Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

Duuh,
Hii ni hatari kama mtu anajenga nchi kwa kutumia msingi wa tope na wakati huo akitegemea kuishi humo kufichama dhoruba kuu la kimbunga,mvua,mafuriko,tetemeko na tufani nyingine nyingi zitokeazo ktk ulimwengu huu na akitegemea usalama wa maisha yake kudumu kwa muda mrefu!!! Kweli nimeamini kwa vyovyote vile the house built on that kind of foundation could only be the house for "fools" to stay as it has been cited by Ben.
Ben, keep giving them civic education even if they strongly remain adamant cause they'll only be judged for their own foolishness and not otherwise.
Well articulated,I subscribe to what Ben utters provided the ideas are of objective truth so far.

Walaghaika mko wengi, ndio maana Loliondo kulijaa misururu ya watu...
 
Binafsi nampongeza kwani inaonyesha namna anavyojali watu wenye matatizo. Hao si wezi bali ni watu waliojitolea kwa ajili ya Taifa lao
 
Watanzania wenzangu Dr Slaa ni tunu , tusifanye mchezo ! Ni wangapi wameenda us lakini tumeona wenyewe kwamba wameishia mabembeani tu .
 
Lukosiiii,Hivi mwaka huu Mmefanya kumbukumbu ya kifo cha Amina Chifupa?

Mkuu Carlos container linawezaje kujua mipango ya kumbukumbu ya kifo cha mtu aliyekuwa mstari wa mbele kupiga vita bidhaa inayowatajirisha viongozi wa ccm na serikali yake?
 
Hata mimi nimeona..
Walaghaika mko wengi, ndio maana Loliondo kulijaa misururu ya watu...

uploadfromtaptalk1380474248311.jpg
uploadfromtaptalk1380474284423.jpg
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1380474338621.jpg
    uploadfromtaptalk1380474338621.jpg
    18.3 KB · Views: 65
Mkuu Carlos container linawezaje kujua mipango ya kumbukumbu ya kifo cha mtu aliyekuwa mstari wa mbele kupiga vita bidhaa inayowatajirisha viongozi wa ccm na serikali yake?

"Tukianza kutaja majina, humu hatutapona!" - Lukuvi
 
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.

Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako na muda adhimu wa kuja kujadiliana nasi masuala ya Taifa hili,nashukuru sana na nakuomba usichoke

1. Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha kisiasa na hili vuguvugu la kuhoji ni matunda yenu sasa linapokuja suala la maslahi ya Taifa iwe wazi tu kwa roho safi.

2. Hiyo safari ya kuangalia technolojia umeongozana na madaktari wangapi iwe surgeons au physiotherapist????!!!!!!Kama ni mualiko ulikuja wa watu wangapi??

3. Huu uzi umewekwa maudhui ya kisiasa zaid sasa je hiyo safari ni ya kichama au ya CCBRT?????!!!!Nani amegharimia hiyo safari???!!!

4. Hivi kwenda huko kuangalia na kuomba mtaalamu kuja hapa kufundisha wengi ipi ilikuwa ni njia ya kunufaisha wengi kwa gharama nafuu?????

5. Wahanga wa vita ni priority ya nchi kwa sasa???!!!! Baada ya kupata ujuzi huo utaanzisha kitengo maalum kwa wahanga wa vita au wataenda kutibiwa huko???!!!!Tuna mpango wa kuingia vitani mara kwa mara kama wenyeji huko au ni maandalizi ya nini???!!!Hapa Tanzania tuna wahitaji wangapi wa matibabu ya namna hiyo????!!!
 
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.

Aksante Dr kwa maelekezo yako. Niliposoma maandiko mengi yanayojaribu kutoa kejeli nikaona huruma jinsi nchi yetu ilivyo na watu wenye mawazo ya ajabu ajabu. Tumekuwa wachoyo wa kufurahia jambo zuri na yenye manufaa mapama. Lakini sikustuka maana hii inaonesha watu wengine wamejaa wivu na kutetea maslahi binafsi tu. Wengine hata CCBRT unayoisemea hawaijui na wala jitihada zako binafsi ulizozifanya mpaka ukaweza kuianzisha ile hospitali hawaijui bali wanatangatanga tu na maneno yao.
We piga kazi Dr wetu sisi tuko nyuma yako
 
We Olesaidimu kweli una akili za kitoto ka siyo ya kulazimisha kweli. Anyway, we tafuta tu majibu yako but when we read between the lines we can detect what are you looking for
 
Utaalamu wa kuwahudumia mashujaa hao wa Marekani ndio unaohitajika hapa nyumbani.

Halafu chunga sana kauli zako,usipende kutusi watu kama huwezi kukabiliana na hoja just sign out.Be warned!

Utanilisha sumu? acha kutisha watu wewe. Unanini zaidi? kawatishe waoga wenzako wa maisha. Sisi mauti tunatembea nayo.

Wapi ulipotukanwa?
 
We Olesaidimu kweli una akili za kitoto ka siyo ya kulazimisha kweli. Anyway, we tafuta tu majibu yako but when we read between the lines we can detect what are you looking for

Ni kawaida kwa loudspeakers kama wewe!!!!!

Hapo utoto ni nini kwa mfano???!!

Mtoto unaweza kumsoma between lines???!!!!

Majibu yangu yapi wakati maswali yapo hapa kwenye forum na nimemuuliza yeye muhusika mkuu???!!!

What am i looking for other than clarity???!!Be a man and point out what am looking for if you think there is a hidden agenda???!!!

Either ways mkuu Dr W Slaa yupo hapa kanijibu na mi oia nimemjibu na natumai atanielewesha hapa jukwaani,wewe taabu yako nini kama sio uzandiki na uchonganishi kama sio kujipendekeza kwa kujidai una jicho la tatu kuona kati ya mistari ya maandishi yangu???!!!

Kama huna hoja kaa pembeni wakati napewa habari na muhusika mkuu
 
Dr. Slaa ni mroho sana wa pesa. Ukifuatilia unaweza kukuta Josephine kaandikishwa kama volunteer wa CCBRT.

Kuna wakati Josephine alijifanya volunteer Chadema akawa analipwa mamilioni mpaka kina TUNTEMEKE walipolalamika ndio kamati Kuu ya Chadema wakamfuta kwenye hiyo project ya kilaghai.

..duh..kama Josephine atakuwa volunteer wa CCBRT tena basi atakuwa balaa,maana last time alikuwa mtaalam wa IT wa UNHCCR Africa nzima bila ata kuwa na degree ya IT baadae akawa mtaalam wa program ya Accounting za Chadema so sintashangaa leo hii akiwa mtaalam wa medicine tegemeo wa CCBRT...
 
Josephine ni msanii aliyekubuhu. We jiulize mtu useless kama yeye aliweza vipi kumuingiza mbunge kwenye 18.
 
Mleta mada jaribu kuwa objective kuhusiana na safari ya Dr. Slaa kama wewe una simama kama ni CHADEMA public relation official otherwise, mapambo yako unayompamba Dr. Slaa yanaonyesha kama ndiyo ameanza kupata International Exposure kwa sasa wakati Dr. Slaa alishawahi kuishi na kusoma katika nchi za magharibi na kikubwa zaidi aliaminiwa na wananchi asilimia zaidi ya 24 kutaka awe Rais wa nchi 2010, kwa maana kuwa walimuona tayari anayo hayo mapambo unayojitahidi kumpamba kwa sasa.

Halafu kwa mawazo yako unafikiri Marekani ni kila kitu kana kwamba sera za Marekani kiuchumi, kisasa na kijamii ndiyo mwarobaini wa maendeleo Tanzania kwa maana kwamba kujifunza sera hizo ni kutibu matatizo ya Tanzania.

'Vision Tanzania' ipatikane Marekani?. Mabandiko yako yanaonyesha uko nje ya reality kuhusiana na siasa za Tanzania.

Unapokuja na maneno kama "Vision for Tanzania, Dr. Slaa Takes America By Storm !" and "Delivers one of the greatest foreign policy yet from any African leader". Inabidi tukushangae wewe na kitengo chako katika safari ya Dr. Slaa.

Spinning zako zinamfanya Dr. Slaa aonekane kwa watu wenye fikra pana kama kibaya chajitembeza wakati ninaamini sivyo hivyo.

Ni angalizo tu na unaweza kukubali kutokubaliana kama unaona Vision for Tanzania inapatikana Marekani peke yake.

Sijawahi kuona post yako hata moja ambayo unatoa mawazo ya kujenga zaidi ya kukandyia wanachoandika wenzako na kujiona unajua sanaaaaa!

Inaonekana umesoma au unasoma nchi za watu lakini inapokuja kwenye kuyatafuta mabadiliko nyumbani kwenu wewe umeshiba na huwajali wenye njaa! Acha kuwakatisha tamaa watu wanaotafuta mabadiliko kama wewe umeridhika na kinachoendelea endelea kula na kulala wenye shida wahangaikie mabadiliko. Inakera sana!
 
Back
Top Bottom