzee John malecela kubadili jina kuwa Jumanne kuupata urais ambao umekua ndoto
- Kuna changamoto nyingi zinazohitaji mjadala wa kitaifa ili taifa livuke salama kwenda katika maendeleo chanya,tunahitaji vijana na wazee kama wewe wawe focused kuonesha dira ya tunakwenda wapi? Mjadala wa kadi sio ishu ya maana hata.Labda kwa Ma CCM kwa sababu mna akili za maiti.
- Hata kama ni propaganda chagueni zile zenye mashiko.........
Naam ,na ukichaa wangu uishie hapa baada ya kuweka nukta hii.
Last edited by a moderator: