Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Haha..CDM wakupe raha.....kila wakifanyacho Magamba wanakuwa observers tuu..kisha wanshusha punzi wanarudki ktk umbea..sasa itakuwa fashion maCCM kuja chungulia CDM hapa, au kwenda ktk vichochoro kuwasikiliza CDM km vile muumini anayogopa watu ila anaenda mafundisho ya imani aambayo huwa wanaisema vinaya sana.