Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

Sasa na wewe kweli unaona hii thread ina tija kwa kiongozi wa chama? ????!!!!

Kwa nini asingeweka hiyo isue kiwa pamoja na ziara ya kisiasa pia alitekeleza jukumu oake kama mwenyekiti wa CCBRT? ???!!!!!

Halafu ujue sio kila mtu anajua kila kitu kuhusu hao viongozi watu wengine hawana taarifa ya viongozi kiasi ambacho wewe unaamini inafahamika????!!!

Haya ondoa maneno sasa hapo alienda kama katibu wa chama au mwenyekiti wa CCBRT halafu anagalia maudhui ya mleta uzi

Vyote kwa Pamoja ...!
 
hii ni kali

"Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara
maalum ya kujifunza inayoitwa
"Vision Tanzania"
itakayomuwezesha kujifunza mambo
mbali mbali kwa manufaa ya
watanzania".

Mbna walter reed wana centre ya Mbeya hakuenda kujifunza research za malaria??

Hakuna kujifunza hapo
watoto wa mujini tunaita bataa
kaenda kutalii
 
...kwani Dr Slaa ndio Mwenyekiti wa Chama?yaan afunge safari km zoote hizo kwenda kuwatembelea askari majeruhi wa Marekani wakati kwa askari wa Tanzania hakuwa na muda huo,kama sio unafiki ni nini?...

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
 
Dr.W.Slaa,

Punguza usanii hata siku mmoja umeshindwa kuhudhuria kumbukumbu ya mashujaa nchini kwako leo hii unajifanya unawanyenyekea wanajeshi wa Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo Slaa amedanganya kusema kuwa ni safari ya CCBRT?

Je, nyinyi Chadema DC ndio mliolipia tiketi ya Business Class? Kwanini hamshiriki kuchangia shughuli za maendeleo, badala yake mnalipia tiketi ya business class?

Zemacorplo. Huyu ndiye babako uliyemtelekeza kwa ajili ya vijisenti vya Mwigulu. Hauna hata aibu kupigana na computa wakati mamako na babako wanaishi kwenye hali hii......Haina tatizo, serikali ya Chadema itakuwa ya watanzania wote hata vichaa kama Chris Lukosi watasamehewa ingawa wamewaua watanzania na madawa ya kulevya
attachment.php
 
hii ni kali

"Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara
maalum ya kujifunza inayoitwa
"Vision Tanzania"
itakayomuwezesha kujifunza mambo
mbali mbali kwa manufaa ya
watanzania".

Mbna walter reed wana centre ya Mbeya hakuenda kujifunza research za malaria??

Hakuna kujifunza hapo
watoto wa mujini tunaita bataa
kaenda kutalii

Cha ajabu ni kwamba wanasema Dr. Slaa ndio yuko kwenye ziara wakati kwenye picha wanaonekana Slaa na Josephine. Sasa sijui wamechukulia kwamba Josephine ha-exist!!!
 
Dr.W.Slaa,

Punguza usanii hata siku mmoja umeshindwa kuhudhuria kumbukumbu ya mashujaa nchini kwako leo hii unajifanya unawanyenyekea wanajeshi wa Marekani.

JK anakula mafao yahoo na kuja kula raha na mabinti wadogo marekani? Loveness mamuya ana taarifa zote
 
Hebu wekeni mambo yenye tija na nchi, huruma yake kwa raia wa nchi nyingine waliopata madhara ya kivita kwa sababu ya sera zao sisi inatusaidia nini???!!!!!!

Humu ndani kuna shida nyingi sana na wanaohitaji faraja wapo wengi sana kamaliza kuwafariji hawa wetu???!!!

Sio kila alifanyalo kiongozi wote tutachukulia kama positive, mimi binafsi sioni tija ya hili tukio la huyu kiongozi kwa kweli.

Awafariji vipi watu wa hapa tz? Wakati nyie mnawapa ulemavu kama kuwamwagia Tindikali halafu mnawahonga ili muwapakazie chadema kama yule wa mwigulu ambaye huwa anatembea naye kwenye mikutano kuomba huruma
 
hii ni kali

"Dr. Slaa yuko Marekani katika ziara
maalum ya kujifunza inayoitwa
"Vision Tanzania"
itakayomuwezesha kujifunza mambo
mbali mbali kwa manufaa ya
watanzania".

Mbna walter reed wana centre ya Mbeya hakuenda kujifunza research za malaria??

