Rais Kikwete Kukumbatiwa na Obama kulikuwa na tija gani hadi Ikulu ikaitisha Presss Release? Dr. Slaa kama Rais mtarajiwa anawajibika kujifunza mambo muhimu kwa ajili ya jamii yake atakayoiongoza.. Nani asiyejua malalamiko ya wanajeshi wastaafu na walioshiriki vita mbalimbali jinsi walivyotelekezwa? Dr. Slaa usivunjwe moyo na watu kama OLESAIDIMU ambao hata maoni binafsi ya maisha yao hawana..
Badala ya kusema Viva, ungemshauri kwanza Slaa aende Ubalozi wa Kenya Marekani kutoa salamu za rambirambi.
Mimi nimesikitika sana Kwa nini udanganya hata huko USA!?? Umejitambulisha Kama government officer na MBUNGE Kwa nini hukujitambulisha Kama CDM general secretary!? Tukiachilia mbali uasi na USALITI uliolifanyia kanisa ila nafikiri kuna tatizo ktk uadirifu wako especially kwenye kauli unazozitoa.
Nilikuwa Karatu Tangu juzi, nimekwenda vijiji vya Getamock,Buger,Matala na Endamaghan jimbo uliloliongoza wewe mwenyewe kwa muda mrefu, nimekwenda mpaka shule inayoitwa Dr.Wilbroad Slaa Secondary School.
Kwakweli Wananchi hao wanatia huruma sana, kwakweli kama Mbunge wao kwa kipindi kirefu na Sifa unazojimwagia hukuwatendea haki hata kidogo.
Vijiji hivyo havina Maji, Zahanati wala miondombinu inayoridhisha.
Kwanini hukufanya mipango hiyo ili walau wapate kituo cha Afya cha kukomboa familia na kaya zao masikini nilizojionea kwa macho?
Nyie Wanasiasa ni waongo, wanafiki na mnapenda sana sifa za bure, hasa wewe ni mnafiki namba moja unataka kutumia Matatizo ya Watanzania kujipatia umaarufu bila kuanzia kwenu ili Watanzania wajifunze kwa kuanzia Karatu.
Kama jimbo uliloliongoza mpaka umeliacha liko hoi kiasi hiki Nchi yetu Tanzania utaipeleka wapi?
Hakika huyu ni kiongozi wa pekee na pia tunapata elimu kwamba chama makini huwa kinaangalia miaka zaidi ya 50 mbele na sio kuangalia 2015. Ongera Chadema na ujumla jinsi mlivyo jipanga na Mkapata ridhaa ya watanzania kuongoza nchi, na mkiwa na moyo huu mlionao sasa na imani matatizo ya nchi hii yatakuwa kwenye kitabu makumbusho.Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.
Mbona unakuwa mvivu wa kufikiri? ameenda USA for Tanzania's feature sasa wewe ulitaka aende kufanya kazi ya mawaziri. Na isitoshe hiki ni kipindi cha Mh. Kikwete so kama kuna tatizo mnapaswa mmlaumu yeye na sio DR. SLAA.sijaona jipya hapo zaidi ya kujipendekeza kwa wazungu mbona hapa kwetu kuna matatizo mengi tu lkn kilichompeleka marekani ni kutalii tu hana jipya.jipangeni upya
Matusi ni siraha hafifu sana katika hoja.We dogo unastahili kuitwa juha.
Fanya mipango ujiunge na udp, chama cha mzee mapesa.
Ninakushukuru sana Dr. kwa maelezo hayo. Ila ninajiuliza kama Hospitali hiyo ni ya matibabu ya kisasa kabisa, kwa nini ume concetrate sana kwa watu waliokatwa miguu ambao umewaita Wapiganaji?Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.
Mkuu iPad nimecheka map aka basi. Dada yake habyarimana?Kumbe Dr. Anakifaa kikali namna hiyo! Ni wa ukweli kuliko hata dada yake na Habyarimana.
Dr Slaa, the next President of the Republic of Tanganyika.Mwaka 1978, maelfu ya watanzania walijeruiwa katika vita vya Kagero wakijaribu kuilinda Tanzania. Hawa mashujaa HADI wa leo wengi wao wametelekezwa na serikali ya CCM. Wanaoshiriki kutunza amani chini ya umoja wa mataifa nao udhulimiwa haki zao mafao yao yanapoletwa nchini chini ya usimamizi wa CCM.
Chini ya utawala wa CHADEMA. Dhuluma zinazoendelezwa na serikali ya kidhalimu ya CCM itafikia tamati
Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara maalum ya kujifunza inayoitwa "Vision Tanzania" itakayomuwezesha kujifunza mambo mbali mbali kwa manufaa ya watanzania. Dr. Slaa anaamini kwamba Tanzania ina uwezo wa kuwaudumia wananchi wake pamoja na wanajeshi wake ikiwa nchi itatumia rasimali zake kwa manufaa ya nchi na siyo kwa ajili ya wachache.
Dr. Slaa anaamini kwamba Tanzania inahitaji Serikali ya wananchi na siyo serikali ya watawala.
