Mwaka 1978, maelfu ya watanzania walijeruiwa katika vita vya Kagero wakijaribu kuilinda Tanzania. Hawa mashujaa HADI wa leo wengi wao wametelekezwa na serikali ya CCM. Wanaoshiriki kutunza amani chini ya umoja wa mataifa nao udhulimiwa haki zao mafao yao yanapoletwa nchini chini ya usimamizi wa CCM.
Chini ya utawala wa CHADEMA. Dhuluma zinazoendelezwa na serikali ya kidhalimu ya CCM itafikia tamati
Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara maalum ya kujifunza inayoitwa "Vision Tanzania" itakayomuwezesha kujifunza mambo mbali mbali kwa manufaa ya watanzania. Dr. Slaa anaamini kwamba Tanzania ina uwezo wa kuwaudumia wananchi wake pamoja na wanajeshi wake ikiwa nchi itatumia rasimali zake kwa manufaa ya nchi na siyo kwa ajili ya wachache.
Dr. Slaa anaamini kwamba Tanzania inahitaji Serikali ya wananchi na siyo serikali ya watawala.
Dr. Slaa kwa unyenyekevu alikubali mwaliko kuwatembelea majeruhi katika hospitali kubwa ya kijeshi jijini Bethesda Maryland ambako alikula chakula cha mchana na majeruhi mbali mbali kutoka Vitani Afghanistan
Bila shaka, ni safari ya kihistoria. Dr. Slaa anawaomba watanzania wajitayarishie mabadiliko. Anawaomba vijana wote wame mstari wa mbele kusambaza habari njema za mabadiliko ili kumn'goa adui wa mtanzania CCM ! mama wa ufisadi
Re: Breaking News: Dr. Slaa, An Humble man of The People At US Walterreed
Dr. Slaa Alipowasili katika hospitali kubwa ya kijeshi ya Waltrereed Jijini Bethesda Maryland leo mchana
Mpiganaji (marine) akionyesha furaha yake kutembelewa na kiongozi wa aina yake. Eric aliumia nchini afghanistan. Eric licha ulemavu alioupata anaamini kwamba pamoja na matibabu anayoyapata, atarudia maisha yake ya zamani. Cha kusisimua zaidi ni uwezo wa kipekee wa muziki. Eric hivi karibuni atafanya tamasha kubwa sana jijini NY kuchangisha fedha kusaidia mayatima nchini Ethiopia. Eric amemuhadi Dr. Slaa kwamba atakuja Tanzania kufanya tamasha ya kuwasaidia mayatima !
Corry, moja ya majeruhi akiteta jambo na kiongozi huyu wa kipekee wa Tanzania.
Majeruhi, mashujaa wanamuziki wakipiga picha ya Pamoja na kiongozi wa CHADEMA. Mh. Slaa. Ingawa hawarudi kwenye hali yao ya kawaida. Wamemuahidi Dr. Slaa kwamba chini ya miaka miaka, miwili, Tamasha lao la kimataifa itakuwa Tanzania. Wameguswa na unyenyekevu wa Dr. Slaa
Lucas na familia yake, Moja ya maktari waliokuwa wakiwasaidia majeshi ya marekani nchini Afghanistan wakipiga picha ya pamoja na Dr. Slaa
Dr. Akiongea na moja ya majeruhi kwa huzuni kubwa. Huyu kijana alipoteza miguu yake yote na sasa hivi anafanya
mazoezi ya kutembea kutumia miguu bandia. Cha kusisimua ni kwamba, hawa vijana hawahitaji huruma. Wanajiona kama raia wengine. Wanaamini wakishajifunza kutembea wataingia uraiani, au watarudi jeshini kuendelea na maisha yao