Hakuna kujifunza hapo
watoto wa mujini tunaita bataa
kaenda kutalii

Fikisha huu ujumbe kwa Vasco Dagama
 
Dr.W.Slaa,

Punguza usanii hata siku mmoja umeshindwa kuhudhuria kumbukumbu ya mashujaa nchini kwako leo hii unajifanya unawanyenyekea wanajeshi wa Marekani.

Tunaomba picha ya babako na maisha anayoishi. Huyu ndiye babake na mdogo wako Ze Macorpolo
 
Cha ajabu ni kwamba wanasema Dr. Slaa ndio yuko kwenye ziara wakati kwenye picha wanaonekana Slaa na Josephine. Sasa sijui wamechukulia kwamba Josephine ha-exist!!!

hicho nacho si kioja kingine
akili za bavicha bana
 
Acha uongo,

Slaa anasema hiyo ni safari ya CCBRT. Sasa Chadema DC mpange ratiba ya safari ya CCBRT kama nani?

Hizi siasa za kilaghai zina mwisho wake...

...kama ni safari za CCBRT,je Josephine nae ni mtaalam wa CCBRT?kama alikwenda kujifunza kama mwenyekiti wa CCBRT angepaswa ongozane na mtaalam/wataalam wake wa CCBRT ili waangalie namna watakavyo adapt hiyo technolojia hapa nchini,otherwise Dr Slaa( PHD ya Cannon Law) kufanya study tour ya medicine ni upotezaji wa fedha bure...
 
Zemacorplo. Huyu ndiye babako uliyemtelekeza kwa ajili ya vijisenti vya Mwigulu. Hauna hata aibu kupigana na computa wakati mamako na babako wanaishi kwenye hali hii......Haina tatizo, serikali ya Chadema itakuwa ya watanzania wote hata vichaa kama Chris Lukosi watasamehewa ingawa wamewaua watanzania na madawa ya kulevya
attachment.php

Hahahahahahahaha yamekuwa hayo tena.

Ni kweli kuwa babu yangu kuna wakati alikuwa kama hivi, lakini baba yangu na mama yangu nashukuru Mungu kuwa hawako hata karibu na hivi. Kinachowafanya wasiwe hivi ni juhudi walizofanya kutumia kila fursa zilizopo nchini za elimu, ajira na uwekezaji.

Hata wewe ukifanya bidii ya kutumia fursa zilizopo hutalazimika kuwa kama huyu kwenye picha.

By the way, this picture talks very little about ubora wa maisha ya huyu mtu. Me and you can only assume jinsi uhalisia wa maisha yake ulivyo...

Additionally, kuweka hii picha kikejeli sio ustaarabu. Huyu mtu kuna uwezekano mkubwa kuwa humfahamu, lakini anaweza kuwa mzazi wa mwenzako. Kuweka picha yake na lugha za dharau sio uungwana.
 
Cha ajabu ni kwamba wanasema Dr. Slaa ndio yuko kwenye ziara wakati kwenye picha wanaonekana Slaa na Josephine. Sasa sijui wamechukulia kwamba Josephine ha-exist!!!

Naona unaugonjwa unaoitwa Josephine, maana haiishi siku bila kumtaja.!!
 
...kama ni safari za CCBRT,je Josephine nae ni mtaalam wa CCBRT?nilitegemea mwenyekiti wa CCBRT aongozane na mtaalam/wataalam wake,otherwise Dr Slaa kufanya study tour ya medicine ni upotezaji wa fedha bure...

Dr. Slaa ni mroho sana wa pesa. Ukifuatilia unaweza kukuta Josephine kaandikishwa kama volunteer wa CCBRT.

Kuna wakati Josephine alijifanya volunteer Chadema akawa analipwa mamilioni mpaka kina TUNTEMEKE walipolalamika ndio kamati Kuu ya Chadema wakamfuta kwenye hiyo project ya kilaghai.
 
Dr.W.Slaa,

Punguza usanii hata siku mmoja umeshindwa kuhudhuria kumbukumbu ya mashujaa nchini kwako leo hii unajifanya unawanyenyekea wanajeshi wa Marekani.


Kuhudhuria kumbukumbu ya Mashujaa bila kufikiria namna ya kuwasaidia Mashujaa walioko hai tena wakiwa na ulemavu inasaidia nini?Ndiyo akili kubwa hiyo?

Hii ndiyo tofauti kati ya CHADEMA na Watawala walioshindwa.