Dr. Slaa kwa unyenyekevu alikubali mwaliko kuwatembelea majeruhi katika hospitali kubwa ya kijeshi jijini Bethesda Maryland ambako alikula chakula cha mchana na majeruhi mbali mbali kutoka Vitani Afghanistan
Bila shaka, ni safari ya kihistoria. Dr. Slaa anawaomba watanzania wajitayarishie mabadiliko. Anawaomba vijana wote wame mstari wa mbele kusambaza habari njema za mabadiliko ili kumn'goa adui wa mtanzania CCM ! mama wa ufisadi
Re: Breaking News: Dr. Slaa, An Humble man of The People At US Walterreed
![]()
Dr. Slaa Alipowasili katika hospitali kubwa ya kijeshi ya Waltrereed Jijini Bethesda Maryland leo mchana
![]()
Mpiganaji (marine) akionyesha furaha yake kutembelewa na kiongozi wa aina yake. Eric aliumia nchini afghanistan. Eric licha ulemavu alioupata anaamini kwamba pamoja na matibabu anayoyapata, atarudia maisha yake ya zamani. Cha kusisimua zaidi ni uwezo wa kipekee wa muziki. Eric hivi karibuni atafanya tamasha kubwa sana jijini NY kuchangisha fedha kusaidia mayatima nchini Ethiopia. Eric amemuhadi Dr. Slaa kwamba atakuja Tanzania kufanya tamasha ya kuwasaidia mayatima !
![]()
Corry, moja ya majeruhi akiteta jambo na kiongozi huyu wa kipekee wa Tanzania.
![]()
Majeruhi, mashujaa wanamuziki wakipiga picha ya Pamoja na kiongozi wa CHADEMA. Mh. Slaa. Ingawa hawarudi kwenye hali yao ya kawaida. Wamemuahidi Dr. Slaa kwamba chini ya miaka miaka, miwili, Tamasha lao la kimataifa itakuwa Tanzania. Wameguswa na unyenyekevu wa Dr. Slaa
![]()
Lucas na familia yake, Moja ya maktari waliokuwa wakiwasaidia majeshi ya marekani nchini Afghanistan wakipiga picha ya pamoja na Dr. Slaa
![]()
Dr. Akiongea na moja ya majeruhi kwa huzuni kubwa. Huyu kijana alipoteza miguu yake yote na sasa hivi anafanya
mazoezi ya kutembea kutumia miguu bandia. Cha kusisimua ni kwamba, hawa vijana hawahitaji huruma. Wanajiona kama raia wengine. Wanaamini wakishajifunza kutembea wataingia uraiani, au watarudi jeshini kuendelea na maisha yao
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.
Kamanda hakuna haja ya kuwaingiza wazazi wetu kwenye huu uzi, baba yangu mimi ameishafariki siku nyingi tujadili huu uzi, usitake nifunguke zaidi.[/QUOT Ndio kitu ambacho Rizt na kundi lenu la kushambulia watu badala hoja. Niliona uzi mmoja watu wanamkashifu mtoto wa Dr. Bila aibu. Kama tunavyosikitika kutukaniwa wazazi wetu, ndiyo dhambi hiyo hiyo tunamfanyia Dr. Dr kama mapadre kama alivyoamua mama kabaka kuacha usista, ndicho alichofanya Dr. Siasa ama upenzi wa vyama ambavyo tutaviacha visitufanye tukoseshe adabu kwa wakubwa.
Ninakushukuru sana Dr. kwa maelezo hayo. Ila ninajiuliza kama Hospitali hiyo ni ya matibabu ya kisasa kabisa, kwa nini ume concetrate sana kwa watu waliokatwa miguu ambao umewaita Wapiganaji?
Ninakuomba sana , usije kuzitumia picha hizo kuwashawishi vijana wetu wasiogope kwenda kwenye maandamano haramu na kwamba kama wakijeruhiwa au hata kukatwa miguu ,Una mpango wa kuileta huduma hiyo CCBRT. Kama huo ndio mpango wako, Dr wangu Muogope Mungu
Kwa kila -------- maarifa mapya huwa ni sumu kali sana. Hebu endelezeni mawazo na miradi ya kipuuzi kama ule mradi wa mvua ya Mabomu, haya mambo makubwa yanahitaji akili kubwa sio akili za kiwango cha Lumumba.Utanilisha sumu? acha kutisha watu wewe. Unanini zaidi? kawatishe waoga wenzako wa maisha. Sisi mauti tunatembea nayo.
Wapi ulipotukanwa?
Mimi nimesikitika sana Kwa nini udanganya hata huko USA!?? Umejitambulisha Kama government officer na MBUNGE Kwa nini hukujitambulisha Kama CDM general secretary!? Tukiachilia mbali uasi na USALITI uliolifanyia kanisa ila nafikiri kuna tatizo ktk uadirifu wako especially kwenye kauli unazozitoa.
kwasababu walikuja kuwasaidia wamarekani wenzao siyo?hahaha
kutembelea mashujaa wa us ni kujipendekeza
kwani hawana shida
kaacha wangapi tz??
Dr achana na misukule ya ccm na watu wasio tumia akili zao kufikiria labda wanadhani umeenda kuuza sura huko kama mwenzao, Mungu akupe afya njema na miaka mingi Dr wangu wa ukweli, Pia nakutakia safari njema wakati wa Kurudi home Tanzania