Wasanii ni wale wanaohudhuria kumbukumbu za mashujaa kupiga picha kinafiki huku mashujaa waliobaki hai wakiteseka bila msaada wa Afya na huduma nyingine.Wanafiki hao utawaona wakienda misibani na nyuso za kinafiki na kung'ang'ania kupiga picha.Ubinadamu sijui uko wapi hapo.Unahitaji roho ya kishetani pekee kuweza ku-fit katika mazingira hayo
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa,

Punguza usanii hata siku mmoja umeshindwa kuhudhuria kumbukumbu ya mashujaa nchini kwako leo hii unajifanya unawanyenyekea wanajeshi wa Marekani.

Slaa hata siku ya Uhuru wa Tanzania Bara a.k.a Tanganyika alikacha kuhudhuria!!!

Siku ya Muungano pia hakuhudhuria!!!
 
Vyote kwa Pamoja ...!


Wewe huwa naona akili zako zinakuwa sobber kwa baadhi ya thread ila kuna kipindi ni kama umelala na hii si tabia ya kizalendo!!!!!!

Unashindwa vipi kusema hili sio sawa na hili ni sawa linapokuja suala la chama chako????!!!!

Anyway keep up
 
waheshimiwa, Mwigulu ameleta kizaazaa maryland. Yawezekana watu wakamatwe leo usiku kwenye mkutano wake . Vijana wawili wasiokuwa na makaratasi walikamatwa jana wakiwa makazini

----- Forwarded Message -----
From: Lukas Nchimbi <Luka76_Nchimbi@yahoo.com>
To: "washington.field@ic.fbi.g ov" <washington.field@ic.fbi.gov >; "Baltimore@ic.fbi.gov" <Baltimore@ic.fbi.gov>; "cbp.goes.support@dhs.gov" <cbp.goes.support@dhs.gov>; "crcl@dhs.gov" <crcl@dhs.gov>; "FOBanalysts@hq.dhs.gov" <FOBanalysts@hq.dhs.gov>; "drsacs@state.gov" <drsacs@state.gov>
Sent: Monday, September 23, 2013 3:52:28 PM
Subject: Ref: Mwigulu Nchemba The Terrorist in the United States of America



To:
Department of Homeland Security
Enforcement Division



Federal Bureau of Investigations
Baltimore Field Office



State Department
Department of Consular Affairs





Mr. Mwigulu Nchemba is a deputy secretary of Chama Cha Mapinduzi (CCM) and Member of Parliament in Tanzania. Mwigulu has been directly linked to multiple terror activities in Tanzania. He has inhumanly directed the killing of individuals with impunity. Regardless of the incriminating evidence, no one has ever questioned this man. Mwigulu was trained by the Chinese Military, and thus constantly wears Chinese military hut.

Under the Government of president, Jakaya mrisho Kikwete Impunity is a common order of the day; Minister of Consular Affairs Tanzania embassy in Washington, Alan Mizengi, has been rewarded a job as an adviser to the president in Dar es salaam, Tanzania. Yet, in January 2008 ruling, a U. S. district court judge found that Mzengi and hi wife forced a 20 year old women named Zipora Mazengo into domestic slavery in their six bedroom Bethesda, MD. This was reported by the Washington Post

Mwigulu Nchemba is a person of questionable moral character that should not have been allowed to enter the United States. He is a danger to the United States public. Mwigulu has been working with Tanzania intelligence services to kidnap, torture and Kill Chama Cha Mapinduzi opponents. On several occasions he has warned the Tanzanians not to attend opposition rallies.


On this day CLICK HERE In Arusha Tanzania, Mwigulu warned the voters not to vote the opposition or attend their public rallies; doing so would expose them to death. On an opposition rally the following day, a Chinese made hand grenade was thrown into the opposition party meeting killing 5 people and more than 70 injured..Click here. Mwigulu issues a warning .click HERE . He is the man wearing CHINESE military Uniform


Mwigulu Lameck Nchemba, Jackson Nzoka, and Ridhiwani Kikwete have been making inflammatory terroristic videos such as this. Mwigulu produced the video, without informing the police. Mwigulu has been orchestrating along with Tanzania police and intelligence services fake terror cases against the opposition leaders. Because they are in the government, no one has ever question them or can question them. No one can arrest them and take them to court. They are enjoying the same culture of impunity.


United States should never be partial to terrorists, and encourage impunity. On Sunday 29[SUP]th[/SUP], Mwigulu will be holding a public political meeting in Maryland. This is a dangerous man that should not be in the United States Soil. Mr. Mwigulu is currently in USA and expecting to rally at University Blvd, East Hyattsville, Maryland 20783 from 4pm to 8pm, tomorrow September 29, 2013.

Thanking you in Advance


Lukas Nchimbi

Human Rights Activist
Dar es Salaam

 
Back
Top Bottom